Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
Ipo hoja inaendelezwa kutoka kwenye Makala yangu ya juzi licha ya kuijibu vizuri katika makala ile ya kwanini Tundu Lissu hana sifa ya kuwa Mwenyekiti wa Chadema taifa,
Wanajenga hoja ya kujirudia Kwamba Lissu chama kilionw anafaa kuwa Rais wa Jamhuri yenye Majeshi JWTZ, Usalama wa Taifa, TRA, TPA n.k ila mimi Yericko naona atapwaya kuwa Mwenyekiti wa chama chenye kanda 10 na majimbo kadhaa?
Wajibu wangu ni kutoa shule ya siasa na utawala bure kabisa, Narudia kuwajibu nikisema,
“Exactly, I can say, the methods za kuongoza chama cha upinzani Afrika ni tofauti kabisa na kugombea Urais kupitia chama cha upinzani Afrika ndio maana chadema imedumu licha ya vyama 28 vilivyosajiliwa kuanzia 1992 vimekufa vyote ikiwemo vyama vya juzi kama ACT kimeshindwa kujiendesha kimeamua kujisalimisha mikononi mwa Dola.
Urais kwa chama cha upinzani Afrika ni unpredictable kuupata ni 50/50 na ni tukio la siku 60 tu baada yapo mnarudi kujenga chama kwaajili ya miaka mitano ijayo, Hivyo uhakika wa uimara wa chama unatakiwa usijaribiwe, Ukuu wa chama ulindwe for Unlimited and Unwaveringly high standards, So we will protect the party with a much higher strength than anything.
Kwamaoni yangu Lissu hana sifa na ubora wa kuongoza chama kulingana na mapungufu yake mengi sana ambapo mengine niliyaeleza katika makala ile, Anayo nafasi ya kukua huko mbele akabadilika na kufaa kukiongoza chama cha siasa kinachokaribia kushika madaraka kama Chadema! Niwape siri, ndiomaana Chama kilikuwa tayari kumpa Lowasa kugombea Urais lakini KAMWE kisingeweza kumpa Lowasa uenyekiti wa Chama abadani…., Now i can tell you, Sir Mbowe will lead this party until CCM comes out of power and then its mission will be completed….
Mwezi August mwaka huu wa 2024 Lissu alitangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Mwezi October mwaka huu 2024 Lissu akatangaza kuwa atagombea Urais kwa tiketi ya Chadema, Mwezi wa 12 mwaka huuhuu 2024 Lissu katangaza kugombea nafasi na Mwenyekiti wa Chadema na kuondoa nia yake ya kugombea Umakamu Mwenyekiti wa Chadema, yaani hajui hata anataka nini?
Soma Pia: Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA
Tumejifunza makosa ya vyama vilivyokuwa na viongozi imara lakini vikaingia kwenye mtengo wa wanaharakati uchwara wakishirikiana na wapambe wa dola walioanzisha nyimbo za kuweka ukomo wa uongozi, Sasa vimekufa, Chama cha Morgan Tvangirai Zimbabwe kimekufa, Chama cha Besyge Uganda kimekufa kwasababu ya ujinga wa mitego kwamba kiongozi huyu kakaa sana aondoke aje mwingine, bila kuangalia uimara wa kiongozi huyo namna anavyopamba na dola!
Dola inatulazimisha tufanye kosa la karne kwa kumuondoa Mbowe ili wao wanywe mvinyo kwa furaha pale Mbweni na Viunga vyake! Hatutafanya kosa hilo, sahauni kabisa!
Kisu hakionjwi kwa ulimi!