PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,353
Wewe timu yako ni lini iliifunga Barcelona hizo goli? Au unaishia kujifariji kwa kushangilia timu za wengineIvi Kuna Timu Iliyodhalilishwa Uefa Kwa Vipigo Hv Karibuni Kama Barca, Mfano Umesahau Zile 8 Za Wajerumani [emoji23]