Wewe timu yako ni lini iliifunga Barcelona hizo goli? Au unaishia kujifariji kwa kushangilia timu za wengineIvi Kuna Timu Iliyodhalilishwa Uefa Kwa Vipigo Hv Karibuni Kama Barca, Mfano Umesahau Zile 8 Za Wajerumani [emoji23]
Sisi Man U tunasema bora Bora ATM kuliko PSGMan u ashapita atletico msimu hiu hadi sasa uefa hawana msimu mzuri
Japo hatujui hadi hio february lolote litatokea
We Si Ulisema Ni Utd Na Chelsea Pekee Ndo Wakufungwa 6+ Uefa Then Ukajisahaulisha Kama Izo Kamba Zilianza Na Wewe [emoji23]Wewe timu yako ni lini iliifunga Barcelona hizo goli? Au unaishia kujifariji kwa kushangilia timu za wengine
Kwa hyo timu yako haiwez kuifunga Barcelona goli nyingi [emoji1]We Si Ulisema Ni Utd Na Chelsea Pekee Ndo Wakufungwa 6+ Uefa Then Ukajisahaulisha Kama Izo Kamba Zilianza Na Wewe [emoji23]
Unahamisha Mada Tena [emoji23]Kwa hyo timu yako haiwez kuifunga Barcelona goli nyingi [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] isije ikawa wewe ni AchenaliUnahamisha Mada Tena [emoji23]
Mimi Chama Langu Bayern Mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] isije ikawa wewe ni Achenali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bayern hii hii yenye makombe ya UEFA na imezidiwa na BarcelonaMimi Chama Langu Bayern Mkuu [emoji23]
Ongezea, "Na Ndo Hii Hii Iliyonipa Vipigo Vya Aibu Nakusabisha Jana Kwa Mara Ya Kwanza Nisionekane Kwenye Draw Zile" [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bayern hii hii yenye makombe ya UEFA na imezidiwa na Barcelona
hapana.Hahahah haya tumepewa Lille unajisikiaje?
Na ndio maana imekosa mvuto Hadi inarudiwa mara mbili mbiliOngezea, "Na Ndo Hii Hii Iliyonipa Vipigo Vya Aibu Nakusabisha Jana Kwa Mara Ya Kwanza Nisionekane Kwenye Draw Zile" [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mambo? Longest time rafiki, how are you?
Umeadimika sana rafiki.Niko poa best…
Unadhani kwa madridi anatoboa?Misukosuko ndo mwendo wa ngalawa....Na Mpira huohuo ilifika fainali Kwa kumtoa Bayern
kwa hiyo Barca ichukuliwe tu iwekweUEFA bila Barcelona imekuwa ni ya hovyo kabisa
Hahah Hii hii Madrid ya vinishaz kunya?Unadhani kwa madridi anatoboa?
Nasikia Bocca Juniors Kawaliza Tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] , Hamtapata Chochote Saiv [emoji23][emoji23][emoji23]Na ndio maana imekosa mvuto Hadi inarudiwa mara mbili mbili
Ronaldo anawajulia sana atletico madrid. Sema Real Madrid ndio wamepewa mlima mrefu!! Ila Benzema sasa hivi yuko motooooooo!!! chochote kinaweza kutokea!!Man utd kwaheriii