Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ni dar kama mkoa na si dar kama Jiji. Jiji ni Ilala. Wengine wako dar kama mkoa na katika Manispaa zaoKwa hiyo waliyokua Dar es Salaam ni Ilala peke yake...
Kinondoni, temeke, kigamboni na ubungo kwa sasa ni mkoani na siyo Dar...
Basi wafute wakuu wa mikoa Mana wakuu wa wilaya wapo pia. Au unaonaje. Na raisi afutwe pia maana Kuna wakuu wa mikoa Mana Hana kazi zaidi ya kuzurura kila kazi anafanya mkuu wa mkoa kwenye eneo lake. Halafu cheo Cha headmaster kifutwe Mana Kuna academic master, discipline master, n.k.Moja ya manufaa yake ni kulifanya Jiji la Dar es Salaam kuwa na sehemu yake mahsusi ya kiutawala tofauti na ilivyokuwa awali. Awali, jiji la Dar es Salaam ni kama lilikuwa likielea kuhusu eneo hasa la kiutawala.
..kwa hiyo hakuna tena Meya wa Dsm, kuna Meya wa Ilala?Hao ni dar kama mkoa na si dar kama Jiji. Jiji ni Ilala. Wengine wako dar kama mkoa na katika Manispaa zao
Alishaambiwa ajiandae kisaikolojia na ukizingatia pia hakuchaguliwa na watuSasa Mayor wa jiji ndio kazi kwisha au?
You are absolutely right.Ni kama ilivyo kwa Tanzania Bara ambapo majukumu yake yanasimamiwa na JMT na ya Zanzibar kubaki SMZ, kwa uelewa wangu.
Jiji la Dar lina manispaa 6 lkn kiutawala ilala ndiyo Makao makuu ya jiji la Dar. Wengine wanabaki kuwa manispaa zinazojitegemea ndani ya jiji. Nilivyoelewa mm.Kwa hio kuna jiji LA ilala na jiji LA dar es salaam
Au dar es salaam ndiyo eneo lote LA ilala tu?
Meya wa Ilala ndiye Meya wa Jiji la Dar es Salaam..kwa hiyo hakuna tena Meya wa Dsm, kuna Meya wa Ilala?
I agree with you brother...Petro E. Mselewa ,
..mara nyingi maamuzi ya hovyo-hovyo huwa hayaeleweki, na yanahitaji nguvu nyingi za ufafanuzi.
..kuna thread zaidi ya tatu hapa JF kujaribu kufafanua uamuzi uliofanywa na serikali, na hali hiyo hainipi hisia nzuri kuhusu uamuzi huu.
Ameshateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya KinondoniSo Mama Sipora Liana atapangiwa kazi nyingine?
Ukurugenzi wa Jiji la Dsm hana tena
Malizia basi kwa kusema kuwa sasa Mkoa wa Dar Salaam uunaundwa na/una:Tangu Rais Dr. John Pombe Magufuli kuvunja Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kuwa Jiji la Dar es Salaam, kumekuwa na mijadala kemkem kuhusu jambo hilo runingani, redioni na hata mitandaoni. Mjadala hasa unajikita katika kuelewa kilichofanyika jana. Wapo wanaosema kuwa kwasasa Mamlaka tu ya lililokuwa Jiji la Dar es Salaam ndiyo yaliyowekwa chini ya Ilala na jiji liko vilevile na pale pale.
Wapo wanaosema kuwa kwasasa Ilala ndiyo jiji na wengine ni Manispaa ndani ya Jiji la Dar es Salaam. Katika kuelewa jambo hili kuna mambo ya kuyafahamu. Mosi, kabla ya jana, Dar es Salaam kama mkoa ulikuwa na Halmashauri za Manispaa tano: Ilala, Kinondoni, Ubungo, Temeke na Kigamboni. Halafu, kulikuwa na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ambalo kinadharia lilijumuisha Manispaa zote hizo.
Pili, hadhi ya juu kabisa ya kihalmashauri ni Jiji. Tatu, jana likavunjwa lililokuwa Jiji la Dar es Salaam (kwa maaa ya kuondolewa kwa iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam). Zikabaki Halmashauri za Manispaa tano. Moja ya Manispaa hizo-ya Ilala ikapandishwa hadhi kuwa Halmashauri ya Jiji na 'kubatizwa' jina la Dar es Salaam. Sasa kuna Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ambayo kimsingi ni iliyokuwa Hamlmashauri ya Manispaa ya Ilala.
Ndiyo kusema, Jiji la Dar es Salaam kwasasa ni sehemu yote ya Wilaya ya Ilala na si vinginevyo. Wilaya za Kinondoni, Temeke, Ubungo na Kigamboni si sehemu ya jiji la Dar es Salaam. Hizo zimebaki kuwa Halmashauri za Manispaa. Katika kueleweka zaidi, Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ya sasa imepakana na Halmashauri za Manispaa za Kinondoni, Temeke, Ubungo na Kigamboni. Kwahiyo, mtu wa Ubungo, Temeke, Kinondoni na Kigamboni hayupo ndani ya Jiji la Dar es Salaam.
Ndugu ahsante kwa ufafanuziTangu Rais Dr. John Pombe Magufuli kuvunja Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kuwa Jiji la Dar es Salaam, kumekuwa na mijadala kemkem kuhusu jambo hilo runingani, redioni na hata mitandaoni. Mjadala hasa unajikita katika kuelewa kilichofanyika jana. Wapo wanaosema kuwa kwasasa Mamlaka tu ya lililokuwa Jiji la Dar es Salaam ndiyo yaliyowekwa chini ya Ilala na jiji liko vilevile na pale pale.
Wapo wanaosema kuwa kwasasa Ilala ndiyo jiji na wengine ni Manispaa ndani ya Jiji la Dar es Salaam. Katika kuelewa jambo hili kuna mambo ya kuyafahamu. Mosi, kabla ya jana, Dar es Salaam kama mkoa ulikuwa na Halmashauri za Manispaa tano: Ilala, Kinondoni, Ubungo, Temeke na Kigamboni. Halafu, kulikuwa na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ambalo kinadharia lilijumuisha Manispaa zote hizo.
Pili, hadhi ya juu kabisa ya kihalmashauri ni Jiji. Tatu, jana likavunjwa lililokuwa Jiji la Dar es Salaam (kwa maaa ya kuondolewa kwa iliyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam). Zikabaki Halmashauri za Manispaa tano. Moja ya Manispaa hizo-ya Ilala ikapandishwa hadhi kuwa Halmashauri ya Jiji na 'kubatizwa' jina la Dar es Salaam. Sasa kuna Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ambayo kimsingi ni iliyokuwa Hamlmashauri ya Manispaa ya Ilala.
Ndiyo kusema, Jiji la Dar es Salaam kwasasa ni sehemu yote ya Wilaya ya Ilala na si vinginevyo. Wilaya za Kinondoni, Temeke, Ubungo na Kigamboni si sehemu ya jiji la Dar es Salaam. Hizo zimebaki kuwa Halmashauri za Manispaa. Katika kueleweka zaidi, Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ya sasa imepakana na Halmashauri za Manispaa za Kinondoni, Temeke, Ubungo na Kigamboni. Kwahiyo, mtu wa Ubungo, Temeke, Kinondoni na Kigamboni hayupo ndani ya Jiji la Dar es Salaam.
Umeelewa vema sana mkuu. Kwamba kwa mfano: Madiwani wa iliyokuwa halmashauri ya jiji la Dar (ambayo ilikuwa eneo lote la mkoa wa Dar) waliweza kukaa kikao cha kujadili mpango wa usafi wa maeneo ya Ilala.Sasa nimeelewa, kwahiyo mwanzo ilikuwa wale madiwani wa halmashauri za kinondoni, ubungo, kigamboni, Ilala na temeke walikuwa wanaingia kwenye vikao kama wajumbe (madiwani) katika halmashauri ya Dar Es Salaam wakijairi yaleyale waliyoyajadiri katika halmashauri zao.
Kama sijaelewa naomba kukosolewa
Tangu Rais Dr. John Pombe Magufuli kuvunja Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kuwa Jiji la Dar es Salaam, kumekuwa na mijadala kemkem kuhusu jambo hilo runingani, redioni na hata mitandaoni. Mjadala hasa unajikita katika kuelewa kilichofanyika jana. Wapo wanaosema kuwa kwasasa Mamlaka tu ya lililokuwa Jiji la Dar es Salaam ndiyo yaliyowekwa chini ya Ilala na jiji liko vilevile na pale pale.