Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Hapo halipo yeye mwenyewe ndio kaelezea vizuri “Kudra za mwenyezi mungu”.Na saa100?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo halipo yeye mwenyewe ndio kaelezea vizuri “Kudra za mwenyezi mungu”.Na saa100?
Kwa hio sio yeye ni dodo chini ya mstimuHapo halipo yeye mwenyewe ndio kaelezea vizuri “Kudra za mwenyezi mungu”.
Hayo umesema wewe, yeye mwenyewe kauli yake ilikuwa ‘kudra za mwenyezi mungu’.Kwa hio sio yeye ni dodo chini ya mstimu
Mbona kila siku tunaambiwa kuhusu mapungufu ya Mbowe ? Mfuasi wa Mbowe ni lazima ataamini kuwa bila yeye CDM itayumba. Hivyo hivyo mfuasi wa mtu mwingine ataamini kuwa panahitajika damu mpya ili CDM iendelee kuthaminiwa na hatimae kuchukua dola. Wote hao watafanya kila juhudi kuonyesha mapungufu ya wenzake wanaoshindana nae. Wanachama na wale wenye dhama watawapima na kumpigia kura yule anayeonekana anawafaa. Ndio siasa. Kitu muhimu ni kuhakikisha kuwa watu hawachafuani kiasi cha kushindwa kufanya kazi pamoja baada ya uchaguzi. Wagombea wote ni watu muhimu sana kwa chama chao.Ni kwann mtu akiutaka uenyekiti wa CHADEMA ndio mapungufu yake nayo yanagundulika...kwa mujibu wa chawa wa Mbowe?.
Zitto kadhalika naye ilikuwa hivyo hivyo.
Kwamba wasingeutaka huo uenyekiti wangeendelea kuhesabiwa ni watakatifu eti
Kwa maneno yako pia unajaribu kutuambia bila Mbowe hakuna CHADEMA!.
Kipenzi chako pendwa wewe chawa wakeHayo umesema wewe, yeye mwenyewe kauli yake ilikuwa ‘kudra za mwenyezi mungu’.
Hii mada ya Lissu, hata sijui bi tozo anaingia vipi.
Kipenzi chako pendwa wewe chawa wakeHayo umesema wewe, yeye mwenyewe kauli yake ilikuwa ‘kudra za mwenyezi mungu’.
Hii mada ya Lissu, hata sijui bi tozo anaingia vipi.
Hoja zao ni nzito sana kuliko uwezo wa wako wa kuchanganua mambo.Ipo hoja inaendelezwa kutoka kwenye Makala yangu ya juzi licha ya kuijibu vizuri katika makala ile ya kwanini Tundu Lissu hana sifa ya kuwa Mwenyekiti wa Chadema taifa,
Wanajenga hoja ya kujirudia Kwamba Lissu chama kilionw anafaa kuwa Rais wa Jamhuri yenye Majeshi JWTZ, Usalama wa Taifa, TRA, TPA n.k ila mimi Yericko naona atapwaya kuwa Mwenyekiti wa chama chenye kanda 10 na majimbo kadhaa?
Sasa hapa ndiyo umeandika nini? Kwa kuwa urais ni unpredictable ndiyo maana hampo serious nao? Ndiyo maana mnachagua mtu asiye na uwezo ili akagombee kwa tiketi ya Chamma?Wajibu wangu ni kutoa shule ya siasa na utawala bure kabisa, Narudia kuwajibu nikisema,
“Exactly, I can say, the methods za kuongoza chama cha upinzani Afrika ni tofauti kabisa na kugombea Urais kupitia chama cha upinzani Afrika ndio maana chadema imedumu licha ya vyama 28 vilivyosajiliwa kuanzia 1992 vimekufa vyote ikiwemo vyama vya juzi kama ACT kimeshindwa kujiendesha kimeamua kujisalimisha mikononi mwa Dola.
Urais kwa chama cha upinzani Afrika ni unpredictable kuupata ni 50/50 na ni tukio la siku 60 tu baada yapo mnarudi kujenga chama kwaajili ya miaka mitano ijayo, Hivyo uhakika wa uimara wa chama unatakiwa usijaribiwe, Ukuu wa chama ulindwe for Unlimited and Unwaveringly high standards, So we will protect the party with a much higher strength than anything.
Tafadhali tuonyeshe hayo mapungufu yake. Katika yale Makala yako hakuna ulichoweza kuonyesha zaidi ya kurukaruka na kuleta visa vya kubuniKwamaoni yangu Lissu hana sifa na ubora wa kuongoza chama kulingana na mapungufu yake mengi sana ambapo mengine niliyaeleza katika makala ile,
Anayo nafasi ya kukua huko mbele akabadilika na kufaa kukiongoza chama cha siasa kinachokaribia kushika madaraka kama Chadema! Niwape siri, ndiomaana Chama kilikuwa tayari kumpa Lowasa kugombea Urais lakini KAMWE kisingeweza kumpa Lowasa uenyekiti wa Chama abadani…., Now i can tell you, Sir Mbowe will lead this party until CCM comes out of power and then its mission will be completed….
Kama kuna wapambe wa dola, utakuwa ni mwendawazimu kusema na kujaribu kuaminisha watu kwamba Lissu ni Mpambe wa Dola kuliko Mbowe. Tnamheshimu Mbowe, ila kwa jinsi wapambe wake mnavyokuja itabidi mkabiliwe kwa namna hiyo mliyokuja na hapo haitajalisha nani ataathirika vipi. Si mnajifanya hamnazo? Endeleeni kuja hivyohivyo.Tumejifunza makosa ya vyama vilivyokuwa na viongozi imara lakini vikaingia kwenye mtengo wa wanaharakati uchwara wakishirikiana na wapambe wa dola walioanzisha nyimbo za kuweka ukomo wa uongozi, Sasa vimekufa, Chama cha Morgan Tvangirai Zimbabwe kimekufa, Chama cha Besyge Uganda kimekufa kwasababu ya ujinga wa mitego kwamba kiongozi huyu kakaa sana aondoke aje mwingine, bila kuangalia uimara wa kiongozi huyo namna anavyopamba na dola!
Dola gani inayoshirikiana na Lissu kumuondoa Mbowe wakati kama tutaamua kuichukua hoja kipumbavu kamnavyoibeba basi ukweli ni kinyume chake. Ukweli uliopo ni Mbowe aliyechomolewa gerezani kimezengwe akiwa anakabiliwa na kesi ngumu, na alichomolewa na dola hiyohiyo unayoisema halafu pasipo kushinda kesi akabebwa kutoka gerezani na kupelekwa moja kwa moja Ikulukuonana na rais. Baada ya hapo Chama kikaingizwa kwenya maridhiano ya kipumbavu kabisa ambayo yalipelekea kukipoteza mazima.Dola inatulazimisha tufanye kosa la karne kwa kumuondoa Mbowe ili wao wanywe mvinyo kwa furaha pale Mbweni na Viunga vyake! Hatutafanya kosa hilo, sahauni kabisa!
Sijui ingekuwa Lissu ndiye ametolewa gerezani pasipo kushinda kesi mngekuwa mnasema nini leo, ingekuwa Lissu pasipo Chama chake kujua ndiye ametolewa gerezani na kupelekwa moja kwa moja Ikulu naamini mngemaliza yote kwa kuandika.Kisu hakionjwi kwa ulimi!
Una udhaifu wa kudhani ukiweka maneno ya kiingereza kwenye maelezo yako ndio yatafanya usemacho kuwa bora, ama kwa mtazamo wako hiyo ndio akili😂 Nasisitiza kuwa Magufuli hakuwa kiongozi mzuri, kiongozi mzuri ni yule anayefuata katiba itakavyo, sio atakavyo yeye. Na Magufuli hakuwa mfuata katiba bali mpenda sifa. Unaweza kuweka maneno ya kiingereza ili kuongeza mikogo kwenye utetezi wako, na kufanya mahaba yako kuwa ndio akili, lakini habari ndio hiyo.Shida yenyewe uelewi uongozi.
Kuna aina tofauti ya uongozi but you can’t tell the difference ya autocratic leaders ya Magufuli na ‘laissez faire’ ya Samia (na Jakaya) and the between democratic (ya Mkapa).
Leaders need a vision or a government, usimamizi wake wa matokeo ni kitu kingine.
Mtendaji ni supervisor sio mtu ambae yupo kwenye decision making. Na kwa taratibu za serikali watendaji ni civil servants sio mawaziri.
Hujui unachoongea.
Mawaziri ni leaders sio watendaji na raisi ndio kabisa.
Magufuli alikuwa ni CEO mwenye uwezo wa kusimamia vision yake, a leader.
Mwaka wa 20 Mbowe ni mwenyekiti wa CHADEMA, hiyo ni mali yake binafsi inayomuingiza utajiri.Ni kwann mtu akiutaka uenyekiti wa CHADEMA ndio mapungufu yake nayo yanagundulika...kwa mujibu wa chawa wa Mbowe?.
Zitto kadhalika naye ilikuwa hivyo hivyo.
Kwamba wasingeutaka huo uenyekiti wangeendelea kuhesabiwa ni watakatifu eti
Kwa maneno yako pia unajaribu kutuambia bila Mbowe hakuna CHADEMA!.
Uchanga wa Lissu ni upi? Ni wapi Lissu ameshambulia wenzake?Vita mbinu we umeona Mbowe na Mnyika wame-panic.
Ndio kwanza wanashawishi na wengine wenye nią kwenda kuchukua form.
Sana-sana Mbowe anawaasa wanachama wao kutowashambulia wagombea waliopotoka kama Lissu wanao shambulia wenzao.
Lissu mchanga kwenye siasa
State intelligent ndio nini?Yeriko, umesema unatoa elimu juu ya maidhaifu ya Lisu? Hiyo ni elimu au ndio umetumwa na mbowe? Actually ww haupo kwa masilai ya CHAMA,upo kwa ajili ya Mbowe, ww kama mwandishi wa vitabu vy kijasusi, na siasa hapa ndo ulikuwa uwanja wako wa kuonesha uwezo wako wa kuchambua mambo ya kisiasa ndani ya chadema.
Mm napata shida kuona wewe unaegemea upande mmoja wa Mbowe? Sijui kama unajua unavyozidi kumtetea Mbowe ndivyo thamani yako ya kuwa mwandishi inashuka?
Watanzania na wanachadema wategemea ww uwachambue vizr kabisa in and out Mbowe na Lisu, kwa kuangalia mazingira ya siasa za Tanzania za sasa, mahitaji ya watanzania kwa sasa, utekaji, mauwaji, ufisadi, wambie watanzania mazuri ya Mbowe, na mabayake ,mazuri ya Lisu na mabaya yake, Kazi ibaki kwa wapika kura ndio waamua yupi atatuvusha kwa sasa. Ww umeonyesha (umbowelism). What if Lisu akishinda au let say Mbowe hagombei, na Lisu amekuwa mwenyekiti utaenda kujificha wapi? Maana unamponda Lisu wakati Mbowe hajasema chochote. Najua ww ni state intelligent ya Mbowe unajua Mbowe anagombea. But time we will tell the truth.
Sio kwa mada hii, only when I need to.Kipenzi chako pendwa wewe chawa wake
Chawa wa Mbowe mnatia aibu sana bora mngekaa kimya tu mkaacha demokrasia ichukue mkondo wake kama wanachama wanamtaka Lissu basi atakuwa mwenyekiti siyo umekaa umeshiba bamia zako huko unasema sisi, wewe na nani mlikaaa mkaona Lissu hafai? Semea tumbo na fursa zako unazopata kwa conection za Mbowe basi siyo unabana pua eti mumeona, wewe na nani ?Ipo hoja inaendelezwa kutoka kwenye Makala yangu ya juzi licha ya kuijibu vizuri katika makala ile ya kwanini Tundu Lissu hana sifa ya kuwa Mwenyekiti wa Chadema taifa,
Wanajenga hoja ya kujirudia Kwamba Lissu chama kilionw anafaa kuwa Rais wa Jamhuri yenye Majeshi JWTZ, Usalama wa Taifa, TRA, TPA n.k ila mimi Yericko naona atapwaya kuwa Mwenyekiti wa chama chenye kanda 10 na majimbo kadhaa?
Wajibu wangu ni kutoa shule ya siasa na utawala bure kabisa, Narudia kuwajibu nikisema,
“Exactly, I can say, the methods za kuongoza chama cha upinzani Afrika ni tofauti kabisa na kugombea Urais kupitia chama cha upinzani Afrika ndio maana chadema imedumu licha ya vyama 28 vilivyosajiliwa kuanzia 1992 vimekufa vyote ikiwemo vyama vya juzi kama ACT kimeshindwa kujiendesha kimeamua kujisalimisha mikononi mwa Dola.
Urais kwa chama cha upinzani Afrika ni unpredictable kuupata ni 50/50 na ni tukio la siku 60 tu baada yapo mnarudi kujenga chama kwaajili ya miaka mitano ijayo, Hivyo uhakika wa uimara wa chama unatakiwa usijaribiwe, Ukuu wa chama ulindwe for Unlimited and Unwaveringly high standards, So we will protect the party with a much higher strength than anything.
Kwamaoni yangu Lissu hana sifa na ubora wa kuongoza chama kulingana na mapungufu yake mengi sana ambapo mengine niliyaeleza katika makala ile, Anayo nafasi ya kukua huko mbele akabadilika na kufaa kukiongoza chama cha siasa kinachokaribia kushika madaraka kama Chadema! Niwape siri, ndiomaana Chama kilikuwa tayari kumpa Lowasa kugombea Urais lakini KAMWE kisingeweza kumpa Lowasa uenyekiti wa Chama abadani…., Now i can tell you, Sir Mbowe will lead this party until CCM comes out of power and then its mission will be completed….
Mwezi August mwaka huu wa 2024 Lissu alitangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Mwezi October mwaka huu 2024 Lissu akatangaza kuwa atagombea Urais kwa tiketi ya Chadema, Mwezi wa 12 mwaka huuhuu 2024 Lissu katangaza kugombea nafasi na Mwenyekiti wa Chadema na kuondoa nia yake ya kugombea Umakamu Mwenyekiti wa Chadema, yaani hajui hata anataka nini?
Soma Pia: Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA
Tumejifunza makosa ya vyama vilivyokuwa na viongozi imara lakini vikaingia kwenye mtengo wa wanaharakati uchwara wakishirikiana na wapambe wa dola walioanzisha nyimbo za kuweka ukomo wa uongozi, Sasa vimekufa, Chama cha Morgan Tvangirai Zimbabwe kimekufa, Chama cha Besyge Uganda kimekufa kwasababu ya ujinga wa mitego kwamba kiongozi huyu kakaa sana aondoke aje mwingine, bila kuangalia uimara wa kiongozi huyo namna anavyopamba na dola!
Dola inatulazimisha tufanye kosa la karne kwa kumuondoa Mbowe ili wao wanywe mvinyo kwa furaha pale Mbweni na Viunga vyake! Hatutafanya kosa hilo, sahauni kabisa!
Kisu hakionjwi kwa ulimi!
View attachment 3178483
Na ya kifaransa!Una udhaifu wa kudhani ukiweka maneno ya kiingereza kwenye maelezo yako ndio yatafanya usemacho kuwa bora, ama kwa mtazamo wako hiyo ndio akili😂 Nasisitiza kuwa Magufuli hakuwa kiongozi mzuri, kiongozi mzuri ni yule anayefuata katiba itakavyo, sio atakavyo yeye. Na Magufuli hakuwa mfuata katiba bali mpenda sifa. Unaweza kuweka maneno ya kiingereza ili kuongeza mikogo kwenye utetezi wako, na kufanya mahaba yako kuwa ndio akili, lakini habari ndio hiyo.
Chawa Promax, Huu muda mnautumia kuandika hizi takataka tungeungana twende mashambani huku tukalime tuongeze uzalishaji.Ipo hoja inaendelezwa kutoka kwenye Makala yangu ya juzi licha ya kuijibu vizuri katika makala ile ya kwanini Tundu Lissu hana sifa ya kuwa Mwenyekiti wa Chadema taifa,
Wanajenga hoja ya kujirudia Kwamba Lissu chama kilionw anafaa kuwa Rais wa Jamhuri yenye Majeshi JWTZ, Usalama wa Taifa, TRA, TPA n.k ila mimi Yericko naona atapwaya kuwa Mwenyekiti wa chama chenye kanda 10 na majimbo kadhaa?
Wajibu wangu ni kutoa shule ya siasa na utawala bure kabisa, Narudia kuwajibu nikisema,
“Exactly, I can say, the methods za kuongoza chama cha upinzani Afrika ni tofauti kabisa na kugombea Urais kupitia chama cha upinzani Afrika ndio maana chadema imedumu licha ya vyama 28 vilivyosajiliwa kuanzia 1992 vimekufa vyote ikiwemo vyama vya juzi kama ACT kimeshindwa kujiendesha kimeamua kujisalimisha mikononi mwa Dola.
Urais kwa chama cha upinzani Afrika ni unpredictable kuupata ni 50/50 na ni tukio la siku 60 tu baada yapo mnarudi kujenga chama kwaajili ya miaka mitano ijayo, Hivyo uhakika wa uimara wa chama unatakiwa usijaribiwe, Ukuu wa chama ulindwe for Unlimited and Unwaveringly high standards, So we will protect the party with a much higher strength than anything.
Kwamaoni yangu Lissu hana sifa na ubora wa kuongoza chama kulingana na mapungufu yake mengi sana ambapo mengine niliyaeleza katika makala ile, Anayo nafasi ya kukua huko mbele akabadilika na kufaa kukiongoza chama cha siasa kinachokaribia kushika madaraka kama Chadema! Niwape siri, ndiomaana Chama kilikuwa tayari kumpa Lowasa kugombea Urais lakini KAMWE kisingeweza kumpa Lowasa uenyekiti wa Chama abadani…., Now i can tell you, Sir Mbowe will lead this party until CCM comes out of power and then its mission will be completed….
Mwezi August mwaka huu wa 2024 Lissu alitangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Mwezi October mwaka huu 2024 Lissu akatangaza kuwa atagombea Urais kwa tiketi ya Chadema, Mwezi wa 12 mwaka huuhuu 2024 Lissu katangaza kugombea nafasi na Mwenyekiti wa Chadema na kuondoa nia yake ya kugombea Umakamu Mwenyekiti wa Chadema, yaani hajui hata anataka nini?
Soma Pia: Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA
Tumejifunza makosa ya vyama vilivyokuwa na viongozi imara lakini vikaingia kwenye mtengo wa wanaharakati uchwara wakishirikiana na wapambe wa dola walioanzisha nyimbo za kuweka ukomo wa uongozi, Sasa vimekufa, Chama cha Morgan Tvangirai Zimbabwe kimekufa, Chama cha Besyge Uganda kimekufa kwasababu ya ujinga wa mitego kwamba kiongozi huyu kakaa sana aondoke aje mwingine, bila kuangalia uimara wa kiongozi huyo namna anavyopamba na dola!
Dola inatulazimisha tufanye kosa la karne kwa kumuondoa Mbowe ili wao wanywe mvinyo kwa furaha pale Mbweni na Viunga vyake! Hatutafanya kosa hilo, sahauni kabisa!
Kisu hakionjwi kwa ulimi!
View attachment 3178483
Uongozi sio katiba bali ni dira ya kiongozi.Una udhaifu wa kudhani ukiweka maneno ya kiingereza kwenye maelezo yako ndio yatafanya usemacho kuwa bora, ama kwa mtazamo wako hiyo ndio akili😂 Nasisitiza kuwa Magufuli hakuwa kiongozi mzuri, kiongozi mzuri ni yule anayefuata katiba itakavyo, sio atakavyo yeye. Na Magufuli hakuwa mfuata katiba bali mpenda sifa. Unaweza kuweka maneno ya kiingereza ili kuongeza mikogo kwenye utetezi wako, na kufanya mahaba yako kuwa ndio akili, lakini habari ndio hiyo.