Uelekeo wa pots za Draw ya CAF Champions League 2023/24

Uelekeo wa pots za Draw ya CAF Champions League 2023/24

Lupweko

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Posts
23,566
Reaction score
24,891
Pot 1:
Al Ahly
Wydad AC
Espérance de Tunis
Mamelodi Sundowns

Pot 2:
CR Belouizdad
Pyramids
Simba
Petro de Luanda

Pot 3:
TP Mazembe
Al Hilal
Young Africans
ASEC Mimosas

Pot 4:
Étoile du Sahel
Jwaneng Galaxy
Nouadhibou
Medeama

NB:
1. Kuna baadhi ya mechi (tatu) zinaendelea, ila uelekeo ndio huo
2. Pots sio groups za competition, bali ni class za ubora wa clubs
3. Timu zilizo katika pot moja haziwezi kukutana. Ukiondoa condition hiyo, hakuna condition nyingine inayozuia club zisizoshea pot kukutana katika group. Hata club kutoka nchi moja zinaweza kukutana katika group moja iwapo hazimo katika pot moja
 
Pyramids hawezi kuwa pot 2
 
Yanga sio kwamba alitakiwa kuwa pot 4?
Waliofuzu pot 4 wana points chache kulinganisha na Yanga. Kumbuka kuwa kuna clubs zipo juu ya Yanga kwa points, lakini hazijafuzu hatua ya makundi, either kwa kutolewa au kwa kutoshiriki michuano ya CAF CL. Mfano ni Raja CA, Zamalek, JS Kabylie, RS Berkane na USM Alger
 
Back
Top Bottom