UEFA Nations League Fainali : Portugal Vs Spain l Allianz arena stadium l 8/6/2025 l 22:00pm

UEFA Nations League Fainali : Portugal Vs Spain l Allianz arena stadium l 8/6/2025 l 22:00pm

Portugal balaa jipya pale ulaya...

Nuno Mendez Psg wajiandae kupambana na Madrid na vigogo vingine.

Spain alipaswa kupoteza tangu mechi na ufaransa ... Na atapigwa tena na Argentina.
Hawana kitu ...Yan France walikurupuka.kumeshakucha...golin5 kwa 4...hio inaonesha dhahiri timu ya Mr mawani ni mbovu , na ufaransa hawakuchanga karata zao vizuri... bumbavu..unamletea mdomo kaka yako mwenye magoli 938...bumbavu kabisa ...eti we were born for this...bumbaaavu...
 
Bumbavu yule ..fimbo ya mwanzi tena ...na angekua na adabu na kuvaa kaptura juu ya kiuno na kuchomekea kama pasta max nzengeli ..na akiongea adabu na heshima vinatawala.
Msameheni tu walimwengu washaanza kumfunza kidogo kidogo
 
Mr mawani milegezo effect lazima amuote leo huyu mwamba ..
.bumbaaavu!
 

Attachments

  • 20250609_013510.jpg
    20250609_013510.jpg
    493.4 KB · Views: 19
Fyoko fyoko fyoko ... bitozi nyangema effects...leo hajavaa Ile yale mawani yake? Xi Jinping
Kawaida

Kocha wa Spain ndio wa kulaumiwa tangu game ya France kwa anayejua soka ameonekana hajui kufanya tactical sub.

Ukirudi nyuma zaidi hata kwenye game dhidi ya Germany kwenye EUROS
​
 
Dogo aliongea shombo sana na ma status yake eti I am born for this..bumbavu. Watu Wana goli 890 unaanza kujifananisha na wao...bumbavu kabisa...ajifunze ADABU na HESHIMA
Kapuku vipi mbona matusi mengi?
 
Kawaida

Kocha wa Spain ndio wa kulaumiwa tangu game ya France kwa anayejua soka ameonekana hajui kufanya tactical sub.

Ukirudi nyuma zaidi hata kwenye game dhidi ya Germany kwenye EUROS
​
Kwanini uamini Spain national team ina uhalali wa kuwa bora kila siku kuliko other national teams Ulaya Mkuu?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Muda wa mahesabu sasa.
Nadhani umeona nani huwa anaangalia mpira guest.
Tatizo watu wanakariri. Mtu wa kukabwa na watu watatu kawa pocketed na likurungwa limoja.

Hakuna watu wanajikutaga wanajua kila kitu kuhusu soka kama mashabiki wa Barcelona, Spain national team na Man U ambao soon watashuka daraja (hawa wao wakishinda game 3 mfululizo dunia yote haikaliki kwa amani).

Hawa mashabiki wa hizi timu hawakupi kabisa haki ya kutoa maoni yako kuhusu rmpira, lazima ule mabango
 
Hii game⚽ ni ya moto sana usipange kuikosa.

huku Yamal kule Ronald.View attachment 3360912

Lineups _
Portugal

View attachment 3361394
substitutes
N.semendo,A.silva,D.dalot,J.palhinha,G.ramos,D.jota,R.neves,J.felix....nk

Manager : R.martinez

Spain lineups,
View attachment 3361396
Substitutes;
David raya,P.porro,D.vivian,Gavi,Isco,A.morata,P.cubarsi...nk

Manager : L.de la fuente.

Stay tuned ,
Kumbe hii ilikuwa fainali? Nilidhani ni play off. Basi nimekosa mechi muhimu sana.
 
Acha ujinga wewe usisahau huyo goat wenu bado tunamdai world cup na asitegemee eti mwakani atabeba ilihali timu yake ya taifa inategemea wachezaji watatu tu tofauti na timu kama hispania au ufaransa, unaongelea habari za goli mia nane kwa mtoto ambaye ndio kwanza anaanza career yake unamlinganisha na huyo babu aliyegoma kustaafu hadi afikishe magoli elfu moja na afikie rekodi ya messi ya kubeba world cup, huyo yamal mtamlinganisha na kila aina ya mchezaji ila mwisho wa siku akikutana na hao wachezaji wote mnaowalinganisha naye anawakanda vizuri tu na kuwafunga midomo
yamal ana mengi ya kujifunza kutoka kwa ronald na messi,both katika mafanikio na talent waliyokuwa nayo hawa malegends! Ajifunze kwa lengo la kukuza kipaji chake na asiwe na mdomo wa kutukana mamba angali hajavuka mto.
 
Ila we jamaa unawazaga mizagamuo tu😂😂😂
No erection no nini 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣 Mbususu tamu ila wenye mbususu wana roho mbaya.
Ila mwanawane sii umeona shughuli ya bwana mdogo yule...complete fullback...marauding forward with relative ease....excellent technical execution. An absolute joy to watch.
Yaani mtu anaifanga kazi yake kwa ufanisi wa hali ya juu mwenyewe unafurahi.
 
Back
Top Bottom