UEFA yatishia kuzipiga 'ban' klabu kubwa barani ulaya kwenye michuano yote

Guys that means mancity vs psg..na madrid vs chelsea nazo zimecancelliwa until further notice??
 
Mzigo ni mkubwa saana, hakuna Club itaweza kuugomea !!
Kweli mkuu mpunga mrefu kinyama.


UCL winner gets €82.4m
EPL winner gets €150m

Total= €232.4m

You participate in the European Super League and get €350m,
The winner gets €500m

Maaana yake hapa vilabu vipo tayari ku sacrifice hata domestic competitions kwaajili ya SL.
 
Hv iliwezekanaje kutengeneza chama kimoja tu cha mpira wa miguu knachoendesha shughuli zote za mpira dunia nzima?
Wakati binadamu ni wabishi sana ona hata maandishi yapo ya aina mbalimbali yapo ya kihindi,kichina,kituruki,kirumi n.k

Kama mpira uliwezekana kuwa na chama kimoja basi hilo la super league haliwezekan
 
labda Serikali ziingilie kati, naona Prime Minister wa Uingeleza kashatia neno tayari kuhusu huu ushirika wa timu za England.
 
Wana haribu mpira
 
Kama inawezekana ligi iwe listed pale NYSE investor tuweke pesa .

Hao UEFA na FIFA waachane na hizo mambo zao za kijinga
 
Sidhani kama serikali zitakuwa na nguvu yakuzuia hilo jambo kwasababu ni business kama nyingine na ikiwa tu hazivunji sheria za nchi husika hawana uwezo wa kuzuia. Hayo anayosema yeye yatakuwa ni maoni tu.
ni kweli, cha kushangaza zaidi FIFA ipo kimyaaa!! huyu Florentino Pérez Rodríguez ni kichwa sana.
 
Exactly wachezaji wana demand mishahara mikubwa ela ya uefa na epl haitoshi
 
f.cking FSG!!!
I am ashamed kuwa shabiki wa Liverpool right now!!
AIBU TUPU HII.
Aibu ya nini mkuu? Kwani wanchokwenda kucheza si mpira? Au umesikia wanafungua biashara ya ukahaba?
Swala ni kwamba wanaona unyonyaji umezidi, timu zinatumia hela nyingi kujiandaa na kufanya sajili, lakini wanachopata ni kiduchu.. Kwanini wasitafute pakutengenezea pesa??

Hivi vyama vinavyolalamika vinaona maslahi yao yanaingiliwa.
 
Hiyo ligi ishakufa kabla haijaanza maana Wachezaji wameambiwa mkikubali cheza hatutawaruhusu kushiriki mchezo wowote ulio chini ya FIFA....


Pia Serikali zimeanza ingilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…