Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Mkuu nimeambatanisha picha hiyo kwa sababu ya kuonyesha Jua lilivyo halina kidoti kikubwa wala tundu.Kuna muda unaweza kuonekana mpuuzi/mwongo wakati unaloongea ni muhim sana na ni la ukweli,mtu anasema alikuwa na camera lakini picha anayoambatisha kachukua mtandaoni!
Mkuu Mimi nilishuhudia kwa macho yangu na tulikuwa wengi sikuwa peke yangu.Ki ukweli hiki kitu nishakisikia na kuona picha yake, ambaye dada angu alikua geita alipiga simu na kuniambia ameona kitu kama hicho lakini cha ajabu mimi huku sikuona kitu kama hicho. Na picha alinitumia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ni kweli kbs
Pia na matumizi ya sigara kubwa
Mimi naamini umeona hiyo kitu, lakini kuungua kamera ya kidigitali hadi memory Card hapo kisayansi inahitaji maelezo ya kutosha.Mkuu nilichoandika ni ukweli sina haja ya kudanganya umma Mimi ni mtu ninaye jitambua ingekuwa joke ningepeleka majukwaa husika nisingeleta huku.
Asante sana mkuuIwe umetoa sehemu au umetunga haijalishi,kule kuchochea fikra inatosha kuthamini.
Ulichosema si kigeni,kipo na bado kina mkanganyiko.
Na kwa kuwa ni ngumu kuthibitisha inakuwa ngumu kuelewa na kuamini.
Na si kwa jua Tu, hata na dunia ina kitu kama hicho.
Hata mimi nina imani ya kuwa Magimba ya angani ikiwemo Dunia yetu ni milango (portal),Kuwezesha kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
Ila kuna wahuni fulani duniani wanaficha ukweli, Ila nikiri tu sijafahamu kama ni kwa nia Mbaya au Njema.
Ila usitegemee watoto wachanga wakakuelewa.ubarikiwe
Ni kweli hawa Serengeti boys kukuelewa ni ngumuIwe umetoa sehemu au umetunga haijalishi,kule kuchochea fikra inatosha kuthamini.