Ufafanuzi kuhusu kanisa Katoliki kutokuwafanyia maziko ya kikanisa baadhi ya waamini wake

nani kakwambia wamehukum mpumbavu ww??
sheria za kanisa lazima zifuatwe
 
ww mpumbavu huwez kuwa mkatoliki kwa coment
mkatoliki hawezi kuwa na pumba km hizo
 
Daaaaah, si kwa nondo hizi aisee, hiviii utaratibu wa kuwa mkatoliki ukoje mkuu niuhamishie ukoo wangu mzima huko?
Ni suala rahisi sana,nenda kwenye porokia yeyote iliyo karibu na wewe,kwa kifupi;kama ulikuwa sio mkriato kabisa hatua ya kwanza lzm upate Mafundisho ya kukutayarisha kumpokea Kristoa alafu Ubatizo,Kumunyo ya kwanza,Kipaimara baada ya hapa Kanisa linakuachia mwenyewe kama ulikuwa tayari unaishi na mwanamke utafungishwa ndoa kama bado ni kijana mdogo mwalimuua wako wa dini(Katekista) huwa anakuwa na jukumu LA kukufuatilia kwa takribani miaka mitatu kukuhakikisha unadumu ktk ukristo,hapa sasa ukiamua kuingia kwenye maisha ya Ndoa ni wewe au kufanya Nadhiri ya Useja ni wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo utaratibu au uozo?Biblia ndio inautaratibu na si kanisa mnajipangia wenyewe, Kama mliambiwa muwe pamoja hapo ulipo mpo pamoja na papa? Acheni zenu shida yenu kuu ilikuwa ni pesa tu na si vinginevyo kama mnakula nguluwe na biblia imekataza nyie ndio mnamakosa zaidi.. makosa yaliyopo Roma yanakaribia makosa ya Shetani. ..
 
Kwahiyo biblia ndio inatoa mwongozo kwamba mtu asishiriki ibada yeyote na akifa azikwe kwa ibada ambayo hakushiriki akiwa hai?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchambuzi yakinifu,ila naomba kuuliza.
1. Tumhukumu mtu kwa kutohudhuria kanisani wakati matendo yake na tabia zake zinauchaji wa Mungu?
2. Kuujenga mwili wa kristo ni pamoja na kutoa.Je! Huyo tajiri hakuwasaidia maskini ama kutoa michango kanisani?
3. Je askofu ELIUD wa I.E.C alitumia vigezo gani kumfanyia ibada huyo tajiri.
4. Biblia inasema usihukumu usije ukahukumiwa. Huoni kwamba nyinyi mumehukumu?
 
Kwahiyo biblia ndio inatoa mwongozo kwamba mtu asishiriki ibada yeyote na akifa azikwe kwa ibada ambayo hakushiriki akiwa hai?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Cain akimzika Abel bila kanisa Na Mungu akampokea...

Kama ni mkristo mlimsajili kwa ubatizo hakuja futio so anabakia na Ukristo wake nyie wajaa dhambi hamna nafasi ya kuhukumu... jiulize watu wote wafe duniani wazikwe and then ukibakia wewe peke yako ukafa nani atakuzika?
 

Kweli wewe Duduwasha,unaandika kwa muhemko mpaka unatetemeka.Acha wivu wa kike,najua unaumia kwasababu Wakatoliki tunakula nguruwe kitu tamu na wewe huli.Si kwamba hupendi,unapenda sana tu sema ndo ivyo dini yako wamekunyima ivyo unaona uje kutolea povu Wakatoliki.Pambana na hali yako ila angalia unapombana na hali yako usitibue hali za wengine.
 
Aisee kweli nimeamini kuwa wabishi wapo mpk siku ya mwisho. Yaani pamoja na kuletewa vifungu vya biblia, bado mtu anabisha tena ni mkristo msabato.bora angebisha hata muislam ingekuwa afadhali. Daah tunakwenda wap? Mtoa maada hajayatoa haya kichwan Bali ktk maandiko matakatifu. Mlitakaje sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Bernard Mukasa kaandika kwa utashi wake na kuchagiza kile anachokiamini kwa nukuu za Biblia...

Ukweli ni kwamba mwanadamu akifa huzikwa kwa kuzingatia taratibu za kijamii (inaweza ikawa kidini, kiserikali, kimila n.k)...

Sasa kwa mantiki hiyo, kanisa linalokataa kuongoza ibada ya kuzika mwili uliokufa, huo ni utaratibu wa hilo kanisa na wala usiusishwe na kipengele au nukuu yoyote katika biblia...

Biblia inaeleza amri moja tu juu ya mtu mfu, nayo ni kuwa mavumbini atarudi kwa kuwa katoka huko...period!!

Kanisa lisijifiche nyuma ya kisingizio kuwa mazishi ni sehemu ya kutoa mahubiri juu ya kuishi maisha matakatifu duniani, la sivyo basi kanisa katoliki lisingelikuwa na ile sala ya kuombea wafu...
 
Asante kanisa katoliki ni kanisa la kwanza kabisa.
.. narud Katoliki rasmi kanisa langu la zamani kanisa mama. du nimependa ufafanuzi... nitaacha kutangatanga na makanisa mengine. Asante sana mtumishi wa bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi tena dudubaya mauzo yamepungua? Sadaka hamna hahahahahhahahahh utalia sana katoliki mbele kwa mbele hakuna kurudi nyuma......

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Asante sana mkuu, kesho mapema sana kwa baba paroko akanipe utaratibu mzima
 
Kwahiyo biblia ndio inatoa mwongozo kwamba mtu asishiriki ibada yeyote na akifa azikwe kwa ibada ambayo hakushiriki akiwa hai?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu hawa wafuasi wa mama Elen G White hawafuati mafundisho ya yesu, bali ya huyo mama, wasikuumize kichwa Kabisa, wapo brainwashed sana, mara nyingi ukiwasoma hawajielewi
 
Utaratibu unatoka kwa paroko au kwenye Biblia? Acheni kupoteza watu..
Duduwasha, pambana na usabato wako fala wewe, ya wakatoliki yalikushinda ndomana ukahamia usabatoni, utartibu uwe wa kanisa, wa paroko au biblia, shut up the fu**n mouth. Unaongea matapishi tu hapa, hujielewi wala hujitambui unaongea nini. Bwan Mukasa amefafanua very nicely

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…