Ufafanuzi mbovu wa Profesa Manyele, NEMC mko wapi? Waziri Jaffo huitendei haki wizara, JIUZULU

Bongo ukiweza kuzoataka na kufagia wewe n afisa mazingira Msaidiz

Ukijua lugha na vifaa vya maabara ya mazingira wewe n injinia wa mazingira

Tumewapa mazuzu kusimamia taaluma
Dah!...teh teh 😂😂 tuombe radhi mkuu, hatujafika huko bado.
 
Waziri siyo mtaalamu, ni msimamizi wa sera ili wataalamu watende kufuatana na sera.
Kama ripoti haina weledi, labda waziri aulizwe kama sera inaelekeza kukosekana weledi serikalini.
Kama siyo basi atakiwe kujiuzulu kwa kutokusomamia sera ipasavyo.
 
Tulipokosea ni pale tulipoipa siasa thamani kubwa kuliko taaluma
Na hili lilianzia na mwl. Nyerere......aliipa sana siasa kipaumbele kwenye kila jambo na slogan zilizojaa siasa, mfano chama kushika hatamu, azimio la arusha, siasa ni kilimo. Yaani utaona hii mbegu ya kuzipa siasa kipaumbele ilipandwa tangu mwazo na ndo imeifikisha hii nchi hapa ilipo, utafikiri ndo imezaliwa leo.......
 
Next watamleta M.Mpoto afunge maonyesho!
 
Waziri siyo mtaalamu, ni msimamizi wa sera ili wataalamu watende kufuatana na sera.
Kama ripoti haina weledi, labda waziri aulizwe kama sera inaelekeza kukosekana weledi serikalini.
Kama siyo basi atakiwe kujiuzulu kwa kutokusomamia sera ipasavyo.
Sera ipi ilimpa nguvu ya kuunda tume badala ya kutumia wataalamu ktk ofisi yake?
 
NEMC wapo na Mkurugenzi Mkuu NEMC yupo na ndiye aliyekuwa Katibu wa Tume iliyogundua kuwa mavi na mikojo ya ng'ombe ndio chanzo kikuu cha tatizo husika.
Kiufupi, nemc walitakiwa wafanye Kazi wenyewe kwasababu wao Ndo Kazi Yao, kuunda tume kulipunguza automn ya Nemc. So lazma wacheze na Biti linavyopiga.
 
Sera ipi ilimpa nguvu ya kuunda tume badala ya kutumia wataalamu ktk ofisi yake?
Hayo ndiyo ya kumuuliza na kumtaka ajiuzulu.
Hata hivyo, ni muhimu kujua kuwa wanasiasa wengi, siyo wote, wana uwezo wa kuongea sana hata bila kuitumia akili, vivyo hivyo wataalamu wanaoingia kwenye siasa nao hujitahidi kufanya hivyo.
Profesa anaweza kumuita Rais Mungu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…