[emoji23][emoji23][emoji23]watakua Ni united hao[emoji599][emoji599][emoji599] ππ₯πππππ‘π! UEFA is about to agree to do another draw, following complaints from several teams. #UCL
(Source: @RodrigoFaez)
Nilijua haya mambo yapo Africa tu[emoji599][emoji599][emoji599] ππ₯πππππ‘π! UEFA is about to agree to do another draw, following complaints from several teams. #UCL
(Source: @RodrigoFaez)
Ajax,Bayern na nyie mmekwapua point zote 18 kwenye makundi ngoja tuone muendelezo utakuajeMwaka huu hatuko poa kivipi? Wakati draw ya makundi inafanyika tukawekwa kundi moja na Atletico, Porto na AC Milan mlisema ni kundi la kifo na Liverpool hatoboi.
Matokeo yake tumezichapa team zote hizo nje ndani. Tukaondoka na points zote 18. Sasa unawezaje kusema hatupo vizuri shemelaa?
Huu ubingwa wetu bana.
Liverkuku hii hii iliyoshindwa kuwafunga chelsea 10?Ngoja tuone. Ila bingwa atakuwa Liverpool
tema mate chiniTimu pekee inayoweza kupigwa zaidi ya goli 6 UEFA ni Man U na Chelsea pekee sio miamba Barcelona
Hahahaaa mnamuogopa psgView attachment 2042771Kwamba hamna tema zingine mpaka mtupangie PSG
Teh teh tehMarudio ya nn tena?...aah hapo Liverpool tulikuwa tumepumua
Ila man u lazima afe kwa hao jamaaPsg ina mpira ovyo sana