changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Sio kwa Yanga ni mazingira sawa sawa na kwa Simba, kama timu zote zenye nafasi zao zingefuzu basi Yanga angeangukia pot 4 na pia Simba wangeangukia pot 3Waliofuzu pot 4 wana points chache kulinganisha na Yanga. Kumbuka kuwa kuna clubs zipo juu ya Yanga kwa points, lakini hazijafuzu hatua ya makundi, either kwa kutolewa au kwa kutoshiriki michuano ya CAF CL. Mfano ni Raja CA, Zamalek, JS Kabylie, RS Berkane na USM Alger