Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Mzee wa kuacha alama sijui anapaka alama gani kwa.sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah!...teh teh 😂😂 tuombe radhi mkuu, hatujafika huko bado.Bongo ukiweza kuzoataka na kufagia wewe n afisa mazingira Msaidiz
Ukijua lugha na vifaa vya maabara ya mazingira wewe n injinia wa mazingira
Tumewapa mazuzu kusimamia taaluma
Waziri siyo mtaalamu, ni msimamizi wa sera ili wataalamu watende kufuatana na sera.Jiulize kwanza uyu waziri wa mazingira ana elimu ya field ipi mpk akachaguliwa waziri wa mazingira. Utagundua alipewa wadhifa huo kwasababu tu ya uzoefu wake kwny kuendesha mambo ya kiserikali na siasa ila sio kwa taaluma yake. Jafo ni mtaalamu mzuri wa masuala ya uchumi wa maendeleo, kumbuka uchumi na mazingira ni vitu ambavyo haviezi kukua kwa pamoja.
Na hili lilianzia na mwl. Nyerere......aliipa sana siasa kipaumbele kwenye kila jambo na slogan zilizojaa siasa, mfano chama kushika hatamu, azimio la arusha, siasa ni kilimo. Yaani utaona hii mbegu ya kuzipa siasa kipaumbele ilipandwa tangu mwazo na ndo imeifikisha hii nchi hapa ilipo, utafikiri ndo imezaliwa leo.......Tulipokosea ni pale tulipoipa siasa thamani kubwa kuliko taaluma
Next watamleta M.Mpoto afunge maonyesho!Natoa wito Waziri Jaffo ajiuzulu.
Mstaafu Mwinyi aliwahi kusema kichaa akichukua nguo zako, busara ni kuchutama (loosely)
Waziri Jaffo na watalaamu wake wa mto Mara wanagoma kuchutama, na kadri wanavyogeuza ripoti wizara inazidi kupoteza pesa kwa waandishi habari na kuanza kueleza mambo ambayo siyo sayansi ya dunia hii.
Kinachoendelea ni utapeli kwa watanzania. Aibu zaidi yumo hata mkurugenzi mkuu wa NEMC ambaye ana wataalamu kibao ofisini mwake lakini yaonekana uwezo ni mdogo!!!! Je, huo ndo utendaji wa kila siku wa NEMC? Au Waziri anaikanyaga NEMC?
Waziri Jaffo huitendei haki wizara yako! Sasa tume inasema maozea ya mimea yamesababisha mafuta kuelea juu ya maji!!! Na, mvua imeleta tope la kutisha na kuua samaki!!!
Mifano iliyotolewa huko duniani, haina uhusiano wowote na hili. Hii unalazimisha taarifa ya tume ieleweke kwa wa-TZ milioni 60! Btw., kwa nini uliteua Tume badala ya kuitumia NEMC?
Uhusiano wako na huyo mwenyekiti wa tume ni upi? Yaani injinia wa mitambo anageuka kuwa mtaalamu wa mazingira!
Je, baada ya kutoa taarifa hovyo, utamfanyaje wakati siyo mwajiliwa wako? Huo ni uzembe mkubwa kwako waziri.
Sera ipi ilimpa nguvu ya kuunda tume badala ya kutumia wataalamu ktk ofisi yake?Waziri siyo mtaalamu, ni msimamizi wa sera ili wataalamu watende kufuatana na sera.
Kama ripoti haina weledi, labda waziri aulizwe kama sera inaelekeza kukosekana weledi serikalini.
Kama siyo basi atakiwe kujiuzulu kwa kutokusomamia sera ipasavyo.
Kiufupi, nemc walitakiwa wafanye Kazi wenyewe kwasababu wao Ndo Kazi Yao, kuunda tume kulipunguza automn ya Nemc. So lazma wacheze na Biti linavyopiga.NEMC wapo na Mkurugenzi Mkuu NEMC yupo na ndiye aliyekuwa Katibu wa Tume iliyogundua kuwa mavi na mikojo ya ng'ombe ndio chanzo kikuu cha tatizo husika.
Hayo ndiyo ya kumuuliza na kumtaka ajiuzulu.Sera ipi ilimpa nguvu ya kuunda tume badala ya kutumia wataalamu ktk ofisi yake?