DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Nguvu za kiume Ni pesa maana ukiwa na Maisha Magumu ngono ni mateso tu Kama kulima katika lami
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli Mkuu, ni nadra pia kumwona mtu mwenye fedha zake akifanya kazi ya bodaboda.Nguvu za kiume Ni pesa maana ukiwa na Maisha Magumu ngono ni mateso tu Kama kulima katika lami
😁😁😁😁😁😁Chini ya dakika 3 inatosha sana!! Ukitaka mtoto hata sekunde mbili zinatosha.
Sasa kama mwenza wako anataka zaidi ya dakika 3 mwambie awasiliane na Punda, hata dakika moja ataiona ni nyingi
Na wewe unaposema upungufu unamaanisha nini? Kwani mtu mwenye nguvu za kiume ni mtu wa aina gani?kwani nani alikuambia ukiwa na upungufu wa nguvu za kiume huwezi kuzalisha?
Ninachokiongelea na kukimaanisha ni kwamba, waendesha baiskeli na bodaboda wanakabiliwa na changamoto ya upungufu (siyo ukosefu) wa nguvu za kiume.
Mwaka 2016 nilikuwa natokanna baiskel bagamoyo mjini to kelege nenda rudi kila sikuJaribu kuendesha kwa huo muda halafu uje na majibu hapa Mkuu
Kwani tendo la ndoa liko kwa ajili ya kupata watoto tu?Chini ya dakika 3 inatosha sana!! Ukitaka mtoto hata sekunde mbili zinatosha.
Sasa kama mwenza wako anataka zaidi ya dakika 3 mwambie awasiliane na Punda, hata dakika moja ataiona ni nyingi
Sio watoto tu hata wamama wenye waume zaoKumbe boda boda wengi ni hawana nguvu kabisa?
Sasa kwa nini wanaharibu watoto wa shule hovyo hovyo?
Sina uhakika na hiki ulichokiandikaMwaka 2016 nilikuwa natokanna baiskel bagamoyo mjini to kelege nenda rudi kila siku
Na sijawah pata tatzo
Hilo
Mwaka 2018
Nimezunguka vijiji vyote vya mkoa wa rukwa na katavi kwa pikipiki na sijawahi pata hilo shida
Vijiji vyote ndani ya miez miwili
Hakuna nilipo acha rukwa katavi
Na maisha yangu tu kawaida
Sina gari hivyo pikipiki kwangu ndo usafir
Mwaka huu nataka nichukue xr cc 400 nataka nianze safiri nalo mkoa to mkoa dar katav dar mbeya
Kujifunza ni suala endelevu Mkuu.Kwa pikipiki ni kweli
Kwa baiskeli na mimi najifunza
Nyoka anaweza kugonga ng'ombe zizi zima akawaua wote na asile hata mmoja! Ndo ilivyo pia kwa bodaboda wengi pia. Sema kingine, asilimia kubwa hutumia vidonge vya kuongeza nguvu za kiume, ambazo kadri muda unaenda, ndo zinawaletea madhara zaidi.Sio watoto tu hata wamama wenye waume zao
Hawa Hawa ndio mnawatuhumu wanaongoza kwa kula wake zenu,Kuna theory nyingine inasema mitikisiko ya bodaboda wanapoendesha ,husabanisha muscles kuwa active ,mzunguko wa damu unakuwa bora na kuwafanya wawe sexual active zaidiUENDESHAJI WA BODA BODA NA BAISKELI KWA MUDA MREFU UNAPUNGUZA NGUVU ZA KIUME; WAENDESHA BODA BODA KUWENI MAKINI.
Leo naenda kwenye mada moja kwa moja, maana hili ni suala nyeti sana.
Inategemea wanakula sembe na niniWanaokula sembe wote hawana nguvu za kiume
Nimejifunza kupitia uzoefu wangu binafsi na bodaboda wenzangu kijiweni. Tuna mpango wa kuiacha hii kazi tukipata mtaji wa kueleweka!Haya umejifunza Canada na kina lema nini
We Evelyn Salt wewe!Inawezekana! Make pale muda wote pumbu zinatetemeka tu inawezekana ikawa kweli
Hii nadharia yako ungeifanyia utafiti usukumani kuliko baiskeli nyingi, ungeifuta kabisaUENDESHAJI WA BODA BODA NA BAISKELI KWA MUDA MREFU UNAPUNGUZA NGUVU ZA KIUME; WAENDESHA BODA BODA KUWENI MAKINI.
Leo naenda kwenye mada moja kwa moja, maana hili ni suala nyeti sana.
Kwa sababu wengi huwa tunataka ushahidi, naomba kila mmoja atakayepita kwenye huu uzi, akafanye utafiti wake mwenyewe na ikipendeza, njoo uchangie kile ulichokigundua kwenye utafiti wako kuhusiana na hili janga kwa vijana