UEFA Zamani, sasa ni mfano tu.

UEFA Zamani, sasa ni mfano tu.

waliona utakuja kuwa mzigo.
wakati wanamchukua 2003 barcelona ilimaliza nafasi ya 13,mwaka huo hakucheza,msimu uliofuata wakamaliza tatu bora,mnyama alicheza,baada ya hapo wakatawala ulaya,ikawa gaucho gaucho kila kona,afu useme mzigo,endelea na mahaba yako kwa mgonjwa wa autism asiyejua chenga zaidi ya kukimbialia mbele
 
kauli za kisiasa hizo,messi alikua anamfuata gaucho club,barcelona wakaona atamuharibu,wakamuuza..yaani messi alikua anakoshwa na mnyama mpaka anamfuatafuata kama mkia

Hayo ya nje ya uwanja mimi hayanihusu akhui...nnachoongelea hapa ni ufundi + mafanikio ndani ya uwanja.. hii ndio point yangu.

Gaucho atakumbukwa kwa lipi pale Barca?

GAUCHO 2003-2008 👇

Winner:
La Liga (2): 2004–05, 2005–06 mara 2

UEFA Champions League: 2005–06 mara 1

Supercopa de España (2): 2005, 2006 mara 2

Ballon d' ore amechukua mara 1 tu....haya ndio mafanikio katika timu!!

Sasa huyu utamlinganisha na Messi kweli! Mwenye La liga 10..Uefa 4..Copa del-rey 6..Supercopa de espana 8..Uefa super cup 3..Fifa club w/c 3..na Ballon de' ore 5 and 6 is download....!!!!!

La liga best player mara 8..La liga best foward mara 7..Fifa Club World Cup Golden Ball ameshinda mara 2..Pichichi Trophy ameshinda mara 6..ana magoli mengi zaidi + freekicks goals nk!!!

Jamani hata kama ni chuki sio hivyo tena, mpeni haki yake huyu mja ndivyo Mungu alivyomjaalia kiumbe chake! Duh! Sipati picha mafanikio haya angeyapaya Gaucho naamini kabisa pasingezungumzika humu!

G_real
 
Muogope M-Mungu mkuu, hata kama ni mgonjwa ni mipango yake Mungu, so hakutaka yeye kuwa hivyo!
 
usipime urefu wa jengo toka ardhini tu,angalia limezama chini kiasi gani,gaucho kaikuta barcelona inashika nafasi ya ngapi la liga,kaiacha wapi katika ramani ya soka?..ufundi messi hamfikii gaucho na hili hata nafsi yako inajua,gaucho kacheza misimu mingapi la liga?..ballon d'or ni biashara ya kampuni za michezo tangu walipoingia messi na ronaldo,hata messi alishangaa ile 2010 kupewa yeye badala ya xavi/iniesta
 
wakati wanamchukua 2003 barcelona ilimaliza nafasi ya 13,mwaka huo hakucheza,msimu uliofuata wakamaliza tatu bora,mnyama alicheza,baada ya hapo wakatawala ulaya,ikawa gaucho gaucho kila kona,afu useme mzigo,endelea na mahaba yako kwa mgonjwa wa autism asiyejua chenga zaidi ya kukimbialia mbele
ohoo sawa bingwa wewe
 
kauli za kisiasa hizo,messi alikua anamfuata gaucho club,barcelona wakaona atamuharibu,wakamuuza..yaani messi alikua anakoshwa na mnyama mpaka anamfuatafuata kama mkia
Yaaani Barca wamemuuza Dinho ili Messi asijeharibiwa, lakini unaona Dinho ni bora zaidi ya Messi!!! Kwa maelezo yako hapo, inaonyesha Barca walijua Messi is something else, ndio mana wakakubali kumuuza Dinho
 
dinho alikua anaelekea uzee,ni kama arsenal walivomuuza henry,waliona uzee unatinga na kasi imepungua,bora wa cash in wajenge kizazi kingine
 
Hayo ya nje ya uwanja mimi hayanihusu akhui...nnachoongelea hapa ni ufundi + mafanikio ndani ya uwanja.. hii ndio point yangu.

Gaucho atakumbukwa kwa lipi pale Barca?

GAUCHO 2003-2008 [emoji116]

Winner:
La Liga (2): 2004–05, 2005–06 mara 2

UEFA Champions League: 2005–06 mara 1

Supercopa de España (2): 2005, 2006 mara 2

Ballon d' ore amechukua mara 1 tu....haya ndio mafanikio katika timu!!

Sasa huyu utamlinganisha na Messi kweli! Mwenye La liga 10..Uefa 4..Copa del-rey 6..Supercopa de espana 8..Uefa super cup 3..Fifa club w/c 3..na Ballon de' ore 5 and 6 is download....!!!!!

La liga best player mara 8..La liga best foward mara 7..Fifa Club World Cup Golden Ball ameshinda mara 2..Pichichi Trophy ameshinda mara 6..ana magoli mengi zaidi + freekicks goals nk!!!

Jamani hata kama ni chuki sio hivyo tena, mpeni haki yake huyu mja ndivyo Mungu alivyomjaalia kiumbe chake! Duh! Sipati picha mafanikio haya angeyapaya Gaucho naamini kabisa pasingezungumzika humu!

G_real
Gaucho ni black ndo maana hawakumpa.
 
usipime urefu wa jengo toka ardhini tu,angalia limezama chini kiasi gani,gaucho kaikuta barcelona inashika nafasi ya ngapi la liga,kaiacha wapi katika ramani ya soka?..ufundi messi hamfikii gaucho na hili hata nafsi yako inajua,gaucho kacheza misimu mingapi la liga?..ballon d'or ni biashara ya kampuni za michezo tangu walipoingia messi na ronaldo,hata messi alishangaa ile 2010 kupewa yeye badala ya xavi/iniesta

Muda wote huo amecheza Barca je atakumbukwa kwa lipi? Maana unasifia tu ufundi wake, ila achievement zake huongelei..refers to the records and statistics!

Uefa ana ngapi?

La liga?

Copa del-rey?

Supercopa de espana?

Fifa club w/c?

Uefa super cup?

Gaucho ni black ndo maana hawakumpa.

Gaucho ni chotara..so huwezi kumweka kwenye kundi la blacks..ni kama Carlos baca, Vidjik na Nikolas maidana mwargentina huyu, huwezi kusema ni blacks hawa.
 
we jamaa una matatizo kichwani,ukimkumbuka gaucho unaikumbuka barcelona
 
Kila zama na watu wake. Kuna wakati utafika watakuja watoto wetu na picha za wakina Rashford na Lingard wakiwanasibu kama washambuliaji wazuri kupata kutokea United.

Zama ikipita imepita.
Kama watawataja basi watawataja kiushabiki tu, ila hao wachezaji nataman wauzwe tu pale,, huyo Lingard na Pogba mda wote wanatembea na kukimbia kitoz,, yaan 😁
 
Back
Top Bottom