#COVID19 Ufafanuzi: Muuguzi aliyemchoma chanjo Mhe. Rais Samia na viongozi wengine kutovaa mipira ya mikono (gloves)

Nyie wizara ya afya kumbe mna akaunti humu, ndio naiona leo.
 
Swala la gloves ni muhimu kuvaliwa, na mtoa huduma akimhudumia mgonjwa. Akitokea mtoa huduma katoa huduma kwa watu 20 bila kuvaa gloves huoni kwamba anaturudisha kulekule kwenye hatari yakuambukizwa ugonjwa hata kama umechanjwa chanjo ya Corona?
Mkuu kwani huyo mtoa huduma alikuwa anatoa huduma kwa wagonjwa? Wagonjwa wanapewa tiba na si chanjo
 
Waziri mkuu leo nimeona kashika barakoa yake na kuivua kisha kaiweka kwenye meza.
 
[emoji854][emoji854][emoji854][emoji854][emoji854][emoji854][emoji854]
Wao wanakusanyika tu na wanakusanya watu pale inapowapa boost.
 
Mwenye Bunge lenyewe anamkwepa Johnson & Johnson Mkuu si umeona hata Leo hakuonekana pale? Unaambiwa anapenda mno Kujifukiza kuliko Kitu kingine chochote kile.
Vipi yule jamaa mla dagaa wa Kigoma mwenye cheo kikubwa cha pili kutoka juu yeye ameshapata chanjo kipindi kile akiwa mahututi.? Mana sijamuona leo
 
Vipi yule jamaa mla dagaa wa Kigoma mwenye cheo kikubwa cha pili kutoka juu yeye ameshapata chanjo kipindi kile akiwa mahututi.? Mana sijamuona leo
Hiyo Ziara ya Mkoani Mtwara aliiomba Makusudi ili nae amkwepe Johnson & Johnson. Yeye kutokana pia na Kabila lake ( ambao pia ni Watani zangu ) Wanaabudu sana 'Ndumbaism' hivyo Chanjo ya Mizimu kutoka Mto Malagarasi aliyopewa baada ya Kukoswakoswa na Israeli Kipindi kile imemtosha na imemsaidia mno.
 
Vipi yule jamaa mla dagaa wa Kigoma mwenye cheo kikubwa cha pili kutoka juu yeye ameshapata chanjo kipindi kile akiwa mahututi.? Mana sijamuona leo
Yule hahitaji chanjo kwa sasa maana aliugua. Hivyo ana antibodies.
 
Nyie wizara ya afya kumbe mna akaunti humu, ndio naiona leo.
Huenda wameianzisha 'Maksudically' kabisa wape wanapata 'updates' za haraka kutoka Kwetu kwa Watu ambao huenda wataanza Kufa kama siyo Kufariki kwa UVIKO 19 baada ya Johnson & Johnson Kuwaonjesha Utamu wake kupitia Sindano yake.
 
Asante kwa ufafanuzi, msichoke kutuelimisha kwani ni kipindi cha mpito hivyo udadisi utakuwa kwa kila jambo hatakama kwenu wataalamu mtaliona la kijinga,
 
Kumbe na huku mpo? mbona huwa hamcomment kwenye nyuzi zingine kama zile za Kwa masilahi ya Taifa za Pascal Mayalla?
 
Tunaomba Kujuzwa Shaka Hamdu Shaka na Jokate wamechanja Kwa vigezo gani ?
Tulitegemea with 1M jabs, ukiacha wauguzi na walio frontline, priority ingekuwa ni Kwa Risk age, above 50
 
Wapi Chanjo inapatikana tukachome maana hamjasema vituo inapopatika na au mpaka Connection
 
Mwenye Bunge lenyewe anamkwepa Johnson & Johnson Mkuu si umeona hata Leo hakuonekana pale? Unaambiwa anapenda mno Kujifukiza kuliko Kitu kingine chochote kile.
Mhuni Sana yule Mzee na Msanii.
I can assure you kishachanjwa Kimya Kimya Hata Porn Master Gwajima huenda kishachanjwa, anapotosha watu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…