Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,819
- 7,638
Kiuhalisia hapa hujataja faida.
Kuelewa kulikua na madhara gani kiuendeshaji ana kiuchimi? Maana ilikuwepo toka mwanzo na kasi ya ukuaji ilikua juu pia.
Sasa Mayor wa jiji ndio kazi kwisha au?
Watasema ni Manispaa ya Temeke Mkoani Dar es Salaam. Maana bado Dar es Salaam ni mkoa.Ndio kusema matukio yatakayotokea kinondoni, mwenge, magomeni, waandishi watasema "nje kidogo mwa jiji la daressalaam"
Kwa sasa unaweza kurudishwa ukawa wa mkoa au ukawa kila eneo la kiutawala wakapelekewa.Nashukuru kama umeona naropoka. Lakini kama ungekuwa unajua jinsi mifumo inavyofanya kazi usingeona naropoka. Kwa mfano huu mradi Mradi wa uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam (Dar es Salaam Metropolitan Development Project- DMDP) ulikuwa chini ya jiji, kwa sasa utachini ya ilala (jiji jipya). Una cover halmashauri zote.
Kino kwa kuendelea itakua imeipita Mwanza, Dodoma, Arusha, Tanga na Mbeya. Anzia Sealander Bridge, Masaki, Kinondoni, Magomeni, Sinza, Mwenge, Kawe, Mikocheni, Msasani, Oysterbay, Mbezi Beach, Mbezi Chini,Tegeta, Mbweni, Bunju, Unonio, Bahari Beach, Jangwani Beach, Mabwepande, Goba, Salasala, Mivumoni.Mpaka Sasa hizo Kino, TMK ni majiji tosha. Ilala inaweza kua imeendelea kuliko TMK au Kino lakini TMK na Kino nazo zimeendelea kuliko labda Arusha au Mwanza ambayo ni Majiji
SijakuelewaHII INANILETEA PICHA YA MKuu WA MKOA ..mikoa kkosa sehem ya utawala wapo tu hapo juu nao wangevuliwa ukuu wa mikoa na kupewa wilaya ambayo ni makao makuu ya mkoa na yeye kwa kiongozi wa hao wengine.
Tofauti ni ipi,unakosa na unapata nini ukiwa ndani au nje ya Jiji?haya ni majina tu ya kulinda ugari wa watu Kijiogrsfia Dar es salaam ni Ubungo, Ilala, Kigamboni, Temeke, Kinondoni.Tangu Rais Dr. John Pombe Magufuli kuvunja Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kuwa Jiji la Dar es Salaam, kumekuwa na mijadala kemkem kuhusu jambo hilo runingani, redioni na hata mitandaoni. Mjadala hasa unajikita katika kuelewa kilichofanyika jana. Wapo wanaosema kuwa kwasasa Mamlaka tu ya lililokuw...
Kwimba, Ukerewe na Buchosa sio sehemu ya Mkoa wa Mwanza?Mkoa wa Mwanza una wilaya 5: Nyamagana,Ilemela,Misungwi,Magu na Sengerema. Jiji la Mwanza lina Wilaya 2: Nyamagana na Ilemela. Wilaya ya Nyamagana ndiyo halmashauri ya jiji la Mwanza, Wilaya ya Ilemela ni Manispaa lakini iko ndani ya jiji la Mwanza. Je Dar es Salaam?
Kwimba,Sengerema Ukerewe na Misungwi nilizisahau. Buchosa sio wilaya ya Mwanza, labda kama ni jimbo la uchaguziKwimba, Ukerewe na Buchosa sio sehemu ya Mkoa wa Mwanza?
Yes Buchosa ni jimbo la uchaguzi ndani ya SengeremaKwimba,Sengerema Ukerewe na Misungwi nilizisahau. Buchosa sio wilaya ya Mwanza, labda kama ni jimbo la uchaguzi
Mbona kawaida mzee,mkoa ni mkubwa kuliko wilaya,wilaya ikikuwa inaeeza kuwa jiji.Watangazaji wanasema mkoani Dar es salaam na sijijini Dar.
Ilala ni jiji IPO mkoa gani?
Kipi kilitangulia Ilala na Dar?
Inakuwaje Mbeya jiji then Dar mkoa?
Wataalum hebu mnisaidie Mimi STD 7 mbona mwanichanganya.
Mwendazake alipokoroga mambo mlishangilia sana, vumilieni hivyo hivyoWatangazaji wanasema mkoani Dar es salaam na sijijini Dar.
Ilala ni jiji IPO mkoa gani?
Kipi kilitangulia Ilala na Dar?
Inakuwaje Mbeya jiji then Dar mkoa?
Wataalum hebu mnisaidie Mimi STD 7 mbona mwanichanganya.
Kilimanjaro mkoa - manispaa MoshiWatangazaji wanasema mkoani Dar es salaam na sijijini Dar.
Ilala ni jiji IPO mkoa gani?
Kipi kilitangulia Ilala na Dar?
Inakuwaje Mbeya jiji then Dar mkoa?
Wataalum hebu mnisaidie Mimi STD 7 mbona mwanichanganya.
Yule akili yake alikuwa anaijua mwenyewemwendaZake alituvuruga Sana.
Kilimanjaro mkoa - manispaa Moshi
Rukwa mkoa - manispaa Sumbawanga
Kagera mkoa - manispaa Bukoba
Pwani mkoa - manispaa Kibaha.
Hiyo ni mifano sawa na Dar mkoa jiji Ilala.
Siyo mikoa yote yenye mji wenye jina sawa na mkoa.
Inawezekana pale penye jina la mji na mkoa kuwa moja, mfano Morogoro, Dodoma, Arusha, Tanga na mingineyo. Dar es salaam walipounda zile wilaya tatu za awali kuwa manispaa, tayari umeshavua hadhi ya Dar kama jiji, maana huwezi kuwa na jiji ndani ya jiji.Ufafanuzi mzuri sana,wengi wanajua mkoa unaweza kuwa jiji😁