Aibu gani mkuu wakati tungekutana hata na LilleHao Barcelona hawakustahili kusonga mbele maana wangetia aibu tu.
Mbugi la kueleweka la Man U au[emoji23][emoji23]Uefa sio ya vilaza wenye historia nzuri.
Inabidi upige mbungi la kueleweka ili U-qualify kila knockout stage.
Haina shida shem tusubiri mwisho tuone!ila umenikumbusha gemu ya kwanza na ac milan nilikuwa na Mr tunachek gemu kiukweli nilcheka sana klop alifanya sub kama kichaa sitaki kukumbuka mlitoboa kwa mbindeMwaka huu hatuko poa kivipi? Wakati draw ya makundi inafanyika tukawekwa kundi moja na Atletico, Porto na AC Milan mlisema ni kundi la kifo na Liverpool hatoboi.
Matokeo yake tumezichapa team zote hizo nje ndani. Tukaondoka na points zote 18. Sasa unawezaje kusema hatupo vizuri shemelaa?
Huu ubingwa wetu bana.
Unaona sasa? Baada ya Lille ungekutana na wababe wakupige goli 8 si aibu hiyo?Aibu gani mkuu wakati tungekutana hata na Lille
Kwakweli tusubiri tu ila mimi nina iamini sana team yangu.Haina shida shem tusubiri mwisho tuone!ila umenikumbusha gemu ya kwanza na ac milan nilikuwa na Mr tunachek gemu kiukweli nilcheka sana klop alifanya sub kama kichaa sitaki kukumbuka mlitoboa kwa mbinde
Timu pekee inayoweza kupigwa zaidi ya goli 6 UEFA ni Man U na Chelsea pekee sio miamba BarcelonaUnaona sasa? Baada ya Lille ungekutana na wababe wakupige goli 8 si aibu hiyo?
Eee barc mwamba tena?Timu pekee inayoweza kupigwa zaidi ya goli 6 UEFA ni Man U na Chelsea pekee sio miamba Barcelona
Aya shem yetu machoKwakweli tusubiri tu ila mimi nina iamini sana team yangu.
Timu pekee inayoweza kupigwa zaidi ya goli 6 UEFA ni Man U na Chelsea pekee sio miamba Barcelona
Tumebeba UEFA mara 5 unasema Sisi sio miamba? Au unatufananisha na hao takataka wengine kama Arsenal Chelsea City na hata Mwanitesa UnitedEee barc mwamba tena?
Mwaka jana tu kapigwa 8 na Bayern πEee barc mwamba tena?
Mshaanza kuwa kama mavi ya kaleTumebeba UEFA mara 5 unasema Sisi sio miamba? Au unatufananisha na hao takataka wengine kama Arsenal Chelsea City na hata Mwanitesa United
Msikie mwamba apo juu anatamba kinomanomaMwaka jana tu kapigwa 8 na Bayern [emoji23]
Mpira siku hizi umekuwa ni dakika 180 ?
Hakuna maisha pasipo historiaMshaanza kuwa kama mavi ya kale
Ndio si ndo maana tupo last sixteen...Mbugi la kueleweka la Man U au[emoji23][emoji23]
Ndio si ndo maana tupo last sixteen...Mbugi la kueleweka la Man U au[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]kama Villarreal walivyowafanya Leo mmejisahaulishaNdio si ndo maana tupo last sixteen...
Hao Barelona na pira lao gimbi si ndo maana wapo Europa as we speak??