Uelekeo wa pots za Draw ya CAF Champions League 2023/24

Marekebisho: Belouizdad katolewa jana hivyo Tp Mazembe ataenda pot 2 na Etoil du Sahel atapanda hadi pot 3.
Hajatolewa, ameshinda 3-1 nyumbani na ugenini, aggregate 6-2 na ni moja ya timu hatari sana ila haziimbwi
 
Rasmi CAF imetoa mpangilio wa pots 1-4, ni kama ule ule niliouweka katika mwanzo wa uzi

 
Una vinasaba vya kitopolo na Kuna story hujamalizia.

Malizia story yako moyo uridhike[emoji16]
 
Umeeleweshwa sana ila naona umeamua kuchukua upande wako tu
Angalia Azam TV Kuna ka documentary anasimulia Gharib Mzinga kuhusu upangaji wa draw ulivyokua na nafasi za klabu wamezieeka,utagundua kuwa nilikua sahihi sema wengi hawawezi sema humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…