Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Sep 30, 2023 #1 Je kuongezeka, kuimarika na kushamiri kwa hali hii ya uelewa mpana wa mambo kwa wananchi, kumechochewa zaidi na nini, ili kusudi pia kichocheo hicho kitumike kuchochea Elimu na uelewa wa katiba iliyopo na inayokusudiwa?
Je kuongezeka, kuimarika na kushamiri kwa hali hii ya uelewa mpana wa mambo kwa wananchi, kumechochewa zaidi na nini, ili kusudi pia kichocheo hicho kitumike kuchochea Elimu na uelewa wa katiba iliyopo na inayokusudiwa?