UEFA Nations League Fainali : Portugal Vs Spain l Allianz arena stadium l 8/6/2025 l 22:00pm

UEFA Nations League Fainali : Portugal Vs Spain l Allianz arena stadium l 8/6/2025 l 22:00pm

Wale wenye chuki na CR 7 wako wapi kmmmk?
Ni wachawi tu. Masikini unamchukua bilionea, tena aliyezipata mali zake kihalali kwa kutoa jasho lake.

Wanashindwa kuyachukia mafisadi yanayozidi kuwadidimiza kwenye umasikini kadri siku ziendavyo wanamchukia mtu ambaye Mungu mwenyewe alimwona akaamua kumzawadia kipekee kwa talent ya maana.


NRNE
 
😆
Screenshot_20250609-005446~2.jpg
 
Back
Top Bottom