UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Tukiacha kupepesa macho Maino bado anavitu vingi vya kujifunza kwenye idara ya kiungo

Anakata moto mapema sana hata kwenye club yake ya manchester united hatakiwi kuwa kiungo tegemezi bado mchanga sana

Mara nyingi anakuwa out of position

Faida yake ni kuwa hapigi pasi mkaa
 
Sasa Maino kakosea nini pale?
 
Tukiacha kupepesa macho Maino bado anavitu vingi vya kujifunza kwenye idara ya kiungo

Anakata moto mapema sana hata kwenye club yake ya manchester united hatakiwi kuwa kiungo tegemezi bado mchanga sana

Mara nyingi anakuwa out of position

Faida yake ni kuwa hapigi pasi mkaa
Sijawahi kuwakubali viungo wa kiingereza, huwa kama Big G
 
Oh shhhht!!!😬😬😵😵 it’s not coming home. It’s going somewhere else 😁😁
 
Back
Top Bottom