UEFA Nations League Fainali : Portugal Vs Spain l Allianz arena stadium l 8/6/2025 l 22:00pm

yamal ana mengi ya kujifunza kutoka kwa ronald na messi,both katika mafanikio na talent waliyokuwa nayo hawa malegends! Ajifunze kwa lengo la kukuza kipaji chake na asiwe na mdomo wa kutukana mamba angali hajavuka mto.
Wala hatukani sema basi tu haters wanatafuta sababu, kwanza hakuna mchezaji mwenye maneno ya sifa kama ronaldo ila mbona kazeeka na kipaji chake, kikubwa ni kuangalia uwezo wake uwanjani tu hayo anayoyasema wala msiyachukulie personal
 
Yamal atabeba heshima, leo tutarajie kuliona chozi la Cr7 tena.
Haji manara huja wahi kuwa na akili timamu
FB_IMG_17494489249597409.jpg
 
Wala hatukani sema basi tu haters wanatafuta sababu, kwanza hakuna mchezaji mwenye maneno ya sifa kama ronaldo ila mbona kazeeka na kipaji chake, kikubwa ni kuangalia uwezo wake uwanjani tu hayo anayoyasema wala msiyachukulie personal
Bora umesema ukweli.
 
Back
Top Bottom