Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Arsene was a football geniusArsène Wenger in 2009:
"I think a European league will develop in 10 years. I'm not 100% sure what I'm saying but I know that some people behind the scenes are pushing for this project. The money that will be coming in from the Champions League will not be enough for some clubs.”
Anyway labda sijaandika Kiswahili kizuri, lakini nimemaanisha hichohicho. Shukrani kwa kuainisha Kiswahili kizuri.Ni vilabu anzilishi ndiyo watapata hiyo pesa na siyo kila klabu anzilishi. Soma tena!
Kwani champions league na Europa league mpka sasa hatua ya nusu fainali zimebaki timu ndogo?Hii inshu nimegundua jambo. Timu kubwa hizi zinatamaa sana. Japo Uefa wanaweza wakawa mpunga wanaotoa ni wakawaida ila wamiliki wa timu wanatamaa. Mpira umebadilika sana. Timu zao ni kubwa wanasajili kwa gharama na kulipa mishahara mikubwa sana alafu ukiingia uwanjani unatolewa jasho au unatolewa kwenye makundi na timu kama Atalanta, Rb Leipzig mara sevilla unajikuta miaka kumi timu kongwe hufiki robo fainali. Hapa kunatamaa. Ukiangalia EPL top 4 haieleweki, Italy msimu huu jive akilemaa mwakani yupo futuhi, Napa wanatafuta unafuu tu kama ligi ZaMarekani kucheza ligi pasipo kushuka daraja. Haya mashindano yakiwepo yatakua ni ya hovyo kuliko maelezo
Mpira umebadilika mkuu sio kama zamani, small club despite not being much wealth but try to show world giant who they are in football.Kwani champions league na Europa league mpka sasa hatua ya nusu fainali zimebaki timu ndogo?
We unafikiri Perez anaishi Kama Yuko buza...?hahaaaaaa hao ndo mafia wenyeweNi muda wa sisi Watanzania kufanya export ya wasiojulikana wakawamalize kina Perez na Agnelli.
Wakae watu na akili zao wenye pesa na wawekeze...we inakuja kusema itakua ya hovyo🤣🤣🤣...sisi Kama mashabiki tukae kwa kutulia...unaeza kuta ikawa nzuri.....maana watu hawawezi kutoa Jambo zito Kama hili bila kujipangaHii inshu nimegundua jambo. Timu kubwa hizi zinatamaa sana. Japo Uefa wanaweza wakawa mpunga wanaotoa ni wakawaida ila wamiliki wa timu wanatamaa. Mpira umebadilika sana. Timu zao ni kubwa wanasajili kwa gharama na kulipa mishahara mikubwa sana alafu ukiingia uwanjani unatolewa jasho au unatolewa kwenye makundi na timu kama Atalanta, Rb Leipzig mara sevilla unajikuta miaka kumi timu kongwe hufiki robo fainali. Hapa kunatamaa. Ukiangalia EPL top 4 haieleweki, Italy msimu huu jive akilemaa mwakani yupo futuhi, Napa wanatafuta unafuu tu kama ligi ZaMarekani kucheza ligi pasipo kushuka daraja. Haya mashindano yakiwepo yatakua ni ya hovyo kuliko maelezo
Mkuu,wasiojulikana wa bongo ni hatari..dk sifuri tu wanamshusha Perez 6 feets under..We unafikiri Perez anaishi Kama Yuko buza...?hahaaaaaa hao ndo mafia wenyewe
Sure mkuu maana hii ligi kuanzisha ni Vita na Uefa kimaslahi...kwahiyo upande wa ulinzi lazima wawe njemaMkuu,wasiojulikana wa bongo ni hatari..dk sifuri tu wanamshusha Perez 6 feets under..
Hahaha,sema kweli..Perez yale yanakuwa mamafya kweli,yanaweza kuwa na intelligence security kushinda hata maraisi wa nchi zetu maskini.
Sio rahisi wengine kuibuka ndani ya kipindi kifupi kingine kama unavyodhani mkuu. Wao kama wanataka team ziendelee kuwepo UEFA waongeze dau, na ninajua inawezekana ila walizoea kuzinyonya tu hizo team Ili wapige faida ndefu.Ila kaa ukijua pesa haijawahi kutosha
Wakiibuka wengine tena itakua ni mwendo wa kuanzisha ligi tu na kupandishiana madau sio
Chamsingi waongeze dau tu, ila mchakato wenywe ni kama upo serious hivi,maana tayari waanzilishi wa ESL tayari wameshajiuzulu nafasi zao za Uongozi katika vyama vya soka Ulaya.Hamna cha super league wala nini. Uefa wataongeza mpunga mambo yataisha haya. Nakumbuka kuna mwaka NBA ulitokea mgomo hivi hivi ligi ikasimama hadi wachezaji wakaenda kufanya mazoezi Europe, baadae wakakaa chini wakayamaliza.
Kwani champions league na Europa league mpka sasa hatua ya nusu fainali zimebaki timu ndogo?