UEFA Zamani, sasa ni mfano tu.

Mimi nimemwaona Ronaldinho toka akachipukia (PSG) hadi anastaafu mpira was kimashindano, na Messi pia hivyo hivyo.

Nitafutie matukio kama matatu au manner Ronaldinho amekusanya kijiji hadi akafunga,

Wote wanapiga vyenga ila kila mmoja ana namna yake.. Tatizo kubwa la Ronaldinho alikua anacheza sana na mashabiki, chenga zake nyingi (mbwembwe) zilikua hazina madhara ukilinganisha na Messi
kumbe unajua kwamba ronaldinho kamzidi vyenga messi!!!...santiago bernabeu ni gaucho ndiye aliyepata standing ovation,messi mwenyewe anamkubali gaucho,kama gaucho hajamzidi chochote messi barcelona sasa messi anamzidi nini mume wa shakira!?
 
we jamaa naona unanichosha tu
 
wakawa wanaishia kubebwa tu kwa chelsea,wanashika mara kumi kumi penati hakuna,drogba akataka kuua refa,2012 chelsea akiwa pungufu anamkalisha mtu,messi anazurura tu uwanjani kama muuza karanga
 


Moja kati ya wanaojuwa mpira...salute kwako kamanda...na usisahau kuwa Gaucho kwa mdomo wake kakiri Ronaldinho: "I Knew Lionel Messi Was a Better Player than Me"

G_real
nitarudi
 
Rudi kwenye semi final UEFA 2005-6 uone Messi alichowafanya.
 
Kwa kukukumusha tu, "Ronaldinho is the truest and the last prophet of soccer?"
 
Aliwafunga smicer instanbul hafu ashindwe messi watu baba.baada ya miaka kumi mtaanzakusema kulikuwa na Maguire beki kisiki na zouma sahizi mtasema wabaya
 
Moja kati ya wanaojuwa mpira...salute kwako kamanda...na usisahau kuwa Gaucho kwa mdomo wake kakiri Ronaldinho: "I Knew Lionel Messi Was a Better Player than Me"

G_real
nitarudi
kauli za kisiasa hizo,messi alikua anamfuata gaucho club,barcelona wakaona atamuharibu,wakamuuza..yaani messi alikua anakoshwa na mnyama mpaka anamfuatafuata kama mkia
 
Duh Sasa hiyo picha uliyoiweka unadhani AC Milan alikuwa anacheza na Nani???
picha gani nimeweka?..maana nakumbuka 2005-6 final uefa ni barcelona v arsenal,akachezesha refa ambae mchana alikua amevaa jezi ya barcelona,sikumbuki kumuona messi siku ile,au aliumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…