Ulimwengu una mambo mengi ya maajabu,sio kila kitu kwa ajili yetu, ndio maana wengine hufa instantly baada ya kukutana na maajabu.Mkuu camera iliungua ila ukihitaji ushahidi zaidi itabidi nim record mtu aliyekuwepo shambani aeleze alichokiona ili tufananishe na maelezo yangu
Mkuu ni kweli kabisa unachosema maana hichi nilichoona ni kitu cha kutisha ambacho unaweza kufa unawaza na usipate majibu maisha yako yoteUlimwengu una mambo mengi ya maajabu,sio kila kitu kwa ajili yetu, ndio maana wengine hufa instantly baada ya kukutana na maajabu.
Hiyo ni imani yako!Mkuu, Mungu ndiye muumbaji wa kila kitu hata miungu ameumba yeye kwa maana hiyo Mungu ni Mwanzo na Mwisho
Mshana Jr. Ni hatari JF kila mtu anamwogopa sana ktk mambo ya kichawimshana jr alikuwa anakagua maeneo hayo kama yanafaa kuweka makazi.
Mimi ni Goddess Isis..,,keMkuu, Mungu ndiye muumbaji wa kila kitu hata miungu ameumba yeye kwa maana hiyo Mungu ni Mwanzo na Mwisho
Mshana Jr. Ni hatari JF kila mtu anamwogopa sana ktk mambo ya kichawi
CoolMkuu siwezi kuchukia binafsi huwa sioni kipya hapa duniani cha kunichukiza.
DuhWatu waongo kama hawa ndo wanapunguza ladha ya jf
Mshana ni kichwa hakutakiwa kuwa mchawi wa tz alitakiwa awe mchawi wa ulaya maana ni jichawi lisomi la machawiIla huyu mtu ni kichwa sana na ni muelewa mzuri sana. Mimi nilijua wanga na wachawi ni watu ambao hawajaelimika kumbe nilikuwa nakosea sana. Jana nimemuuliza kitu mahali kaamua kunipotezea.
CC: mshana jr