Uelekeo wa pots za Draw ya CAF Champions League 2023/24

Mkuu hivi tatizo ni lugha au ni nini kinachokuchanganya?
Ngoja niende na wewe taratibu kupitia screen shot uliyonitumia kuna maneno naya nukuu

"The club ranking for the 2024–25 CAF Champions League and the 2024–25 CAF Confederation Cup will be based on results from each CAF club competition from 2019-20 to the 2023–24 season. "

Je una elewa maaanake nini hayo maneno?
Huu msimu 2023/2024 ushaanza na kwaio ule wa 2018/2019 unafutika moja kwa moja kwaio itakua hivi
2019/2020 point,zinaanza kuhesabiwa

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Mpaka sàsa kwenye mabishano yenu wewe na changaule ni hivi yeye ameonyesha lugha ya uungwana mno kuliko wewe
Nimeleta tuu utani wa jadi kitumia neno utopolo ila mimi jukwaani siwezi kumtukana mtu, nitatumia zile lugha zetu ambazo common za utani wa jadi ambazo utasikia utopolo n.k

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Unapokesea wewe ni hapo hiyo rank ni assumption ya msimu mpya wa 2024/2025 na ndio kwanza timu zipo group stage na haijulikani msimu huu wa 2023/2024 timu zitavuna kipiView attachment 2769060
Ndomana katika hii hoja ulisema ni assumption ambacho sio kweli huu msimu mpya points zinazidishiwa mwisho mwaka jana bila kuangalia wataishia awamu gani kwa msimu huu,baada ya msimu kama wengine wameingia hadi final huu mwaka utahesabika na kizidishio kitakua kinaishia 2023,wakati msimu huu unaanza simba ni ya 7 ila ukiisha Simba inaweza ikapanda au ikashuka yanga imetoka 70+ ila msimu 2022/2023 kuisha Yanga kafika hadi wa 15 kamzidi hadi al Mereikh ndomana kwa uzito alionao Yanga mechi zote kaanzia away kumalizia nyumbani ila wangetumia ile ranks unayoitaka wewe ambayo kweli ni sahihi ukishia 2023 na ukijumuisha kianzio 18 yanga asingeanzia away na Al mereikh

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Huu msimu 2023/2024 ushaanza na kwaio ule wa 2018/2019 unafutika moja kwa moja kwaio itakua hivi
2019/2020 point,zinaanza kuhesabiwa

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Nimeomba kwanza unipe hiyo tafsiri ndio itafunga mjadala wa mimi na wewe kwasababu kuna vitu bado haujavielewa.

Nime attach kielezo chako unachokitumia wewe kama ndio point yako.

Nanukuu tena "The club ranking for the 2024–25 CAF Champions League and the 2024–25 CAF Confederation Cup will be based on results from each CAF club competition from 2019-20 to the 2023–24 season. "

Hayo maelezo yamemaanisha nini?
IMG_20231002_002050.jpg
 
Ndomana katika hii hoja ulisema ni assumption ambacho sio kweli huu msimu mpya points zinazidishiwa mwisho mwaka jana bila kuangalia wataishia awamu gani kwa msimu huu,baada ya msimu kama wengine wameingia hadi final huu mwaka utahesabika na kizidishio kitakua kinaishia 2023,wakati msimu huu unaanza simba ni ya 7 ila ukiisha Simba inaweza ikapanda au ikashuka yanga imetoka 70+ ila msimu 2022/2023 kuisha Yanga kafika hadi wa 15 kamzidi hadi al Mereikh ndomana kwa uzito alionao Yanga mechi zote kaanzia away kumalizia nyumbani ila wangetumia ile ranks unayoitaka wewe ambayo kweli ni sahihi ukishia 2023 na ukijumuisha kianzio 18 yanga asingeanzia away na Al mereikh

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Nimesema assumption kwasababu hiyo rank ya 2024/2025 Wikipedia waliweka kabla hata michuano ya msimu hayajaanza na ndio maana wengi wenu mliichukulia Simba ya saba pasipo kuangalia ni rank ya namna gani.

Kiu ambacho unashindwa kuelewa ni kwamba michuano ya msimu huu haya deal na performance za timu katika msimu huu bali yana deal na performance za timu kwa misimu uliopita kurudi nyuma kwa misimu mitano. Performance za timu katika msimu huu, yatatumika katika michuano ya CAF ya msimu ujao wa 2024/2025.
 
Katika assumption kwanini wasiache Zamalek pale pale na Simba kushushwa hadi wa 11

Ni kwamba hata Al Ahly na Pyramids zinaweza kukutana katika group moja. Similarly, Simba na Yanga zinaweza kukutana katika group moja
Hapa umepotosha, kasome kipengele namba 17 cha CAF Championship regulations.
 
Nimesema assumption kwasababu hiyo rank ya 2024/2025 Wikipedia waliweka kabla hata michuano ya msimu hayajaanza na ndio maana wengi wenu mliichukulia Simba ya saba pasipo kuangalia ni rank ya namna gani.

Kiu ambacho unashindwa kuelewa ni kwamba michuano ya msimu huu haya deal na performance za timu katika msimu huu bali yana deal na performance za timu kwa misimu uliopita kurudi nyuma kwa misimu mitano. Performance za timu katika msimu huu, yatatumika katika michuano ya CAF ya msimu ujao wa 2024/2025.
Hii kwa mujibu ya Ligi kuu Tz ambayo Simba imepanda hadi ya 7 yanga pia imepanda hadi 17
Screenshot_20231002-094110_Chrome.jpg

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Haiwezekani timu mbili kutoka nchi moja kupangwa kundi moja, according to CAF league regulations
Kwenye preliminary round kweli hawawezi kutana ila kuanzia makundi wanakutana bila shida,,,msimu wa mwaka juzi
Al mereikh
Al hilal zote za sudan zilikutana champions league,msimu uliopita kwenye caf confederation cup
Future
Pyramid zilikua kundi moja na hizi zote za misri

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Zimeanza ndumba.
Mwaka jana
Al Ahly na Mamelodi Sundowns walikuwa group moja.

hizi taarifa zako za mchongo
 
Ni kwasababu Yanga ya sasa NI HATARI SANA.

Simba apangiwe timu nyepesi ili kuibusti kidogo
 
Katika assumption kwanini wasiache Zamalek pale pale na Simba kushushwa hadi wa 11

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Mimi najitahidi sana kijibu maswali yako ila wewe unaruka maswali nayokuuliza?

Kwanini nimesema ni assumption? Ni kwasababu 2024/2025 ni michuano inayohusisha matokeo ya msimu wa 2023/2024 kurudi nyuma misimu mitano lakini msimu wa 2023/2024 ndio kwanza umeanza.
Kwanini Zamalek yupo chini ya Simba, ni kwasababu hiyo rank unayotumia wewe ni ya msimu ujao hivyo imefuta nsimu wa 2018/2019

Tufunge mjadala hapa.
Swali la kwanza je saivi tupo msimu wa mwaka gani wa michuano ya CAF?
Je huu msimu wa sasa tuliopo inachukuliwa ranking kwanzia mwaka gani hadi mwaka gani kufanya seeding?
 
Back
Top Bottom