Dah mkuu, mbona unashindwa kuwa muelewa kiasi hiki?
Nimekupa hiyo reference ya msimu uliopita ili upate kuelewa ni namna gani seeding inafanyika. Wewe unasema ili kufanya seeding katika mashindano ya msimu huu, huwa wanachukua na ranking ya msimu na kuhesabu ni 0. Kitu ambacho nimekwambia sio sahihi msimu huu unahesabika kwa mashindano ya msimu ujao. Ila kwa msimu huu wanachukua misimu mitano ya nyuma. Nikakupa na reference ili uone sheria ipoje ya seeding na je ni namna gani msimu mashindano yaliyopita wamefanya seeding