Uendeshaji wa boda boda na baiskeli kwa muda mrefu unapunguza nguvu za kiume; waendesha boda boda kuweni makini

Uendeshaji wa boda boda na baiskeli kwa muda mrefu unapunguza nguvu za kiume; waendesha boda boda kuweni makini

Nguvu za kiume Ni pesa maana ukiwa na Maisha Magumu ngono ni mateso tu Kama kulima katika lami
Ni kweli Mkuu, ni nadra pia kumwona mtu mwenye fedha zake akifanya kazi ya bodaboda.
Nakubaliana na wewe asilimia mia moja.
 
Chini ya dakika 3 inatosha sana!! Ukitaka mtoto hata sekunde mbili zinatosha.

Sasa kama mwenza wako anataka zaidi ya dakika 3 mwambie awasiliane na Punda, hata dakika moja ataiona ni nyingi
😁😁😁😁😁😁
 
kwani nani alikuambia ukiwa na upungufu wa nguvu za kiume huwezi kuzalisha?
Ninachokiongelea na kukimaanisha ni kwamba, waendesha baiskeli na bodaboda wanakabiliwa na changamoto ya upungufu (siyo ukosefu) wa nguvu za kiume.
Na wewe unaposema upungufu unamaanisha nini? Kwani mtu mwenye nguvu za kiume ni mtu wa aina gani?

Kwangu mimi mwanaume mwenye uwezo wa kusimamisha, na kusababisha ujauzito; huyo ana nguvu za kiume. Hayo mambo mengine sijui ya kutumia vumbi la Kongo, viagra, kwenda raundi nyingi, kutumia dakika nyingi, nk. Ni mbwembwe tu.
 
Jaribu kuendesha kwa huo muda halafu uje na majibu hapa Mkuu
Mwaka 2016 nilikuwa natokanna baiskel bagamoyo mjini to kelege nenda rudi kila siku

Na sijawah pata tatzo
Hilo
Mwaka 2018

Nimezunguka vijiji vyote vya mkoa wa rukwa na katavi kwa pikipiki na sijawahi pata hilo shida

Vijiji vyote ndani ya miez miwili
Hakuna nilipo acha rukwa katavi
Na maisha yangu tu kawaida
Sina gari hivyo pikipiki kwangu ndo usafir

Mwaka huu nataka nichukue xr cc 400 nataka nianze safiri nalo mkoa to mkoa dar katav dar mbeya
 
Chini ya dakika 3 inatosha sana!! Ukitaka mtoto hata sekunde mbili zinatosha.

Sasa kama mwenza wako anataka zaidi ya dakika 3 mwambie awasiliane na Punda, hata dakika moja ataiona ni nyingi
Kwani tendo la ndoa liko kwa ajili ya kupata watoto tu?
Nadhani ni suala jema kuhakikisha mnafurahia wote. Na bahati mbaya jinsi ya kike nyege zao huchukua muda kuisha. Mwanaume ukishakojoa tu kazi imeisha.
So, ili kutendeana haki na kutodhulumiana katika tendo hilo Takatifu, lazima mwanaume ujitahidi kumlidhisha mwenzio au mke wako. Vinginevyo, ndoa itakushinda.
Ova.
 
Mwaka 2016 nilikuwa natokanna baiskel bagamoyo mjini to kelege nenda rudi kila siku

Na sijawah pata tatzo
Hilo
Mwaka 2018

Nimezunguka vijiji vyote vya mkoa wa rukwa na katavi kwa pikipiki na sijawahi pata hilo shida

Vijiji vyote ndani ya miez miwili
Hakuna nilipo acha rukwa katavi
Na maisha yangu tu kawaida
Sina gari hivyo pikipiki kwangu ndo usafir

Mwaka huu nataka nichukue xr cc 400 nataka nianze safiri nalo mkoa to mkoa dar katav dar mbeya
Sina uhakika na hiki ulichokiandika
 
Sio watoto tu hata wamama wenye waume zao
Nyoka anaweza kugonga ng'ombe zizi zima akawaua wote na asile hata mmoja! Ndo ilivyo pia kwa bodaboda wengi pia. Sema kingine, asilimia kubwa hutumia vidonge vya kuongeza nguvu za kiume, ambazo kadri muda unaenda, ndo zinawaletea madhara zaidi.
Bila shaka umenielewa ndugu yangu.
 
UENDESHAJI WA BODA BODA NA BAISKELI KWA MUDA MREFU UNAPUNGUZA NGUVU ZA KIUME; WAENDESHA BODA BODA KUWENI MAKINI.

Leo naenda kwenye mada moja kwa moja, maana hili ni suala nyeti sana.
Hawa Hawa ndio mnawatuhumu wanaongoza kwa kula wake zenu,Kuna theory nyingine inasema mitikisiko ya bodaboda wanapoendesha ,husabanisha muscles kuwa active ,mzunguko wa damu unakuwa bora na kuwafanya wawe sexual active zaidi
 
UENDESHAJI WA BODA BODA NA BAISKELI KWA MUDA MREFU UNAPUNGUZA NGUVU ZA KIUME; WAENDESHA BODA BODA KUWENI MAKINI.

Leo naenda kwenye mada moja kwa moja, maana hili ni suala nyeti sana.

Kwa sababu wengi huwa tunataka ushahidi, naomba kila mmoja atakayepita kwenye huu uzi, akafanye utafiti wake mwenyewe na ikipendeza, njoo uchangie kile ulichokigundua kwenye utafiti wako kuhusiana na hili janga kwa vijana
Hii nadharia yako ungeifanyia utafiti usukumani kuliko baiskeli nyingi, ungeifuta kabisa
 
Back
Top Bottom