Rogers luyangi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 552
- 948
Umeingia mkumbo haujafanya tafiti.kuna kitu huelewi, wanaposema misimu 5 nyuma wanaanza kuhesabu misimu 5 iliyokamilika,.....
kwaio kwa ranking zilizotumika mwaka huu wameanzia msimu wa 22/23 kurudi nyuma , yani 22/23, 21/22, 20/21, 19/20, 18/19.......
point za 23/24 hazitumiki kwa sababu hakuna timu hata moja iliyokusanya point kwa msimu huu...... ofcoz simba yupo juu ya zamalek kwa hio ranking unayotumia ya wikipedia kwa sababu zamalek hashiriki mashindano ya CAF msimu huu na simba yupo makundi so technically kwa ranking ijayo simba atakua juu ya zamaleki (
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app