Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Hizo timu si ziko pot moja ? Hilo litatokeaje ?Ni kwasababu Yanga ya sasa NI HATARI SANA.
Simba apangiwe timu nyepesi ili kuibusti kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo timu si ziko pot moja ? Hilo litatokeaje ?Ni kwasababu Yanga ya sasa NI HATARI SANA.
Simba apangiwe timu nyepesi ili kuibusti kidogo
Mimi nakupa international source wewe unanipa vi mtandao uchwara. Twende na hiyo hiyo Wikipedia au njoo na mitandao inayoeleweka.Hii kwa mujibu ya Ligi kuu Tz ambayo Simba imepanda hadi ya 7 yanga pia imepanda hadi 17 View attachment 2769200
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣 Mechi moja tu ChaliiNi kwasababu Yanga ya sasa NI HATARI SANA.
Simba apangiwe timu nyepesi ili kuibusti kidogo
pita kwa rasi simba mkuu[emoji23]Haiwezekani timu mbili kutoka nchi moja kupangwa kundi moja, according to CAF league regulations
Ulaya wao katika makundi hawapangi timu toka nchi moja, CAF wangedesa mfumo huo.Ni kwamba hata Al Ahly na Pyramids zinaweza kukutana katika group moja. Similarly, Simba na Yanga zinaweza kukutana katika group moja
hii regulation hasa huo mstari wa mwisho haukutakiwa kuwepo...... wamepoteza wino tu!
Kwa goli la kujifunga plus advantage ya goli la ugenini!!Yanga ni sawa na kijana wa kimasikini aliyepatia hela ukubwani, lazima atakuwa limbukeni wa PESA tu... Mbwembwe nyiingi!
Simba yeye alishazoea kash kash za Champions league, nothing new to him.
kuna kitu huelewi, wanaposema misimu 5 nyuma wanaanza kuhesabu misimu 5 iliyokamilika,.....Ndomana katika hii hoja ulisema ni assumption ambacho sio kweli huu msimu mpya points zinazidishiwa mwisho mwaka jana bila kuangalia wataishia awamu gani kwa msimu huu,baada ya msimu kama wengine wameingia hadi final huu mwaka utahesabika na kizidishio kitakua kinaishia 2023,wakati msimu huu unaanza simba ni ya 7 ila ukiisha Simba inaweza ikapanda au ikashuka yanga imetoka 70+ ila msimu 2022/2023 kuisha Yanga kafika hadi wa 15 kamzidi hadi al Mereikh ndomana kwa uzito alionao Yanga mechi zote kaanzia away kumalizia nyumbani ila wangetumia ile ranks unayoitaka wewe ambayo kweli ni sahihi ukishia 2023 na ukijumuisha kianzio 18 yanga asingeanzia away na Al mereikh
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Nachojua huku kuna Al Ahly ambaye alinyukwa na USM Algers. Hapo VipiNi kweli kabisa, karibuni tena kwenye mashindano ya mabingwa baada ya kuyatafuta sana kwa miaka 25
Tahadhari: Huku sio Shirikisho, hakuna akina Marumo huku, ni wanaume tupu
Mmekaa miaka mingapi hamjawahi kuiona group stage ya CAFCL?Kwa goli la kujifunga plus advantage ya goli la ugenini!!
Kwenye Wikipedia hawajaonesha kama Simba yupo juu ya Zamalek isipokuwa huyu jamaa anachanganga vitu. Kwenye Wikipedia wameweka ranking halisi kuelekea huu msimu wa mashindano ya 2023/2024 halafu pia wameweka na assumption ya rank ya msimu ujao wa 2024/2025. Sasa huyu anachukulia rank ya 2024/2025 ilihali huu msimu wa 2023/2024 haujatamatika.kuna kitu huelewi, wanaposema misimu 5 nyuma wanaanza kuhesabu misimu 5 iliyokamilika,.....
kwaio kwa ranking zilizotumika mwaka huu wameanzia msimu wa 22/23 kurudi nyuma , yani 22/23, 21/22, 20/21, 19/20, 18/19.......
point za 23/24 hazitumiki kwa sababu hakuna timu hata moja iliyokusanya point kwa msimu huu...... ofcoz simba yupo juu ya zamalek kwa hio ranking unayotumia ya wikipedia kwa sababu zamalek hashiriki mashindano ya CAF msimu huu na simba yupo makundi so technically kwa ranking ijayo simba atakua juu ya zamaleki (
Pot 1:
Al Ahly
Wydad AC
Espérance de Tunis
Mamelodi Sundowns
Pot 2:
CR Belouizdad
Pyramids
Simba
Petro de Luanda
Pot 3:
TP Mazembe
Al Hilal
Young Africans
ASEC Mimosas
Pot 4:
Étoile du Sahel
Jwaneng Galaxy
Nouadhibou
Medeama
NB:
1. Kuna baadhi ya mechi (tatu) zinaendelea, ila uelekeo ndio huo
2. Pots sio groups za competition, bali ni class za ubora wa clubs
3. Timu zilizo katika pot moja haziwezi kukutana. Ukiondoa condition hiyo, hakuna condition nyingine inayozuia club zisizoshea pot kukutana katika group. Hata club kutoka nchi moja zinaweza kukutana katika group moja iwapo hazimo katika pot
Pot haicheziMwakani Simba itakuwa poti 1.
Kuna kitu kidogo ambacho tunashindwa kuelewana pale msimu mpya unavyoanza kwakua tupo 2023/2024 huu tuliopo kwakua ndio unaendelea hauhesabiki hadi timu itolewa na msimu kuisha hesabu inakua hivi msimu wa 2019/20Kwenye Wikipedia hawajaonesha kama Simba yupo juu ya Zamalek isipokuwa huyu jamaa anachanganga vitu. Kwenye Wikipedia wameweka ranking halisi kuelekea huu msimu wa mashindano ya 2023/2024 halafu pia wameweka na assumption ya rank ya msimu ujao wa 2024/2025. Sasa huyu anachukulia rank ya 2024/2025 ilihali huu msimu wa 2023/2024 haujatamatika.View attachment 2769302View attachment 2769303