Ufafanuzi: Kwanini tuliona Lissu anafaa urais 2020 na sasa hafai Uenyekiti?

Muache Mbwembwe na uchwa wa kujitekenya na kujicheka.

Mbowe Hana strategies zozote zile za kuitikisa CCM Wala kuipa Upinzani wowote Kwa sababu Mbowe ana

Knowledge iliyo limited.

Mbowe Sio Innovative.

Ana koswa sifa ya MVUTO Kwa Wengi .

Na zaidi Mbowe sio Strategist, Kwa miaka 20 madarakan, Ukitembelea Ofisi za chama Wilaya au Kata utachekaaaaa !!.


SIASA zinahitaji watu machachari, werevu, wenye mipango ya kisayansi, majasiri, wenye Amsha amsha, akiongea sauti Ina Mamlaka ,akisema na iwe hivi kweli iwe.

Mmeona wenyewe, Ni mpaka yalipoanza ,ndipo mkaona Muingie kwenye Maneno ya LISSU japo Kwa kuyabeba na kuyafanya ni yenu, ila Kwa Visionary kama LISSU aliona na akasema LAAAAAAAHH ,huo ni mtegooooo!!.



Hoja ya miaka 28 ya CDM, ni ya kijinga sana , Kwan CUF ,TLP,NCCR zinamiaka mingapi? Zipo au hazipo???

Unahisi Mbowe ndio kaifanya CDM ikae miaka 28?? Ni shamra shamra za Akina Chacha Wangwe, LISSU, Dr Silaa, Zitto, Hawa ndio wameitia pumzi CDM Kwa Ground .
 
Bora huyu anaandika. Nilimsikia Boni Yai akizungumza hadi nikastaajabu nikasema huyu kumbe nae ana mawazo kama hay ya ajabu kiasi hiki kama wakina Lucas.
 
Kwa kuanzia tu manaa uliingia upofu wa mahaba kwenye utawala wake. Jeshi limetengwa rasmi kikatiba na masuala ya siasa. Lakini Magufuli aliweza kupokea wanaccm kwenye kamisheni ya jeshi huko Arusha. Jambo hili alilifanya mchana kweupe bila kujali katiba inasema nini, huku CDF akitabasamu! Na unajua kwanini alifanya vile? Huu utakuwa mjadala mwingine.

Unaposema uongozi si katiba, bali uongozi ni nini? Yeye alipata madaraka ya urais kupitia njia ipi nje ya katiba? Hapo ndio ninapoona kwanini unatumia maneno ya kiingereza kujionyesha ni msomi na mwenye akili, na yoyote asiyefanya hivyo ama kumsifia Magufuli basi huyo hana akili, ama hajui siasa! Sasa sijui nani kakuteua ww kuwa ndio mjuzi sana wa mambo na hasa siasa. Ww ni mjivuni mwenye uwezo wa kawaida kabisa, huenda kuna wanaokuona ni bora sana, lakini kwa bahati mbaya hapa ww ni wa kawaida mno.
 
Wewe na huyo ndg yako wote majizi na wapumbafu wa karne
 
Huna hoja zaidi ya kuandika vitu kutoka kichwani kwako tu.

Raisi wa Tanzania ni amiri jeshi mkuu pia. Ndio mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama Tanzania sijui unaongea vitu gani.

Shida yenu hamjui mamlaka ya raisi kikatiba, uhuru wa mandate yake ya kuongoza nchi na usimamizi wake wa civil servants.

90% ya wachangiaji wa jukwaa la siasa hamjui siasa na wala hamjawi kusoma ata kitabu cha O’level cha siasa.

Ni kubwabwaja tu humu.

Kwetu kumekucha

👋
 
Mbowe kafanya nini special hadi umhofie Lissu, tuna mbunge mmoja tu and the same will happen next year kama tutaendelea kuwachekea CCM. Sasa kama hatuna chochote Lissu cannot be worse than Mbowe!! Unadhani mathalani Lissu asipogombea huyo Mbowe anaweza leta kura gani za majimboni na urais mwakani?

Ni ajabu sana tunakumbatia mediocrity,
 
Nimecheka kwa nguvu vibaya. Kwamba rais ni amiri jeshi mkuu, hivyo anaweza kufanya shughuli za kisiasa kwenye jeshi? Hivi unaongea utoto gani boss?
 
Nimecheka kwa nguvu vibaya. Kwamba rais ni amiri jeshi mkuu, hivyo anaweza kufanya shughuli za kisiasa kwenye jeshi? Hivi unaongea utoto gani boss?
Uongo usio na kichwa wala miguu.

Nitathibitisha baadae
 
Kwenye uchumi you know uwezi kukopa private banks kama IFM/WB wanaona cash flow yako sio nzuri.
Mama Samia kakopa zaidi ya JPM kumbe Samia uchumi wake ni bora kuliko wa enzi za JPM?
Lakini Lissu hatoshi hata kwenye kiganja cha mkono wa Magufuli.
Vipi ulimpa nafasi akashindwa? Au ndio speculation tu?. Yaani opposition leader ana access ya Hazina ili naye ajenge SGR??
Magufuli alikuwa kiongozi na zaidi.
Hakua kiongozi tuache kudanganyana. Angekua kiongoz ange focus kujenga nchi sio kuua upinzani. Mfano aliondoa pesa yote private sector, alipandisha reserve ratio requirement ya commercial banks, tender za ujenzi huko akawapa TBA, akaiua fast jet ili kuipa nguvu ATCL yote ili pesa ibaki serikalini. Na najua unafahamu currency in circulation pamoja na Broad money (M3) zilipungua sana enzi za JPM. Sasa ambao hawajaenda shule walikua wanashabikia kwamba "ananyoosha mafisadi", "tunaheshimiana", na "hakuna pesa ya bure" bila kujua private sector ndio muajiri mkubwa zaidi Tanzania.

Kwa hili tu itoshe kuonyesha JPM hakua kiongoz mzuri bali alikua mtendaji yaani ukimpa kazi na maelekezo anaweza ifanya kikamilifu ila matamshi, haiba, maamuzi ya kukurupuka n.k hayakuonyesha uongozi
 
Umejibu hoja vizuri sana hata Mimi naungana na wewe kwenye hili Lissu sio mwajibikaji, unapokuwa kiongozi pia unahitajika uwe na hekima na busara katika kuunganisha watu hili pia Lissu Hana watakupinga lakini the end muda utaongea
 
Umeongea fact aisee kumbe hii ina watu wako vizuri upstairs hivi? Hongera mkuu
 
Lisu anafaa, lakini ana mapungufu ya kuropka na kutokuona lini pa kuleta mgawanyiko na lini pa kutulia! Mna maadui wengi akina TISS, POLICE CCM na JW (ingawa hawa sia sana), sasa unaleta kitu kikubwa ambacho kitaleta mgawanyiko at the advantage of CCM...una akili kweli?
 
Wacha usitubebe ufala wewe, in Kenyan's voice😀😀. Kama ayatollah Bado hajatangaza Nia lakini uko busy kuchafua wengine. Unatuonaje watz Kwa mfano?
Sijaelewa hata ulichoandika ni kitu gani.
 
Madaraka Nyerere amepiga marufuku watu wasio na ukoo wa Nyerere kutumia Jina la Nyerere...

Jina la Nyerere lina wamiliki wake tayari....
kwahiyo wewe kujiita Yericko Nyerere unawakwaza watu.. Tafuta username nyingine.
 
Wafuasi wa lisu ndo wanataka hivyo
 
CHADEMA ni urithi wa familia ya Mbowe, na akitoka yeye atakuja mtoto wake ...
 
Nisome kwakuwa anaendana na utashi wako?
MIMI NI MPENZI WA LISU, TENA SANA. LAKINI KITENDO CHA KULETA ISSUE AMBAYO ANAJUA FIKA ITALETA MGAWANYIKO.....
I HAVE TO BE CAUTIOUS WITH HIS DEALINGS! SAS HIVI CHADEMA, MY FAVORITE PARTY IS IN A BLINK OF DISINTERGRATION.......
 
Shida na huyo anaendeshwa na chuki binafsi kwa Magufuli ndio maana anapwaya kwenye hoja
 
Nadhani Bwana Yerico akiangalia idadi ya watu waliosapoti hoja yake na wale waliopinga hoja yake anaweza kuchukua kamba na kujining'iniza kabisa. Idadi kubwa ya wanachama wanamtaka TL na si vinginevyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…