Ufafanuzi: Kwanini tuliona Lissu anafaa urais 2020 na sasa hafai Uenyekiti?

Ufafanuzi: Kwanini tuliona Lissu anafaa urais 2020 na sasa hafai Uenyekiti?

Lisu kugombea nafasi yoyote ndani ya chadema ni haki yake, sioni kwanini ionekani hawezi kuwa mwenyekiti wa chadema.

Tatizo langu, sitaki apite bila kupingwa kama wafuasi wake wanavyotaka.

Wanajitahidi kumuhukumu Mbowe, wana muita dhaifu, mara hana ushawishi, lakini hao hao hawataki mtu dhaifu asiye na ushawishi agombee na Lisu shujaa na mwenye ushawishi.

Hoja yangu nataka Mbowe, Lisu, na yeyite mwenye nia ya kuwa mwenyekiti chadema, waingie na WAGOMNEE, kila siku tunapiga kelele hatutaki watu kuenguliwa, na kuwaachia waliodhaifu kupita bila kupingwa, eti leo sisi wale wale anapokuja mgombea wetu, tunamsafishia njia apite bila kupingwa.

Kila mwenye sifa huko chadema awanie, igombee hiyo ndiyo demokrasia, na haki kwa wanachama.

Kura ziamue mshindi. CHADEMA siyo CCM.
Nani kasema apite bila kupingwa? Nilichosema Mbowe akijitoa watu wengi sana watachukua fomu na ndio tutaona demokrasia ya kweli ikifanya kazi. Imagine uenyekiti wachukue fomu watu 10 zifanyike primaries majimbo yote 10 ya chama mpaka tupate mwenyekiti mmoja tu!! Ila Mbowe akigombea watu watahofia retaliation baada ya uchaguzi na kuitwa wasaliti
 
Kwahiyo ina maana Mbowe ataishi milele? Yaani unaamini hakuna chadema bila Mbowe? Succession plan ikoje? Hivi leo Mbowe akifariki (God forbid) huoni power struggle itakua kubwa sana maana kutakua na vacuum kubwa.

Hapana, Tsvangirai hakuandaa successor alipofariki kukatokea vita ya madaraka hadi kusababisha Chamisa kuhama na wafuasi wengi na hivyo kuiua MDC-T. Same will happen Mbowe akifariki ghafla. Kuhusu Besigye, nguvu ya Bobi wine ndio ilikiua. Kumbuka Besigye ni jamii moja na Museveni ila Bobi Wine ni mugganda hivyo kura zikapigwa kikabila na ndio unaona Bobi wine akaizoa central yote ambayo zamani ilikua ngome ya Besigye. Nilitegemea unajua siasa za kimataifa kumbe upo shallow kiasi hiki!!

Kwamba dola Inamuogopa Mbowe ambaye yupo moderate? Unachekesha. Kama kuna chochote basi dola itafanya kila kitu kumdhoofisha Lissu ili kiendelee kuiburuza chadema maana wanajua Mbowe ni moderate sio radical kama Lissu ambaye ataleta serious opposition.

Nadhani mkuu ungekaa kimya tu, the more unaropoka unashusha credibility yako. Nilikua nakuheshimu sana ila tokea Lissu achukue fomu nimekushusha sana heshima yako. Acheni demokrasia iamue lissu akifeli si mtamtoa kwa kura 2029 why umuite anatumika na dola kisa kachukua fomu?
I agree 100% you have a valid points.

Mbowe anahitaji kuandaa successor, not only that anahitaji kuweka mfumo imara zaidi wa democracy ndani ya chama.

Lakini Lissu sio mtu mwenye uwezo wa kujenga chama, he is not leadership material.

My personal opinion sio lazima kila mtu akubaliane na mimi; Wenje, Mnyika na Lema wanaweza kuwa replacement nzuri ya mwenyekiti, makamu na katibu mkuu.

Not Lissu he is too emotional.
 
Nani kasema apite bila kupingwa? Nilichosema Mbowe akijitoa watu wengi sana watachukua fomu na ndio tutaona demokrasia ya kweli ikifanya kazi. Imagine uenyekiti wachukue fomu watu 10 zifanyike primaries majimbo yote 10 ya chama mpaka tupate mwenyekiti mmoja tu!! Ila Mbowe akigombea watu watahofia retaliation baada ya uchaguzi na kuitwa wasaliti
Kwanini Mbowe AJITOE? Anawazuiaje hao WENGI kuchukua fomu?

Lisu kachukua fomu, Mbowe alimzuia, au unaushahidi kuna waliozuiwa na Mbowe kuchukua fomu kugombea uwenyekiti chadema?

Hata yangekuwa majimbo 100 ya uchaguzi, wagombee hata watu 200 ni sawa na ndiyo demokrasia tuitakayo.

Hiyo wasiwasi ya retaliation baada ya uchaguzi unaitoa wapi wewe, au ndiyo yale maneno tunayoambiwa kila siku kwamba taarifa za intelligensia?

Acheni visingizio, na kumsingizia Mbowe visivyokuwepo.

Hata wewe kagombee kama una nia, nahakika HAKUNA retaliation yoyote!
 
Je JPM alikua ni leadership material? Let's be honest. Yes alifanya mengi (Utendaji 100%) ila kwenye leadership sidhani kama Lissu can do worse than JPM yet ni cult hero kwa wengi.
You can’t compare the two.

Magufuli alikuwa kiongozi na zaidi.

For starters he was a visionary ya Tanzania anayoitaka; kiuchumi na mwenendo wa civil services.

Kwenye uchumi you know uwezi kukopa private banks kama IFM/WB wanaona cash flow yako sio nzuri.

Na miradi aliyoanza Magufuli lengo kubwa ilikuwa ni kufungua access za maeneo ya uzalishaji ambayo aijachangamka. Wakati watu hawana hela ya kununua kilo ya mchele Dar, Ruvuma wakulima mchele ulikuwa unawaozea kwa sababu wafanyabiashara wanataka kununua Morogoro tu.

Sasa you can not do that bila ya infrastructure.

Same haya mabazazi ya civil services, acha tu (ndio wananyofoa kucha wenyewe) utaki kuwaongelea.

Magufuli was special, kazi ya kuwabadili watu tabia sio rahisi (it’s the reason wazungu wanafundisha module ya ‘change management’) people don’t like changes hiko ndio kisiki cha Magufuli. He did not make his work easy maana na yeye nae alikuwa na ushamba wake.

Lakini Lissu hatoshi hata kwenye kiganja cha mkono wa Magufuli. Tanzania ilikuendelea eventually lazima apatikane Magufuli mwengine au civil services ipate katibu mkuu na DGIS imara.

Vinginevyo hadithi.
 
Kupitia pumba ulizoandika hapa, unatuthibitishia CDM nzima hakuna mwenye sifa ya kua mwenyekiti zaidi ya mbowe?

MACHAWA WA MBOWE HAMNA AKILI.
 
Now i can tell you, Sir Mbowe will lead this party until CCM comes out of power and then its mission will be completed….
Kwahiyo chadema nzima yenye wanachama 6M+ ( kwa mujibu taarifa zenu), mwenye sifa za kugombea uenyekiti ni Mbowe peke yake?

Kwann chadema kama taasisi isiwajengee uwezo wanachama wengine ili kuwe na succession plan ya uenyekiti?

Wale wanaosema Yericko Nyerere ni mlamba viatu wa Mbowe, Yericko Nyerere ni Kupe anayefaidi damu (fedha) ya Mbowe utawapinga vipi kama haya ndiyo mawazo yako?

Basi na ccm isiondoke madarakani. Chadema mpo kwa ajili ya nn ili hali hamna sifa ya kutawala nchi hii?
 
Maandiko km haya unaendelea kujidhalilisha tu . sidhani km watanzania watakubeba tena kwenye tuzo zako za mchongo.
 
Kwahiyo Mbowe akifa usiku huu na CHADEMA ndio inakuwa imekufa?!

Chama gani sasa cha hivyo?! Si bora tukalime tu.

Alamsiki.
Uchaguzi wa Chadema huwa ni Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti, hivyo Mbowe akifa leo, basi Makamu ataongoza chama
 
Maandiko km haya unaendelea kujidhalilisha tu . sidhani km watanzania watakubeba tena kwenye tuzo zako za mchongo.
Umepata wapi kibali cha kuwasemea watanzania huku ukiwa umelala sebuleni kwa dada yako na unachati kwa bando la singesha kijana?
 
Ipo hoja inaendelezwa kutoka kwenye Makala yangu ya juzi licha ya kuijibu vizuri katika makala ile ya kwanini Tundu Lissu hana sifa ya kuwa Mwenyekiti wa Chadema taifa,

Wanajenga hoja ya kujirudia Kwamba Lissu chama kilionw anafaa kuwa Rais wa Jamhuri yenye Majeshi JWTZ, Usalama wa Taifa, TRA, TPA n.k ila mimi Yericko naona atapwaya kuwa Mwenyekiti wa chama chenye kanda 10 na majimbo kadhaa?

Wajibu wangu ni kutoa shule ya siasa na utawala bure kabisa, Narudia kuwajibu nikisema,

“Exactly, I can say, the methods za kuongoza chama cha upinzani Afrika ni tofauti kabisa na kugombea Urais kupitia chama cha upinzani Afrika ndio maana chadema imedumu licha ya vyama 28 vilivyosajiliwa kuanzia 1992 vimekufa vyote ikiwemo vyama vya juzi kama ACT kimeshindwa kujiendesha kimeamua kujisalimisha mikononi mwa Dola.

Urais kwa chama cha upinzani Afrika ni unpredictable kuupata ni 50/50 na ni tukio la siku 60 tu baada yapo mnarudi kujenga chama kwaajili ya miaka mitano ijayo, Hivyo uhakika wa uimara wa chama unatakiwa usijaribiwe, Ukuu wa chama ulindwe for Unlimited and Unwaveringly high standards, So we will protect the party with a much higher strength than anything.

Kwamaoni yangu Lissu hana sifa na ubora wa kuongoza chama kulingana na mapungufu yake mengi sana ambapo mengine niliyaeleza katika makala ile, Anayo nafasi ya kukua huko mbele akabadilika na kufaa kukiongoza chama cha siasa kinachokaribia kushika madaraka kama Chadema! Niwape siri, ndiomaana Chama kilikuwa tayari kumpa Lowasa kugombea Urais lakini KAMWE kisingeweza kumpa Lowasa uenyekiti wa Chama abadani…., Now i can tell you, Sir Mbowe will lead this party until CCM comes out of power and then its mission will be completed….

Mwezi August mwaka huu wa 2024 Lissu alitangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Mwezi October mwaka huu 2024 Lissu akatangaza kuwa atagombea Urais kwa tiketi ya Chadema, Mwezi wa 12 mwaka huuhuu 2024 Lissu katangaza kugombea nafasi na Mwenyekiti wa Chadema na kuondoa nia yake ya kugombea Umakamu Mwenyekiti wa Chadema, yaani hajui hata anataka nini?

Soma Pia: Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA

Tumejifunza makosa ya vyama vilivyokuwa na viongozi imara lakini vikaingia kwenye mtengo wa wanaharakati uchwara wakishirikiana na wapambe wa dola walioanzisha nyimbo za kuweka ukomo wa uongozi, Sasa vimekufa, Chama cha Morgan Tvangirai Zimbabwe kimekufa, Chama cha Besyge Uganda kimekufa kwasababu ya ujinga wa mitego kwamba kiongozi huyu kakaa sana aondoke aje mwingine, bila kuangalia uimara wa kiongozi huyo namna anavyopamba na dola!

Dola inatulazimisha tufanye kosa la karne kwa kumuondoa Mbowe ili wao wanywe mvinyo kwa furaha pale Mbweni na Viunga vyake! Hatutafanya kosa hilo, sahauni kabisa!

Kisu hakionjwi kwa ulimi!

View attachment 3178483
CHAWA WA MBOWE.... DOGO UTAAIBIKA. CHAWA PRO MAX
 
Nimeelewa kwanini familia ya Baba wa taifa ilipiga marufuku wajanjawajsnja kutumia hilo jina ili kulinda legacy ya jina dhidi wa ugoro
 
Lisu kugombea nafasi yoyote ndani ya chadema ni haki yake, sioni kwanini ionekani hawezi kuwa mwenyekiti wa chadema.

Tatizo langu, sitaki apite bila kupingwa kama wafuasi wake wanavyotaka.

Wanajitahidi kumuhukumu Mbowe, wana muita dhaifu, mara hana ushawishi, lakini hao hao hawataki mtu dhaifu asiye na ushawishi agombee na Lisu shujaa na mwenye ushawishi.

Hoja yangu nataka Mbowe, Lisu, na yeyote mwenye nia ya kuwa mwenyekiti chadema, waingie na WAGOMNEE, kila siku tunapiga kelele hatutaki watu kuenguliwa, na kuwaachia waliodhaifu kupita bila kupingwa, eti leo sisi wale wale anapokuja mgombea wetu, tunamsafishia njia apite bila kupingwa.

Kila mwenye sifa huko chadema awanie, iogombee hiyo ndiyo demokrasia, na haki kwa wanachama.

Kura ziamue mshindi. CHADEMA siyo CCM.
Mkuu Lissu hatakiwi awe Mwenyekiti kwa sababu makubaliano yasiyo rasmi ya Mbowe kuachiwa gerezani ni pamoja na mambo mengi, kumpa Mwenyekiti wa chama tawala free pass kwenye tiketi ya urais kwenye uchaguzi ujao.

Lissu kuwa Mwenyekiti wa Chadema ni threat zaidi kwa uongozi dhaifu wa CCM, katiba yetu mbovu na muungano wa Tanzania usio wa haki.

Infact Lissu huwa haropoki ila watawala wanajua fika hawawezi kumshinda kesi kwa kutumia kauli yake. Uongozi wa chama tawala unaukukumbuka mziki wa Lissu dhidi ya Magufuli kwenye uchaguzi uliopita mpaka Magufuli akaamua aweke mpira kwapani liwalo na liwe.

Mbowe has been so much compromised to go against the above, as a result Chadema is deeply stuck.

Hicho ndicho hakisemwi na chama tawala au na Mbowe & co.!!!
 
You can’t compare the two.

Magufuli alikuwa kiongozi na zaidi.

For starters he was a visionary ya Tanzania anayoitaka; kiuchumi na mwenendo wa civil services.

Kwenye uchumi you know uwezi kukopa private banks kama IFM/WB wanaona cash flow yako sio nzuri.

Na miradi aliyoanza Magufuli lengo kubwa ilikuwa ni kufungua access za maeneo ya uzalishaji ambayo aijachangamka. Wakati watu hawana hela ya kununua kilo ya mchele Dar, Ruvuma wakulima mchele ulikuwa unawaozea kwa sababu wafanyabiashara wanataka kununua Morogoro tu.

Sasa you can not do that bila ya infrastructure.

Same haya mabazazi ya civil services, acha tu (ndio wananyofoa kucha wenyewe) utaki kuwaongelea.

Magufuli was special, kazi ya kuwabadili watu tabia sio rahisi (it’s the reason wazungu wanafundisha module ya ‘change management’) people don’t like changes hiko ndio kisiki cha Magufuli. He did not make his work easy maana na yeye nae alikuwa na ushamba wake.

Lakini Lissu hatoshi hata kwenye kiganja cha mkono wa Magufuli. Tanzania ilikuendelea eventually lazima apatikane Magufuli mwengine au civil services ipate katibu mkuu na DGIS imara.

Vinginevyo hadithi.
Mahaba niue.
 
Back
Top Bottom