Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
✍️🎯🤝🙏Je JPM alikua ni leadership material? Let's be honest. Yes alifanya mengi (Utendaji 100%) ila kwenye leadership sidhani kama Lissu can do worse than JPM yet ni cult hero kwa wengi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
✍️🎯🤝🙏Je JPM alikua ni leadership material? Let's be honest. Yes alifanya mengi (Utendaji 100%) ila kwenye leadership sidhani kama Lissu can do worse than JPM yet ni cult hero kwa wengi.
Alisema michango mbalimbali ya watu waliokuwa wanakichangia chama.Hivi kweli hela za ruzuku serikali inaweza lipa kwenye account ya Mbowe.
🤣 🤣 🤣Kwahiyo Mbowe akifa usiku huu na CHADEMA ndio inakuwa imekufa?!
Chama gani sasa cha hivyo?! Si bora tukalime tu.
Alamsiki.
Mkuu soma andiko lako vizuri umejichanganya sana. Tukubaliane kuwa kila mtu anastahili haki ya kuongoza akiamua.You can’t compare the two.
Magufuli alikuwa kiongozi na zaidi.
For starters he was a visionary ya Tanzania anayoitaka; kiuchumi na mwenendo wa civil services.
Kwenye uchumi you know uwezi kukopa private banks kama IFM/WB wanaona cash flow yako sio nzuri.
Na miradi aliyoanza Magufuli lengo kubwa ilikuwa ni kufungua access za maeneo ya uzalishaji ambayo aijachangamka. Wakati watu hawana hela ya kununua kilo ya mchele Dar, Ruvuma wakulima mchele ulikuwa unawaozea kwa sababu wafanyabiashara wanataka kununua Morogoro tu.
Sasa you can not do that bila ya infrastructure.
Same haya mabazazi ya civil services, acha tu (ndio wananyofoa kucha wenyewe) utaki kuwaongelea.
Magufuli was special, kazi ya kuwabadili watu tabia sio rahisi (it’s the reason wazungu wanafundisha module ya ‘change management’) people don’t like changes hiko ndio kisiki cha Magufuli. He did not make his work easy maana na yeye nae alikuwa na ushamba wake.
Lakini Lissu hatoshi hata kwenye kiganja cha mkono wa Magufuli. Tanzania ilikuendelea eventually lazima apatikane Magufuli mwengine au civil services ipate katibu mkuu na DGIS imara.
Vinginevyo hadithi.
🤣 🤣 🤣Lucas Mwanshamba na Yericko wanakubaliana jambo... interesting...
Mbowe hawezi achia chama hadi Ccm itoke?Ccm isipotoka je atakuwa mwenyekiti milele?
Haki ya kuongoza na sifa ya kuongoza ni vitu viwili.Mkuu soma andiko lako vizuri umejichanganya sana. Tukubaliane kuwa kila mtu anastahili haki ya kuongoza akiamua.
Tusiongopeane kuwa kuna watu wenye haki hata ya kukaa milele kwenye uongozi kuliko wengine.
Lissu apewe nafasi, apimwe na wapiga kura!!!
I’ll take your word kama nachanganya madesa. Ukweli ni kwamba bado sijasikiliza speech yake.Alisema michango mbalimbali ya watu waliokuwa wanakichangia chama.
This is my take home message! Kama kuna mtu hatakuelewa, then huyo ni mpuuzi na ni sawa na Lisu!ndiomaana Chama kilikuwa tayari kumpa Lowasa kugombea Urais lakini KAMWE kisingeweza kumpa Lowasa uenyekiti wa Chama abadani…
Mbowe usikubali kumkabidhi Lisu chama! kama mbaya mbaya!Haki ya kuongoza na sifa ya kuongoza ni vitu viwili.
Kila mwanachama wa CDM ana haki ya kugombea nafasi yoyote ndani ya chama. Lakini si kila mwanachama ana competence skills ya kuongoza kila nafasi.
Lissu hana sifa ya kuwa mwenyekiti wa chama. Hivi ni siri kweli Lissu is too emotional kushika hiyo nafasi.
Mkuu ni kweli kila mtu ana tabia yake na mapungufu yake ndio maana nikasema tusimkatae, tuwaachie wapiga kura waamue kwa kura zao.Haki ya kuongoza na sifa ya kuongoza ni vitu viwili.
Kila mwanachama wa CDM ana haki ya kugombea nafasi yoyote ndani ya chama. Lakini si kila mwanachama ana competence skills ya kuongoza kila nafasi.
Lissu hana sifa ya kuwa mwenyekiti wa chama. Hivi ni siri kweli Lissu is too emotional kushika hiyo nafasi.
Mkuu ni kweli kila mtu ana tabia yake na mapungufu yake ndio maana nikasema tusimkatae, tuwaachie wapiga kura waamue kwa kura zao.
WAPIGA KURA HAPANA, MAJORITY OF THEM COULD BE OF "LOW IQ" particularly in this aspect, I say specifically in this aspectMkuu ni kweli kila mtu ana tabia yake na mapungufu yake ndio maana nikasema tusimkatae, tuwaachie wapiga kura waamue kwa kura zao.
Zito si kaanzisha chama chase kiko wapi sasa?Ni kwann mtu akiutaka uenyekiti wa CHADEMA ndio mapungufu yake nayo yanagundulika...kwa mujibu wa chawa wa Mbowe?.
Zitto kadhalika naye ilikuwa hivyo hivyo.
Kwamba wasingeutaka huo uenyekiti wangeendelea kuhesabiwa ni watakatifu eti
Kwa maneno yako pia unajaribu kutuambia bila Mbowe hakuna CHADEMA!.
Mkuu huo ndio utaratibu, na ndio demokrasia, hakuna namna nyingine.WAPIGA KURA HAPANA, MAJORITY OF THEM COULD BE OF "LOW IQ" particularly in this aspect, I say specifically in this aspect
Akina Mtei na Bob Makani wangewaza hivyo Mbowe asingekuwa mwenyekiti.Kwahiyo Mbowe akifa usiku huu na CHADEMA ndio inakuwa imekufa?!
Chama gani sasa cha hivyo?! Si bora tukalime tu.
Alamsiki.
Mkuu you could be right or wrong respectful ila ni lazima Chadema ijitofautishe na wapinzani wake kwa kusimamia demokrasia na haki ya kila mwanachama kikamilifu.Kuna maamuzi mengine unajua madhara yake.
CDM inahitaji leadership change ila sio Lissu kwa ustawi wa CDM.
Mengine ni democracy kama wapiga kura wanadhani anafaa, wengi wape.
Personal opinion Lissu hafai kwa hiyo nafasi.
Kwa hivyo watu wenye dhamana wasiruhusu tupate raisi wa nchi kwa kupitia wapiga kura sababu majority could be of low IQ?WAPIGA KURA HAPANA, MAJORITY OF THEM COULD BE OF "LOW IQ" particularly in this aspect, I say specifically in this aspect
Kama umemsikiliza Mbowe na Mnyika wana-promote democracy.Mkuu you could be right or wrong respectful ika ni lazima Chadema ijitofautishe na wapinzani wake kwa kusimamia demokrasia na haki ya kila mwanachama kikamilifu.
Huu ni mtego wa kujimaliza, Decision ya kumchukua Lowassa ili wa damage sana na kuwaondolea audacity ya kukemea ufisadi. Maamuzi yale yanawatafuna mpaka leo.
Mkuu wakijichanganya sasa hivi, it will be history!! The only way to bounce back strong ni kusimamia demokrasia na haki to the letter.
Mtu akishindwa asipate kisingizio.
Kama Magufuli aliweza kuwa mwenyekiti wa ccm na uwezo mdogo vile wa kiutawala, Lisu anashindwaje?Kuna maamuzi mengine unajua madhara yake.
CDM inahitaji leadership change ila sio Lissu kwa ustawi wa CDM.
Mengine ni democracy kama wapiga kura wanadhani anafaa, wengi wape.
Personal opinion Lissu hafai kwa hiyo nafasi.