Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Shida ni kuwa watanzania huwa mnajifanya wajuaji sana...mtoa mada unazijua principals za injection?...unazijua standard precautions and infection prevention and control anazotakiwa kuzifua mtoa huduma yoyote kama vile kusafisha kidonda ama kuchoma sindano.........PUNGUZENI UJUAJI KAMA WEWE NI DEREVA KOMAA NA TAALUMA YAKO ....ULIISHIA DARASA LA SABA HIVYO HIVYO KOMAA NA UNACHOKIAMINI...NDIO MAANA WANASIASA WANAFANYA YALE WANAYOYATAKA WAO BILA KUWASHIRIKISHA KWA SABABU WAMEISHAONA WATANZANIA WENGI WANAJIFANYA WAJUAJI KUMBE NI MBUMBU MZUNGU WA RELI...
Watu mnakomalia vitu balaa
Kama una uhakika na afya ya unayemuhudumia gloves ni za nini ?
ushauri wangu kwa serikali na yule aliyemchoma mama chanjo! akubali tu kuwa amekosea na wa kumkumbusha hakuwepo, sasa wa akili za kisiasa za bongo wanaweza kujifanya gloves sio lazima na kupelekea watu kuchomwa bila precaution
Hawa wataalam wetu NI wapiga ramli, ndio maana mgonjwa wa kichwa alipasuliwa mguu, na mgonjwa was mguu akapasuliwa kichwaNdugu zangu!
Kauli hii ya wizara yetu ya afya imenitoa kamasi, kujifunza hakuna mwisho.
View attachment 1874889
View attachment 1874890
View attachment 1874892
Hebu tuelimishane tafadhali.
Ncha Kali.
Kwani mmelazimishwa mkachanjwe nyi mazumbukuku!!! Si endeleeni na msimamo wenuUhakika wa afya ya mtu unaupata wapi? Je, na yeye ana uhakika na afya yako?
Ukiachana na huyo Rais, ukiachana hata na hiyo chanjo…. kumhudumia mgonjwa bila bila gloves imeanza lini?
Siku hiyo aliwahudumia wangapi?Uhakika wa afya ya mtu unaupata wapi? Je, na yeye ana uhakika na afya yako?
Ukiachana na huyo Rais, ukiachana hata na hiyo chanjo…. kumhudumia mgonjwa bila bila gloves imeanza lini?
Siku hiyo aliwahudumia wangapi?
pumbavu mkubwa ni wewe hukuuliza kwa kutaka kujua...ila ulitaka ligi na watu wenye taaluma zao..Hili ni swali la ufahamu kwa wenye akili timamu, ni nani amejifanya mjuaji hapa?
Pumbavu.