Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una vinasaba vya kitopolo na Kuna story hujamalizia.Pot 1:
Al Ahly
Wydad AC
Espérance de Tunis
Mamelodi Sundowns
Pot 2:
CR Belouizdad
Pyramids
Simba
Petro de Luanda
Pot 3:
TP Mazembe
Al Hilal
Young Africans
ASEC Mimosas
Pot 4:
Étoile du Sahel
Jwaneng Galaxy
Nouadhibou
Medeama
NB:
1. Kuna baadhi ya mechi (tatu) zinaendelea, ila uelekeo ndio huo
2. Pots sio groups za competition, bali ni class za ubora wa clubs
3. Timu zilizo katika pot moja haziwezi kukutana. Ukiondoa condition hiyo, hakuna condition nyingine inayozuia club zisizoshea pot kukutana katika group. Hata club kutoka nchi moja zinaweza kukutana katika group moja iwapo hazimo katika pot moja
Angalia Azam TV Kuna ka documentary anasimulia Gharib Mzinga kuhusu upangaji wa draw ulivyokua na nafasi za klabu wamezieeka,utagundua kuwa nilikua sahihi sema wengi hawawezi sema humu.Umeeleweshwa sana ila naona umeamua kuchukua upande wako tu