Ufafanuzi kwa wale Wavivu wa Kufikiri ( wana Yanga SC ) kwanini jana hawakuona Refa akienda kuangalia Screen ya VAR ili Kuamua Matukio

lefa ndio nini ndugu? kajifunze kwanza kuandika ndio uje kubishana.
 
Kwaiyo ushindi wa kigoli kimoja icho cha ngekewa utakupeleka wapi, eti ushindi mzuri kama ni ushindi mzuri mbona mji wote kimyaa,,mdomoni mnajifariji lakini moyoni mnajua kinachofata
Unachosahau ni kagoli kamoja alikopewa mama yako ndio umezaliwa wewe.

Uwe na nidhamu kwa goli moja. Kama hujui kazi kubwa ya kutoa goli moja waulize wanaume.
 
Mtoa UZI unajisumbua tu, tangia lini Chizi ukamkuta mgahawani akipata breakfast ?


Acha na hao majuhaaa
 
Mfano wako uko both out of Content and Context hivyo jitahidi Kwanza ujiimarishe Kiakili na ukiona angalau unazo kidogo njoo ubishane nami kwa Hoja zenye Mantiki sawa?
Huo ndiyo mfano sahihi kutaka kuniaminisha kuwa mawazo ya Ten ndio mawazo ya watu wote!! Swali akisema wewe ni shoga ni kweli utakuwa shoga??.
 
Unachosahau ni kagoli kamoja alikopewa mama yako ndio umezaliwa wewe.

Uwe na nidhamu kwa goli moja. Kama hujui kazi kubwa ya kutoa goli moja waulize wanaume.
Acha kuwa mpuuzi!! Mama yake ameingiaje hapa?.
 
Hivi Wewe umesahau kuna Kiongozi wenu alivyowaambia kuwa Simba ni MAMBUMBU
Na Wewe umeshasahau mara hi kuwa aliyekuwa Kocha wenu Mkuu Luc Eymael ( Raia wa Ubelgiji ) aliposema ( ipo YouTube ) kuwa Wana Yanga SC ni kama Sokwe, Nyani na Mbwa?
 
Minocylin & Gentalmycine hizi ID za MTU mmoja?? Anaejua tafadhali anijuze.
Those are two different people one ( Him / Her ) being Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer and another one ( I ) being Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person.
 
Maelezo haya ni kwa mujibu wa ng'ombe wa Mayele.
 
Mkuu hakupatiwa video kivipi??? Je ulitaka video apatiweje?? Aletewe screen uwanjani ?? Alitoka kwenda kuangalia kwenye screen hio video hakuikuta ??? Mbona mnalalamika sana kwan kwenye premier league haukuwahi ona kitu hicho ?? Pale kilichotokea ni referee kugawa penalty na wachezaji wa orando pilates wakadai ref aende kwenye var ,ila var wakamwambia maamzi yake ni sahihi ,sio kwamba Kama var ipo uwanjani lazima kila tukio ref akaangalie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…