Rogers luyangi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 552
- 948
Sijui kama kuna sehemu nimetamka hivyo, labda ku assume kwako ndpo kuondoa credibility ni sawa. Ila nachojua wao wameweka rank ambayo haina matokeo ya msimu huu. Na isitoshe hiyo kubishana kwa mimi nawewe sio hilo bali ni swala la mashindano ya msimu huu seeding wanachukulia kwanzia msimu upi mpaka upi. Ila kikubwa nimejaribu kadri ya uwezo wangu kukuelewesha, haikuishia hapo wamekuja watu wengine kukufundisha ila uelewi. Basi mkuu baki na unachokijua.
View: https://youtu.be/fx_-bHVh-T8?si=kck1EbH2mENmXYwd
Hapa tulikua tunatofautiana kwa kile ambacho mimi najua kinatumika nawewe ambacho unajua kinatumika,kama unakumbuka mwezi july ndio ilitoka iyo ranks ya Simba kuwa wa 7 ndio ni kawa natumia jinsi imekuaje kuaje,,,kutofautina ni jambo la kawaida embu mcheki huyu mchambuzi naye anaamini ninacho amini nenda you tube andika
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app