UFAFANUZI: Mtume Mohamad amewahi kutenda muujiza gani?

Alioa kibinti (kitoto) cha miaka 9
 
Hata kama hakutenda hili swali inapaswa ajibu nani? Mungu, mtume mwenyewe au wafuasi?
Wahusika wenyewe wamesema Quran ina kila kitu nataka kujua kama kweli yeye na miongoni mwa mitume wakuu wakuu mbona mwenyezi akujidhiirisha kupitia chochote cha muujiza ukiachilia mbali kushushiwa Quran ambapo hakuna shahidi aliyekuwepo
 
Wahusika wenyewe wamesema Quran ina kila kitu nataka kujua kama kweli yeye na miongoni mwa mitume wakuu wakuu mbona mwenyezi akujidhiirisha kupitia chochote cha muujiza ukiachilia mbali kushushiwa Quran ambapo hakuna shahidi aliyekuwepo
Hili swali ajibu Mungu hapa hakuna namna
 
Ndio tunataka uthibitisho kutoka kwenye Quran, haya gani zinazotaja miujiza hiyo?

Neno la Mungu lazima liende kwa evidence, na nyie uwa mnasema Quran haitakiwi kuchakachukiliwa, kwamba kila kitu kimo kama kilivyo toka mwanzo
Quran ilikuja mudi akiwepo
Haiwezi kuongelea mambo aliyofanya mudi

Baada ya mudi kuondoka nadhani vipo vitabu vilivyoongelea habari za mudi na matendo yake kwa ujumla

Biblia ya kale kama ilimuongelea yesu basi ni kwa kutabiri ujio wake ila baada ya yesu kuondoka iliandikwa biblia baada ya yesu ndiyo maana unazipata habari zake
Kwani kuna Quran agano jipya?
 
Well said mkuu
 

mtume alianzisha Jihad
 
NASHAURI WALETA MADA ZA NAMNA HII KUONESHA WAZI UDINI AU KUPONDA NA KUKANDAMIZA IMANI AU DINI ZA WENGINE WASIWE WANAJIBIWA WABAKI NA NYUZI ZAO BILA WACHANGIAJI.

MTU ANAYEKAZANA NA UKABILA NA UDINI NI MTU HATARI SANA KWENYE JAMII YOYOTE! ANATAKIWA ATAZAMWE KWA JICHO LA PEKEE NA WATU WAWE MAKINI NAE.

AHSANTE!
 
Ko tuseme mwezi alivyougawa ndo ikawa ishara kubwa kwake yeye kuabudiwa,,, kiujumla mm sijaona miujiza mikubwa aliyoifany mohamed
 
Ko tuseme mwezi alivyougawa ndo ikawa ishara kubwa kwake yeye kuabudiwa,,, kiujumla mm sijaona miujiza mikubwa aliyoifany mohamed
Mimi naomba kujua tu je ni kweli alitembea na mtoto wa miaka tisa?! Au ni uzushi
 
Mbona hoja iko very clear na mleta mada katoa hadi mifano? Labda swali liulizwe kwa namna unayotaka wewe;

Je, ni miujiza upi ambao Mungu ambaye habari zake zilifunuliwa kwetu na mtumishi wake Mudi ulitendwa na Mungu huyo kupitia mtumishi wake?

Simple!
 
Waislam wanachanganya. Quran haikushushwa kama kitabu. Mohamad alikua anadai kwenda miliman anaambiwa maneno then anaenda kuwatangazia umma wake. Mind you, Mohamad alikua hajui kusoma wala kuandika inadaiwa alikua anakariri mfumo ambao mpk sasa unaendelea wa kukaririshwa. Hayo ya kushushwa hayana ukweli wowote
 
Hi mambo ya imani waachiwe wenye imani zao tusilazimishane kukubli au kuzikataa,
Wenye kuziamini waache waziamini ili waweze kuamini ndani ya mioyo yo wapate kusaidika kwa imani zao
Hata mwanamalundi litenda miujiza yake labda alikuwa mchawi au alikuwa mtume
Inwezekana wapo wengine uko mshariki ya mbali nao walitenda miujiza pia ila wanaaminiwa katika imani zao uko uchinani na india
Je zumaridi tumweke ktk kundi gani? Kwanini nae asiaminiwe? Au kwa kuwa tuko nae na tunaishi nae ni mpaka afe ndipo watu wamtolee ushuuda kwa kuwa walikuwa wafuasi wake?
Zumaridi lituambia alienda mbiguni akakutana na mitume kadhaa na wengine walimpenda na wengine wlimsemesha mpaka kisukuma[emoji3][emoji3][emoji848]acha tu nicheke
Ila nae anayo yake je tunamweka kundi gani?
Hizi imani hizi tuwaache wanaoziamini mweza wa kila jambo ni mungu,
 
Stop being effeminate and a simp
 
Yohana Mbatizaji nitaje mambo machache kumhusu! Kutungwa kwake mimba kulikuwa kwa miujiza.

Mimba yake ilipokutana na mimba ya Yesu muujiza ulitokea! Alirukaruka tumboni kwa furaha kuu!

Ni kupitia kazi ya Yohana Mbatizaji uwepo wa the Holy Trinity unajifunua wazi wazi!

Hiyo yote ni miujiza ambayo ilitendeka kupitia uwepo wa Yohana Mbatizaji!
 
Ndio tunataka uthibitisho kutoka kwenye Quran, haya gani zinazotaja miujiza hiyo?

Neno la Mungu lazima liende kwa evidence, na nyie uwa mnasema Quran haitakiwi kuchakachukiliwa, kwamba kila kitu kimo kama kilivyo toka mwanzo
Ndugu mhaya Kiukweli kabisa Mimi niliachaga zamani hizi chuki na Dini baada ya kugundua zkte ni kitu kimoja..

lakini hii sio mada ya leo..Leo umeuliza na kuomba kupewa Hiyo miujizaaliyofnya Mtume..
Ok nitakujibu..

mathayo 12:38-39.
Hapo baadhi ya waandishi na Mafarisayo wakamjibu, wakasema, Mwalimu, twataka kuona ishara kwako.
Akajibu, akawaambia, Kizazi kibaya na cha zinaa chatafuta ishara, wala hakitapewa ishara, ila ishara ya nabii Yona


na kwenye Quran pia..
Surat al-Ankabut, aya ya 50. Aya hiyo inasema:
"Na wanasema, 'Kwa nini hakumteremshia Ishara kutoka kwa Mola wake?' Sema, 'Ishara ziko kwa Mwenyezi Mungu. Mimi ni hapa tu kuonya waziwazi.'"

sasa niende moja kwa moja kwenye Miujiza aliyofanya Mtume wa Waislamu Muhammad (S.A.W)

1.KUTOA MAJI KWENYE KIGANJA NA KUNDI LA WATU WAKANYWA...

Hadithi hii iko katika Kitabu cha "Tafsir" (ufafanuzi wa Quran) cha Sahih al-Bukhari, katika sehemu ya Tafsir ya Surat al-Mumtahanah.
Hapa ni nukuu ya hadithi kutoka Sahih al-Bukhari:

"Abu Huraira alisema: 'Siku moja tulikuwa pamoja na Mtume wa Mwenyezi Mungu (S.A.W). Tukawa na kiu kali. Mtume akasema, 'Je, kuna yeyote miongoni mwenu anayeniletea chombo cha maji?' Abu Huraira akasema, 'Nikamletea chombo cha maji na kumkabidhi. Mtume wa Mwenyezi Mungu (S.A.W) akakichukua, kisha akalifungua na kisha akaweka kiganjani mwake. Kisha maji yakatoka kutoka kiganjani mwake, na watu wote wakanywa hadi wakashiba, na mimi nikakunywa hadi nilipopata kutosheka.'"

2.KUMPONYA MTU JICHO..

katika Sahih al-Bukhari. Hapa ni nukuu ya hadithi hiyo:
Imepokelewa kutoka kwa Ibn Abbas (R.A) kwamba mtu mmoja kutoka Ansari alikuwa amepoteza jicho lake wakati wa vita vya Uhud, na alikuwa na kiu ya kunywa maji. Akaenda kwa Mtume Muhammad (S.A.W) na akasema, "Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, ninakuomba kunywa maji." Mtume akamwambia, "Enda kwenye bonde hilo na kunywa maji." Kisha Mtume akamwambia, "Ondoka, Ewe Mtumwa wa Mwenyezi Mungu." Na kisha jicho lake likarejea mahali pake na akapona.

3.CHAKULA KUTOKA MBINGUNI..

"Hadithi ya At'amah" au "Hadithi ya kula chakula cha Mbinguni," ni moja ya hadithi maarufu katika Sunna ya Mtume Muhammad (S.A.W).
Nukuu ya hadithi hii inapatikana katika vitabu vingi vya Hadith, ikiwa ni pamoja na Sahih al-Bukhari na Sahih Muslim. Hapa ni nukuu kutoka Sahih al-Bukhari:

Imepokelewa kutoka kwa Anas bin Malik (R.A) kwamba Mtume Muhammad (S.A.W) alikuwa na watu elfu tano wakati wa kula, na chakula kikaja kutoka mbinguni. Alikuwa akiwauliza, "Kaa chini, katika nafasi zenu, na usilete mshtuko wala mshangao, na kula chakula chenu."


4.HADITHI YA KIPOFU KUPATA KUONA TENA:

"Kulikuwa na kipofu mmoja aliyemjia Mtume Muhammad (S.A.W) na akamuomba kumpa shifaa. Mtume alimwambia aoge na kisha akamuomba Mwenyezi Mungu ampe shifaa. Kipofu huyo alifanya kama alivyoambiwa, na baada ya kuoga na kuomba dua, alipata kuona tena." (Sunan Abi Dawood)


ZIKO NYINGI SANA ILA HIZI NI CHACHE zipo.kama safari ya isra na miraji,Kuna Quran yenyewe ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…