MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
- Thread starter
-
- #41
Wewe ungekuwa na Akili ungeishabikia Yanga SC yako ambayo hata Msukule Wenu ulishakaririwa ukisema kuwa Yanga SC nzima wenye Akili ni Rais Mstaafu Kikwete na Baba yake Mzazi tu ila mliobakia wote ni Matahaira wakiongozwa nawe?Kwani Jwaneng Galaxy waliowatoa kwenye club bingwa Africa mlicheza nao uwanja upi? Na Fiston Mayele alitetema wapi kwenye ngao ya jamii? Au unajitowa tu akili ingawa akili zenyewe huna.
Ukiwa na Ubongo uliojaa Funza ni Kero.Refa aliamua iwe penalty Kwa mtazamo wake, baada ya kuzongwa ikabidi afanye mawasiliano akitaraji atapata video ajiridhishe, kumbe kule alipotegemea apate usaidizi awakua na video ya kumpatia, na ki uhalisia hakukua na VAR.
kwakua walitumia Camera iziizi wanazo Tumi Azam Media ambazo ziko 8. mfumo wa VAR una camera 33 na jamaa awakua nazo. Ayo ni maelezo ya kiongozi wa kurusha matangazo wa Azam.
Ikabidi refa abaki na maamuzi yake ya mwanzo.
Utasubiri sana uto. Mpira ni mchezo wa wazi na kama umejipanga hata ukiwa mgeni kwa Mkapa utashinda tu kama Jwaneng.Au unafikiri simba haikupenda kuendelea kushiriki champions mpaka wasitumie hiyo janja janja kama ipo dhidi ya Jwaneng?Yes...mfumo wa VAR haukutjmika Jana...zipo habari kuwa ulikuwa 'mbovu'...
Hofu yangu ni kuongezeka malalamiko dhidi ya Simba kila inapocheza na timu za nje kwenye Mkapa au happy nyumbani...Kuna Jambo litatokea...let us wait and see...ujanja meingi ukizidi huleta mauti....
Kama ukweli uliopo tu kuwa hauna Akili.Ukweli ni Ile haikuwa penalty!!
Unaumia ukiwa wapi nduguRefa alikua akishinikizwa na wachezaji wa Orando akahakiki kupitia VAR na alijitahidi kufanya mawasiliano lakini hakupewa video za tukio, alichopewa ni maelekezo ya kubaki na msimamo wake.
Kwa ufupi mfumo wa VAR haukutumika na Moja ya Sababu walikua wakitumia camera za Azam tv. Camera za Azam zipo 8, VAR Ina camera zaidi ya 33 basi jamaa waka amua wapuyange.
Maelezo Aya ni Kwa mujibu wa mtaalamu wa Azam pale uwanjani baada ya mchezo.
Huyo atasikilizwa na Wapumbavu na Wendawazimu Wenzake kama Wewe na wale Wachunga Ng'ombe wenye Kwashakoo wanaofugwa pale Mafurikoni Jangwani.Jibu lipo hapa kama unajua kiinglish
Yaani CAF walete Tanzania Vifaa vibovu vya VAR? Hivi kwanini Wapumbavu wengi wamerundikana sana Yanga SC?Yes...mfumo wa VAR haukutjmika Jana...zipo habari kuwa ulikuwa 'mbovu'...
Hofu yangu ni kuongezeka malalamiko dhidi ya Simba kila inapocheza na timu za nje kwenye Mkapa au happy nyumbani...Kuna Jambo litatokea...let us wait and see...ujanja meingi ukizidi huleta mauti....
Zizini Jangwani akijiandaa na Ratiba yake ya kuwatoa Ng'ombe wenye Kwashakoo wa Mayele ili akawalishe Nyasi za Jangwani zenye Vyura wengi katika Vidimbwi vya Jirani.Unaumia ukiwa wapi ndugu
Unaenda lini Hospitali za Vichaa Wenzako za Mirembe Dodoma na Lutindi Tanga ukaanze Matibabu yako ya awali?Umechunga Ng'ombe mbaka ukiwa na umri mkubwa sana, Aya mambo ya mpira wewe bado mchanga. Ingekua inahusiana na ukamuaji maziwa ya Ngo'mbe kidogo eneo Ilo uko vizuri.
😀 Hii inawaume japo mmeshinda ila kwa mchongo!Kama ukweli uliopo tu kuwa hauna Akili.
Sasa kama leo Wewe na Matahaira Wenzako wa Jangwani ( Yanga SC ) mnasema kuwa Simba SC jana imeshinda na huwa inashinda kwa Michongo nyie Yanga SC mlikuwa wapi au mlishindwa nini nanyi Kutumia Michongo katika Mechi yenu na wale Wanaijeria hatimaye Wakawakojolea Kimoko Tanzania na Kimoko kingine Kwao Nigeria?😀 Hii inawaume japo mmeshinda ila kwa mchongo!
Anatetemesha nini hiko?Kwani Jwaneng Galaxy waliowatoa kwenye club bingwa Africa mlicheza nao uwanja upi? Na Fiston Mayele alitetema wapi kwenye ngao ya jamii? Au unajitowa tu akili ingawa akili zenyewe huna.
Huyo Ten akisema wewe ni shoga basi wewe ni shoga??. Kwani yeye anamsemea mtu??.Sasa kama leo Wewe na Matahaira Wenzako wa Jangwani ( Yanga SC ) mnasema kuwa Simba SC jana imeshinda na huwa inashinda kwa Michongo nyie Yanga SC mlikuwa wapi au mlishindwa nini nanyi Kutumia Michongo katika Mechi yenu na wale Wanaijeria hatimaye Wakawakojolea Kimoko Tanzania na Kimoko kingine Kwao Nigeria?
Ni matumaini yangu makubwa pia kuwa umemsikiliza na hata Kuyasoma Maelezo ya aliyewahi kuwa Msemaji wenu Yanga SC na aliyewahi pia kuwa Kiongozi Mwandamizi Yanga SC Dismas Ten aliposema Juzi kuwa Simba SC ndiyo Klabu pekee nchini Tanzania iliyo set Standards kwa Soka la Tanzania na kuitaka Klabu yake ( yako ) iwaige na kamwe isione Aibu kufanya hivyo?
Wewe ndiye mpumbavu lakini pia ni mjinga na mshenzi kwa pamoja na you are also a fanatic...Soma vizuri hiyo mbovu imeandikwa 'mbovu' kwa maana ipo kwenye mabano...halafu ujinga wako na upumbavu na hata ushenzi ni pale unapokataa ukweli kuwa VAR Jana haikutumika...je unajua sababu zake...ndiyo maana una sifa nyingine ya fanatic...Yaani CAF walete Tanzania Vifaa vibovu vya VAR? Hivi kwanini Wapumbavu wengi wamerundikana sana Yanga SC?
Mshaanza. Hapa mnataka kulizuaPopoma ana IDs nyingi kama zuzu fulani hivi
Mfano wako uko both out of Content and Context hivyo jitahidi Kwanza ujiimarishe Kiakili na ukiona angalau unazo kidogo njoo ubishane nami kwa Hoja zenye Mantiki sawa?Huyo Ten akisema wewe ni shoga basi wewe ni shoga??. Kwani yeye anamsemea mtu??.
Rubbish.Wewe ndiye mpumbavu lakini pia ni mjinga na mshenzi kwa pamoja na you are also a fanatic...Soma vizuri hiyo mbovu imeandikwa 'mbovu' kwa maana ipo kwenye mabano...halafu ujinga wako na upumbavu na hata ushenzi ni pale unapokataa ukweli kuwa VAR Jana haikutumika...je unajua sababu zake...ndiyo maana una sifa nyingine ya fanatic...
Takoo la Simba.Anatetemesha nini hiko?
Kwa hiyo wenye akili timamu yanga wawili tu. Hii hatari sana. Hata msemaji wao Manara sio miongoni mwa hao wawili.Tukiwa tunasema kuwa wana Yanga SC mna matatizo ya Kufikiri msiwe mnakataa au mnatuona kuwa tunawadhihaki bali muwe mnakubali na mjitathmini mbadilike upesi.
Nimepitia Kurasa nyingi sana za Mitandao ya Klabu Mbovu na yenye Nuksi duniani ya Yanga SC na hata Kusoma baadhi ya Comments za wana Yanga SC katika Mtandao huu na Kujiridhisha kuwa Jangwani kuna Mazuzu (Majuha) wengi na ndiyo maana hata Msemaji wa Yanga SC Haji Manara aliwahi Kunukuliwa (Ushahidi wa Sauti na Picha upo YouTube) akisema kuwa Yanga SC nzima wenye Akili ni Watu Wawili tu Rais Mstaafu Kikwete na Baba yake Mzazi Mzee Manara ila wengine Wote hawana Akili ( yaani Majuha ) tupu kwa hapa Jamvini wakiongozwa na redio, FRESHMAN, Interlacustrine R na Frank Wanjiru
Kwa Watu makini ( wenye Akili Kubwa ) kama wana Simba SC na Mimi MINOCYCLINE ambao Jana tulianza kufuatilia Matangazo ya Azam Tv kupitia Channel ya ZBC2 mtakubaliana nami kuwa walitolea Ufafanuzi wa Kutosha juu ya Matumizi ya VAR hivyo leo hii nawashangaa Majuha (Mazuzu) wa Jangwani (Yanga SC) wanavyohangaika Kulalamika matumizi ya VAR wakati Kwanza hata Mechi haiwahusu na pia bado wana safari ndefu ya kuyafikia Mafanikio waliyoyafikia Simba SC.
Ni kwamba Jana kupitia ZBC2 kulitolewa Ufafanuzi juu ya VAR ambao ulitoka CAF uliosema kuwa katika Chumba cha Mitambo ya VAR kumeongezwa Mtu mwingine aitwae AVAR ( yaani Assistant Video Assistant Referee ) ambaye ndiyo atakuwa akimpa Maelekezo yote Mwamuzi wa Mchezo pale kukitokea Tukio la Kiufafanuzi.
Maelekezo hayo kuhusu VAR yakaenda mbele zaidi kusema kuwa kukitokea Tukio lolote la Utata Uwanjani kwakuwa tayari yuko AVAR basi Mwamuzi hatokuwa na Ulazima wa kwenda katika Screen ya VAR ili Kujiridhisha Kimaamuzi ( japo hajakatazwa kufanya hivyo ) ila atamsikiliza AVAR ambaye ni Msaidizi wake mkubwa wa Matukio yote ya Kimchezo tena Yeye akiwa na Faida Kubwa kwakuwa anautizama Mpira katika Television ambapo ana Faida Kubwa ya Kuyarejea Matukio kwa haraka kuliko hata Mwamuzi ( Referee ) wa Mchezo aliyeko Uwanjani.
Hata hivyo tukiachana na matumizi ya VAR ukiwa na Akili Timamu na Umeucheza Mpira na pia ni Mfuatiliaji halafu ni Mchambuzi makini wa Mpira ( Soka ) hutobisha kuwa ile ilikuwa ni Clear Penalty isipokuwa kuna Watu Jana walishakariri kuwa Simba SC itafungwa na Orlando Pirates FC wakiamini kuwa Kuwapokea Kwao, kuwasaidia Kwao Kuroga na CEO Wao kuwapa Mbinu zote kuihusu Simba SC zingewasaidia, ila wakasahau kuwa Kwa Mkapa huwa hatoki Mtu na kwamba Uwanja wa Benjamin Mkapa ulijengwa Maalum kwa ajili ya Simba Sports Club tu na siyo kwa Takataka zingine za Jangwani.
Mwisho namalizia na huu Ushauri hasa kwa Majuha ( Mazuzu ) wa Jangwani kuwa jitahidini sana Siku zingine kukiwa na Mechi muwe mnaanza Kufuatilia Matangazo ya Tv ( hasa Uchambuzi ) wake wa mapema ili muwe mnapata Taarifa za Kutosha juu ya Mchezo husika na Maelekezo yake ili msiendelee kuwa Wapuuzi hivyo kama mlivyobarikiwa na kuanza kutupotezea muda kama hivi wa Kuwaelimisheni, Kuwachambulia na Kuwafafanulia Masuala ( Matukio ) ambayo kama nanyi mngekuwa makini ( Werevu ) kama wana Simba SC mngeshayajua ( mngeshajua ) mapema tu.
Asanteni Simba SC kwa Ushindi mzuri.