Ufafanuzi kwa wale Wavivu wa Kufikiri ( wana Yanga SC ) kwanini jana hawakuona Refa akienda kuangalia Screen ya VAR ili Kuamua Matukio

Ufafanuzi kwa wale Wavivu wa Kufikiri ( wana Yanga SC ) kwanini jana hawakuona Refa akienda kuangalia Screen ya VAR ili Kuamua Matukio

Hivi Wewe umesahau kuna Kiongozi wenu alivyowaambia kuwa Simba ni MAMBUMBU
nadhan na ww u-mmoja wao?

749E1336-F9D2-4FE6-A1C9-3FA7293E778E.jpeg
 
Walio tengeneza mfumo wa VAR wanajua ni mfumo unao jitosheleza kwakua unatumia video na sio picha mnato, ni upuuzi kuleta mtu amtafsirie lefa wakati video zinajieleza. Kilichotokea Jana ni mfumo wa VAR kutotumika na taratibu za ki Afrika ziliendelea. Sasa wewe umekuja na mfumo wako wa AVAR Ili iweje!! Kama lefa angeitaji usaidizi, tayari uwanjani ana wasaidizi watatu.
lefa ndio nini ndugu? kajifunze kwanza kuandika ndio uje kubishana.
 
Kwaiyo ushindi wa kigoli kimoja icho cha ngekewa utakupeleka wapi, eti ushindi mzuri kama ni ushindi mzuri mbona mji wote kimyaa,,mdomoni mnajifariji lakini moyoni mnajua kinachofata
Unachosahau ni kagoli kamoja alikopewa mama yako ndio umezaliwa wewe.

Uwe na nidhamu kwa goli moja. Kama hujui kazi kubwa ya kutoa goli moja waulize wanaume.
 
Mtoa UZI unajisumbua tu, tangia lini Chizi ukamkuta mgahawani akipata breakfast ?


Acha na hao majuhaaa
 
Mfano wako uko both out of Content and Context hivyo jitahidi Kwanza ujiimarishe Kiakili na ukiona angalau unazo kidogo njoo ubishane nami kwa Hoja zenye Mantiki sawa?
Huo ndiyo mfano sahihi kutaka kuniaminisha kuwa mawazo ya Ten ndio mawazo ya watu wote!! Swali akisema wewe ni shoga ni kweli utakuwa shoga??.
 
Unachosahau ni kagoli kamoja alikopewa mama yako ndio umezaliwa wewe.

Uwe na nidhamu kwa goli moja. Kama hujui kazi kubwa ya kutoa goli moja waulize wanaume.
Acha kuwa mpuuzi!! Mama yake ameingiaje hapa?.
 
Hivi Wewe umesahau kuna Kiongozi wenu alivyowaambia kuwa Simba ni MAMBUMBU
Na Wewe umeshasahau mara hi kuwa aliyekuwa Kocha wenu Mkuu Luc Eymael ( Raia wa Ubelgiji ) aliposema ( ipo YouTube ) kuwa Wana Yanga SC ni kama Sokwe, Nyani na Mbwa?
 
Minocylin & Gentalmycine hizi ID za MTU mmoja?? Anaejua tafadhali anijuze.
Those are two different people one ( Him / Her ) being Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer and another one ( I ) being Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person.
 
Refa alikua akishinikizwa na wachezaji wa Orando akahakiki kupitia VAR na alijitahidi kufanya mawasiliano lakini hakupewa video za tukio, alichopewa ni maelekezo ya kubaki na msimamo wake.
Kwa ufupi mfumo wa VAR haukutumika na Moja ya Sababu walikua wakitumia camera za Azam tv. Camera za Azam zipo 8, VAR Ina camera zaidi ya 33 basi jamaa waka amua wapuyange.
Maelezo Aya ni Kwa mujibu wa mtaalamu wa Azam pale uwanjani baada ya mchezo.
Maelezo haya ni kwa mujibu wa ng'ombe wa Mayele.
 
Refa aliamua iwe penalty Kwa mtazamo wake, baada ya kuzongwa ikabidi afanye mawasiliano akitaraji atapata video ajiridhishe, kumbe kule alipotegemea apate usaidizi awakua na video ya kumpatia, na ki uhalisia hakukua na VAR.
kwakua walitumia Camera iziizi wanazo Tumi Azam Media ambazo ziko 8. mfumo wa VAR una camera 33 na jamaa awakua nazo. Ayo ni maelezo ya kiongozi wa kurusha matangazo wa Azam.
Ikabidi refa abaki na maamuzi yake ya mwanzo.
Mkuu hakupatiwa video kivipi??? Je ulitaka video apatiweje?? Aletewe screen uwanjani ?? Alitoka kwenda kuangalia kwenye screen hio video hakuikuta ??? Mbona mnalalamika sana kwan kwenye premier league haukuwahi ona kitu hicho ?? Pale kilichotokea ni referee kugawa penalty na wachezaji wa orando pilates wakadai ref aende kwenye var ,ila var wakamwambia maamzi yake ni sahihi ,sio kwamba Kama var ipo uwanjani lazima kila tukio ref akaangalie
 
Back
Top Bottom