Uendeshaji wa boda boda na baiskeli kwa muda mrefu unapunguza nguvu za kiume; waendesha boda boda kuweni makini

Hapa utasikilizwa kwa makini.
Yeah, maana ni janga kwa bodaboda wengi..
Natamani bodaboda wenzangu waje kuthibitisha au kukanusha hiki nilichokileta jamvini.
Tuachane na propagandists ambao ajira yao ni hiyo; kufanya uongo uwe ukweli na ukweli uwe uongo.
Lazima tuseme ukweli hata kama unauma, halafu tutafute namna ya kusaidiana.
Ova.
 
Kama inaongelea zile za kufanyia mazoezi kwa dakika 30 hadi lisaa tu kwa siku ni sahihi.
Hata za matumizi ya kawaida majumbani Ifakara,Kyela,Tanga mjini,Pangani,Kilosa,Shinyanga,Tabora na Mwanza watu wanatumia baiskeli zaidi ya miaka 20 kuendesha umbali mrefu na hizo nguvu si tatizo.
 
😁😁😁😁😁😁
 
Inawezekana mtoa mada ulizaliwa kipindi cha jakaya enzi zetu unapanda baiskeli tegeta mpaka bagamoyo na kurudi na bado nyumbani mama anawatoto wa kutosha tatizo kaka ni mabinti wa siku izi wanatumia tango ugoro wanaweka ukeni wanatumia uume wa mdori kingine wake zetu zamani walikua wanahifadhi miili yao kuona upaja ufanye kazi sasa angalia leo wanashindana kutembea uchi wanachoma sindano za uzazi wa mpango mwanamke hana joto tena ni wa baridi sasa kutwa nzima tunaona uchi wa mabinti ham tena inatoka wapi wacheni boda wewe kama unashindwa kwa mkeo tafuta wazee wakusaidie tatizo lako
 
Nilikua na utaratibu wa kuendesha baiskeli toka Muze hadi Zimba,aisee kuna siku nimefika Mtowisa,nikasema ngoja nilale pale,mdada mmoja ni mwanafunzi wa shule moja ya sekondari pale Mtowisa inaitwa Vuma,alijichanganya,nilimkanyaga,yaani bao la kwanza lilichukua siyo chini ya saa moja,ile namaliza,miguu yake hadi ikawa inatetemeka,mnara ukasoma tena ndani ya dakika mbili nikamuomba nipige raundi ya pili,aligoma kabisa,akasema kachoka.Toka siku hiyo sijawahi kupiga raundi ndefu ya bao la kwanza kama lile,ila nachani iliyoniboost ni uendeshaji wa baiskeli,leo namsoma huyu mtafiti,sijui lakini.
 
Hata za matumizi ya kawaida majumbani Ifakara,Kyela,Tanga mjini,Pangani,Kilosa,Shinyanga,Tabora na Mwanza watu wanatumia baiskeli zaidi ya miaka 20 kuendesha umbali mrefu na hizo nguvu si tatizo.
Bila shaka hujanielewa vzr ndugu yangu.
Kuna utofauti wa upungufu na ukosefu wa nguvu za kiume!
 
Wewe utakuwa kati ya wanaume wabinafsi ambao wakati wa tendo wanajiangalia wao tu bila kuwafikilia wenza wao!
Just imagine unamsumbua mwanamke wa watu, anakukubalia, halafu ile umefika tu ndani ya dakika moja tayari umeshamaliza na huwezi tena kurudia!
It is so disappointing
 
Hakika ila shetani ni mwana wa uongo, hajawah kua na kwel ndan yake!!
Shida yake huwa anachanganya ukweli na uongo. Ninachomaanisha huo ukweli wa kabla ya kuchanganywa na uongo, utabaki kuwa ukweli!
 
Muze karibu na kasansa huko kutokea mamba aiseee
 
Kwa hiyo Mkuu kiasi cha muda wa kusuguana dakika moja tu inatosha?
Are you serious?
1 minute kama kuku?!
Hapana,
You are not serious!
 
You hit the right target Mkuu.
Umeongea vzr sana.
Kiasi kwamba yote niliyotaka wana jamvi wayaelewe, umeyafupisha kwa mhutasari mzuri sana!
Nashukuru sana kwa hitimisho lako pia.
Kwamba kuna umuhimu wa kufanya utafiti kwa lengo la kuwasaidia hawa ndugu zetu.
Matokeo ya huo utafiti yatakuja na njia mbadala au maboresho kwa ajili ya manufaa ya bodaboda wetu.
Ahsante sana.
 
Hivi, kati ya hawa nani mwenye Tatizo la nguvu za kiume?
1. Asiyeweza kumpa mwanamke Mimba.
2. Asiyeweza kusimamisha uume wake.
3. Anaye wahi kufika kileleni ndani ya dk 3.

Isije ikawa tunalitumia vibaya hili neno "upungu wa nguvu za kiume"
 
UENDESHAJI WA BODA BODA NA BAISKELI KWA MUDA MREFU UNAPUNGUZA NGUVU ZA KIUME; WAENDESHA BODA BODA KUWENI MAKINI.

Leo naenda kwenye mada moja kwa moja, maana hili ni suala nyeti sana.
Babu yangu alikuwa akiniusia mara kwa mara, sifa ya mwanaume licha ya kuitunza vyema familia yake, lakini la muhimu pia kuruka kwa umahiri mreji.

Libido ikiwa ni shida ndipo sasa tunashudia agenda ya rangi za upinde wa mvua ikipata nguvu nyakati hizi. Vijana wanakuwa "wimpy" hata katika "matrimonial bed" zao kwa kutotaka kushauriwa. Nabii Lema ameshawaambia kuwa hiyo siyo ajira bali ni laana wakampuuzia.

Haya bana, shauri zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…