changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Nimekwambia weka rank yako ya misimu mitano hapa itakayotumika katika michuano ya CAF msimu tokea mwanzo mpaka mwisho wa mashindano ya 2023/2024. Niambie rank yako ya 5 years unaanzia wapi na kuishia wapi. Mbona mimi nakuhoji vitu vingi sana unavikwepa halafu wewe kila unachouliza mimi nakujibu kwa mapana kila hoja yako?Kuanzia pale bingwa anapopatikana mwezi wa 5 hadi wa 9 rank inabadilika,ule msimu wa mashindano kizidishio ni zero inabidi tujue zero nayo ni namba kama namba zengine,cummulative za points ndio zitakazoibeba timu kwenye pot kwwnye mwaka wa mashindano najua ukakasi unakuja kwenye zero(0) ila tujue hii pia ni namba
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Tupo msimu wa 2023/2024 niambie michuano ya msimu huu seeding inafanyika vipi?