Uelekeo wa pots za Draw ya CAF Champions League 2023/24

Aliyewadanganya Simba wa 7 ni nani? Simba ni wa tisa
1) Al Ahly
2) Wydad
3)Es Tunis
4) Mamelod
5)Raja
6)Zamalek
7)Berkane
8) Belouizdad
9) Simba
Zamalek yupo chini ya simba misimu karibia mi 5 hatoboi kwenda robo points anapata wapi? Chukua miaka mi 5 ya mwisho ndio ujue usikariri

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Aliyewadanganya Simba wa 7 ni nani? Simba ni wa tisa
1) Al Ahly
2) Wydad
3)Es Tunis
4) Mamelod
5)Raja
6)Zamalek
7)Berkane
8) Belouizdad
9) Simba
Kuhesabu sasa tunaanzia points za mwaka kuanzia 2019/2020 ya nyuma yote tunazifuta,kuanzia hapo simba kafanya vizuri kuliko zamalek changaule

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Pitia hapo, angalia club ranking for 2023/2024 club season ( ndio msimu tuliopo sasa)

Kitu ambacho umechanganya ni msimu wa 2018/19 kwa sasa haupo maana haya mashindano mapya ukirudi 2018 inakua misimu 6 ambayo ni kinyume,usiwafate hao wikpedia anza kuhesabu tu mwenyewe

18/19
19/20
20/21
21/22
22/23 ???
23/24
Unaona hapo ni misimu 6 kwaio kwa points na ranks za caf ili zitumike wataanzia 19/20 na huu 23/24 inakua mi 5

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Si ndiyo maana nikaiita rank ya mchongo, unalinganisha timu za kimataifa kwa kuangalia matokeo ya mechi za ndani, badala ya matokeo ya mechi za kimataifa
Mkuu wao kazi yao ni kuchukua takwimu kwa kila aina ya mchezo. Na wao wana deal na performance. Kwahiyo wanachoweka wao ni overall performance. Timu ikifanya vizuri kimataifa na nyumbani hafanyi vizuri maanake kwenye mizani ya performance anakuwa amepungua, na timu ikifanya nyumbani vizuri halafu kimataifa hakufanya vyema nae hivyo hivyo. Wanachukua record ya kila kitu idadi ya mechi ulizoshinda, magoli, clean sheet, n.k
 
Kitu ambacho umechanganya ni msimu wa 2018/19 kwa sasa haupo maana haya mashindano mapya ukirudi 2018 inakua misimu 6 ambayo ni kinyume,usiwafate hao wikpedia anza kuhesabu tu mwenyewe

18/19
19/20
20/21
21/22
22/23 ???
23/24
Unaona hapo ni misimu 6 kwaio kwa points na ranks za caf ili zitumike wataanzia 19/20 na huu 23/24 inakua mi 5

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Mkuu kuna kitu haujakielewa. Ipo hivi, kwasasa tupo msimu mpya wa 2023/2024 na ndio anatafutwa bingwa wa msimu wa 2023/2024 hivyo rank inayotumika kwa msimu huu ni kwanzia msimu wa mwaka jana kurudi nyuma misimu mitano
1) 2022/2023
2) 2021/2022
3) 2020/2021
4) 2019/2020
5) 2018/2019

Baada ya msimu huu kuisha tutakuwa na rank mpya itakayotoa muongozo kwa msimu mpya wa 2024/2025 ambapo tutahesabu kwanzia msimu wa 2023/2024 kurudi nyuma misimu mitano ambapo itakuwa;

1) 2023/2024
2) 2022/2023
3) 2021/2022
4) 2020/2021
5) 2019/2020
 
Mbona wameelezea vizuri na ndio hii katika watu makini wa Utopolo wewe ni mmoja wapo, usiingie katika mkumbo,,,hii source yako imeelezea labda haujaifungua vizuri na nime attach apo uliyotakiwa uione
Screenshot_20231002-001348_Chrome.jpg

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Mbona wameelezea vizuri na ndio hii katika watu makini wa Utopolo wewe ni mmoja wapo, usiingie katika mkumbo,,,hii source yako imeelezea labda haujaifungua vizuri na nime attach apo uliyotakiwa uioneView attachment 2769057

Unapokesea wewe ni hapo hiyo rank ni assumption ya msimu mpya wa 2024/2025 na ndio kwanza timu zipo group stage na haijulikani msimu huu wa 2023/2024 timu zitavuna kipi
IMG_20231002_002050.jpg
 
Mbona wameelezea vizuri na ndio hii katika watu makini wa Utopolo wewe ni mmoja wapo, usiingie katika mkumbo,,,hii source yako imeelezea labda haujaifungua vizuri na nime attach apo uliyotakiwa uioneView attachment 2769057

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Soma vizuri hiyo ni rank ya kubunia kwaajili ya msimu wa mwakani wakati hata matokeo ya msimu huu bado. Nenda walipoandika club ranking for 2023/2024 club season
 
Sio ya kubuni shida hauelewi au sijui utaki kuonekana umeshindwa hoja,msimu wa 18/19 washautoa na vizidishio washavitoa ndomana simba nae points zmepungua zmekua 24 sio 35 lama msimu 2022/23

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Unapokesea wewe ni hapo hiyo rank ni assumption ya msimu mpya wa 2024/2025 na ndio kwanza timu zipo group stage na haijulikani msimu huu wa 2023/2024 timu zitavuna kipiView attachment 2769060
Umeona hiyo from 2019 source ilivyosema,? Usishupaze shingo ukawa kama utopolo wenzako ambao tunawajua jinsi walivyo humu jukwaani

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Umeona hiyo from 2019 source ilivyosema,? Usishupaze shingo ukawa kama utopolo wenzako ambao tunawajua jinsi walivyo humu jukwaani

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Mkuu hivi tatizo ni lugha au ni nini kinachokuchanganya?
Ngoja niende na wewe taratibu kupitia screen shot uliyonitumia kuna maneno naya nukuu

"The club ranking for the 2024–25 CAF Champions League and the 2024–25 CAF Confederation Cup will be based on results from each CAF club competition from 2019-20 to the 2023–24 season. "

Je una elewa maaanake nini hayo maneno?
 
Back
Top Bottom