Ufafanuzi kwa wale Wavivu wa Kufikiri ( wana Yanga SC ) kwanini jana hawakuona Refa akienda kuangalia Screen ya VAR ili Kuamua Matukio

3Eti kwa Mkapa hatoki mtu umesahau mlivyotobolewa na Kagera sugar mbele ya magu halafu na yanga mbele ya mama. Halafu unabana pua eti hatoki mtu kwa Mkapa. Shem on you
 
Wenye Akili tunajua kuwa Simba SC jana imeshinda Kihalali na kama nawe unadhani imeshinda kwa Kupendelewa ungana na hao Majuha ( Mazuzu ) ya Jangwani ( Yanga SC ) sawa Ndugu?
Hivi Wewe umesahau kuna Kiongozi wenu alivyowaambia kuwa Simba ni MAMBUMBU
 
Kwani Jwaneng Galaxy waliowatoa kwenye club bingwa Africa mlicheza nao uwanja upi? Na Fiston Mayele alitetema wapi kwenye ngao ya jamii? Au unajitowa tu akili ingawa akili zenyewe huna.
Galaxy na mayele kwa sasa wako hatua gani kwenye mashindano ya CAF na simba wako hatua gani?
 
Kata rufaa CAS . Kama huwezi ,kaa kimya kuliko kutupigia makelele .Mbona kwa morisson mlikata rufaa , hili linawashinda vipi?
 
Minocylin & Gentalmycine hizi ID za MTU mmoja?? Anaejua tafadhali anijuze.
 
huyo kocha lazima apewe azabu kwa kauli kama hii, ukifahamu VAR inavyofanya kazi huwezi kuja na hoja kama hii. ikiwa ON sio tanzania peke yake inakuwa monitored mzee!
 
Dadeeeki umewakomesha manara akisoma hii lazima ajifungie chooni!
 
Huyo atasikilizwa na Wapumbavu na Wendawazimu Wenzake kama Wewe na wale Wachunga Ng'ombe wenye Kwashakoo wanaofugwa pale Mafurikoni Jangwani.
Jifunze kujenga Hoja matusi hayana faida katika kuwasilisha Hoja!
 
Jibu lipo hapa kama unajua kiinglish


Unategemea asemeje baada ya kuangukia pua? Mashabiki wa timu yake waliuona mchezo live na hawamtaki téna kocha huyo! Penati ya wazi iliyothibitishwa na VAR bado analalamika!! Mlinzi wa mwisho anachezea faulo ndani ya box unategemea Nini!!
Sawa Yanga wao ndio walishinda kihalali nyumbani na ugenini huko Nigeria, tunawasubiri watuletee kikombe!
 
3Eti kwa Mkapa hatoki mtu umesahau mlivyotobolewa na Kagera sugar mbele ya magu halafu na yanga mbele ya mama. Halafu unabana pua eti hatoki mtu kwa Mkapa. Shem on you
Tunazungumzia mechi za kimataifa wewe unatuletea habari ya mechi za mchangani!! Mlichokifanya Yanga mechi yenu na wale River plates ya Nigeria mnakijua wenyewe!! Mnanajisi uwanja wa Mkapa!! Itabidi muwe mnachezea uwanja wa Azam complex maana si aibu hiyo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…