Ufafanuzi kuhusu shambulio la gari la watumishi wa TRA eneo la Tegeta, Dar es Salaam

Hii ni ngeni kwako? Fatilia vizuri hao jamaa wana operations zao, intelejensia yao na wanakamata vilevile, haijalishi siku wala masaa.
Sasa hapo ndio wategemee kuumizwa.
Kazi ya ukamataji hiyo itawaghalimu.
 
Uko sahihi
 
 
Wana operate kijambaz jambaz hawa nao na wangemtuliza sana sana wangemtoa hela tu wangemuachia
Nakumbuka mbeya kuna jamaa wa TRA walikuwa wanakimbiza gari limebeba magendo jamaa wa TRA Walikuwa mzinga wote walikata moto 😄
Hawakomi tuu

Ova
 
TRA,wameshindwa hata kutaja kifungu Cha Sheria kinachowaruhuau wao kufanya doria ya ukamataji bila polisi
 
A

Ndivyo ilivyo joh, mtu awaye yote asipoteze rasilimali muda na akili zake kufikiria cha kukujibu. Alipuke tu kama unavyolipuka
huko kujitoa muhanga kitaalam ni sawa na ugaidi.

ni aina ya ukataji tamaa wa kiwango cha juu mno. Na Chimbuko lake hua ni uvivu tu,

So,
gentleman kaza buti uondokane na mihemko ya hovyo kama hivyo 🐒
 
Kwahiyo mkono wakushoto unashambulia mkono wakulia au ? Hawakupeana taarifa 🤔🤭🤭🤭
 
Hadi anapata usajili halali, hawakujua kuwa ni mkwepa kodi?
 
WEWE MTOA TAARIFA,HAUNA AKILI.

WATANZANIA TUJIFUNZE KUSIMAMIA SHERIA.
NI SHERIA GANI ILIWAONGOZA HAO KWENDA KUMKAMATA MTU KWA KUZIBA GARI BILA ASKARI WALA CHOCHOTE CHA KUTHIBITISHA SIO WATEKAJI?
 
ukweli mchungu ,hao jamaa walikuwa wanafanya uhalifu katika vazi la tra .Ingawa kuna mambo mengi sana juu ya hili , serikali ya Samia iamke na ijitafakari, jambo la kwanza maswala ya utekaji, yameshamiri mbili uchaguzi wa serikali za mitaa ccm kushinda asilimia 99 maoni ya wananchi yanayotolewa juu ya tukio hili ,it is a clear picture kwamba nchi imegawanyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…