UFAFANUZI: Mtume Mohamad amewahi kutenda muujiza gani?

Sasa mbona unataka kufanya kiswahili kigumu... Umeshasema ni mashindano, kwa maana ya kwangu watu walifanya mazoezi ya kujaribu mara kadhaa, hawakuzaliwa tu wakaanza kusoma... Kwa maana ya kwamba wengi wanakariri hususani wale ambao Kiarabu sio lugha yao...

Kudhihirisha kuwa wamesoma Quran yote kwa kukariri ukiwatikisa kuhusu maswali kadhaa hawakujibu kwa ufasaha wanazunguka tu... Mimi nimeuliza swali Mohammad alitenda miujiza hipi lakini sipati majibu ya kufanana kutoka kwa waislamu, kila mtu anazunguka kivyake... Lakini sisi Wakristo sio watu wakufanya mashindano ya biblia, lakini ukiuliza Yesu au nabii yeyote kwenye biblia alitenda muujiza hupi wote tutakuletea Jibu moja
 
Huu ndio ukweli.Na ni miongoni mwa miujiza inaoishi mpaka leo.Kwanza Qur'an herufi zake,maneno yake,idadi ya chapter zake,majina yaliyomo,na mengine mengi,yanagawanyika kwa 19,na Qur'an inesema hivyo.
Sasa huo si ni mpangilio tu ofisaa.... Herufi, majina, Chapter ni mpangilio tu ambao hata muandika gazeti anaweza kuupangilia.... Maneno mengi ya Quran yapo kwenye Biblia unasemaje kwamba Quran ni muujiza wakati ni copy and paste ya Biblia
 
Mbona umesahau kuorodhesha na miujiza ya Nabii Ng'wanamalundi wa Seke?
 
Kwani ilikuwa ni lazima kila mtume au nabii lazima atende miujiza?
 
Watafuta muujiza wakati unauona.Mtume Muhammad,amekuja miaka ma elfu imepita ya dini nyingine nyingi,lakini Mtume Muhammad,amekuja miaka elfu na zaidi,amewapiku wote hao,kwa kuwa na wafuasi wengi,na umashuhuri mkubwa duniani.
Kwahiyo huu nao muujiza? Si mikakati tu ya kueneza dini ndio inachangia?

Dini itasambaa yenyewe bila kuenezwa? Hata sasa mnajengewa misikiti bure mpaka vijijini idadi ya waumini ikiongezeka utasema ni muujiza?
 
Nakuuliza uoneshe ushahidi. Kuwa mashindano haina maana hata biblia inaweza kuweka kichwani. Maana unaongea ujinga. Nimekuwekea mfano hapo mtoto wa miaka 4 ambaye sio kiarabu lugha yake anavyoflow.
Unaongea ujinga Yesu alitenda utafikiri umemuona au bibi yako. Sie tunataka miujiza ambayo umesemwa na upo hadi leo kuwa Qur'an ni nyepesi kukumbuka. Kila nchi ina aliyehifadhi kuanzia China, India na nchi nyingine. Hatutaki story.
Nasubiri niambie muujiza unaofahamu wewe ulioshuhudia.

View: https://youtu.be/XD8pNDcd11s?si=TemlDMc0B8hKzSZ4
 
Uislamu umeenea kwa sababu Nchi hizo za Urabuni zililazimisha raia wake wote kuwa waislamu na bado mpaka hii leo nchi hizo zinaongozwa kwa misingi ya kiislamu... Uwezi ukawa wa Dini nyingine ukaishi huko, mfano vipindi vya Ramadhani wote mnalazimishwa kufunga kwenye Nchi hizo, migahawa na kila kitu kinafungwa... makanisa hayaruhusiwi mfano Afghanistan, Iran, Iraq uwezi kufungua kanisa... Hivyo raia wote inabidi tu muwe waislamu na watoto mtakaowazaa lazima wawe waislamu, na katika tamaduni za kiislamu mnapiga sana vita Watoto wenu wa kike kuolewa na mwanamume wa Dini nyingine, ajenda yenu ni kuwa lazima mtu huyo abadilishwe Dini awe muislamu... Yani mmetengeneza sheria za kulazimisha kila mtu atakaeingia anga zenu awe muislamu na ndio maana uislamu umekuwa mpaka hivi sasa... Huko India Wahindi hawawataki waislamu kwa sababu wamekuwa wakichumbia mabinti zao na kuwabadilisha Dini kuwa waislamu kitendo kilichopelekea Dini ya Hinduism kukosa nguvu.

Wakristo ndio Dini inayoongoza kwa wafuasi wengi, ila uwezi kuona Taifa la kikristo au Nchi ya kikristo... Vatican ni mji tu hata Tandahimba ni kubwa, hold sio Nchi ni mji. Ukristo unaenea kwa mahubiri mazuri ya mwenyezi Mungu, na si kwa kuanzisha vikundi vya kigaidi kulazimisha kila mtu awe muislamu usipokuwa Muislamu unachinjwa au kupigwa bomu
 
Ila wewe jamaa unachekesha Yani kusoma Quran na kukariri ni muujiza?

Quran ni Biblia iliyochangamka na ikaongezewa kitabu cha Hadithi ya Mohammad (SAW)
 
We jamaa ni kilaza hadi ukilaza unakushangaa. Indonesia yenye waislamu takribani 250M unajua umeenea vipi? Kumbe mfuasi wa lile dhehebu linaloabudu picha ya Brian Deacon ndiyo maana akili zero.
 
Kwani ilikuwa ni lazima kila mtume au nabii lazima atende miujiza?
Kwani ilikuwa ni lazima kila mtume au nabii lazima atende miujiza?
Ndio MITUME na Manabii wote wakuu, Elewa neno wakuu walitenda Miujiza... Mohammad kwa waislamu ni Miongoni mwa mitume wakuu, lakini hakutenda muujiza kwa nini
 
We jamaa ni kilaza hadi ukilaza unakushangaa. Indonesia yenye waislamu takribani 250M unajua umeenea vipi? Kumbe mfuasi wa lile dhehebu linaloabudu picha ya Brian Deacon ndiyo maana akili zero.
Kama uislamu hauna ubaguzi mbona mnalazimisha mataifa kubwa ya Kidini... Mnatengeneza mataifa ya kidini? Ukitengeneza Taifa la kidini maana yake unataka wananchi wote wawe wa Dini yako, kwa sababu sheria zote za nchi zinaundwa na misingi ya kidini, hivyo uwapi watu nafasi ya kubadilisha Dini kwa sababu sheria inataka kila mtu awe wa Dini ya Nchi?

Mbona ukristo umeenea na hakuna Nchi ya wakristo, au umewahi kusikia Nchi ya wakristo
 
Ila wewe jamaa unachekesha Yani kusoma Quran na kukariri ni muujiza?

Quran ni Biblia iliyochangamka na ikaongezewa kitabu cha Hadithi ya Mohammad (SAW)
We unadhani nini wewe mfuasi wa Brian Deacon? Unasema miujiza ambayo hata Gwajima anaigiza.
QUr'an ni muujiza ambao kizazi na kizazi utashuhudia. Sie miujiza ya story ambayo watu hawajaona.
Kuna linguistic miracle labda uwe zezeta usielewe kwa mtu anayesikiliza ikisomwa. Twende kazi niambie muujiza wako ulioshuhudia usiniletee story Yesu alitenda ukiambiwa uoneshe ushahidi wa huo muujiza wa kufufuq watu wakati hauwezi kunionesha.
 
Nitajie mataifa ya kidini uniorodhoshee ambayo hayana wakristo au haurusiwi. Hatutaki poroje wewe mfuasi wa picha ya Brian Deacon.
 
Umeshikwa na taharuki.Panic!
 
Ndio MITUME na Manabii wote wakuu, Elewa neno wakuu walitenda Miujiza... Mohammad kwa waislamu ni Miongoni mwa mitume wakuu, lakini hakutenda muujiza kwa nini
Hata kama hakutenda hili swali inapaswa ajibu nani? Mungu, mtume mwenyewe au wafuasi?
 
Duh... Kwa hiyo Muhammad aliwahi kwenda Mbinguni na kurudi Duniani na kisha kufa kifo cha kawaida... Alibebwa na "Mnyama wa kutisha", kitu means Beast kwa kiswahili.

Kwenye upande wa kwenda mbinguni kwa farasi naweza kukubali maana hata Mtumishi Eliya wa kwenye Biblia aliwahi kubebwa na farasi wenye kuwaka moto kwenda mbinguni. Ukisoma

2 Wafalme 2:11-12
"Walipokuwa wanatembea na kuongea, ghafla, gari la moto likatokea pamoja na farasi wa moto; likawatenganisha; naye Elia akachukuliwa mbinguni katika kisulisuli."

Swali langu ni jinsi gani aliweza kurudi, na aliona nini mbinguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…