#COVID19 Ufafanuzi: Muuguzi aliyemchoma chanjo Mhe. Rais Samia na viongozi wengine kutovaa mipira ya mikono (gloves)

Hii scene imekosewa,Irudiwee!
Basi hata mask asingevaa tu,yani unabana na kuachia
 
NDIO MAANA WANASIASA WANAFANYA YALE WANAYOYATAKA WAO BILA KUWASHIRIKISHA KWA SABABU WAMEISHAONA WATANZANIA WENGI WANAJIFANYA WAJUAJI KUMBE NI MBUMBU MZUNGU WA RELI...
KUMBE HAWA WANASIASA NA MADAKTARI! 🙂 NDO UMENIJUZA NDUGU..
 
Yote tisa,kumi kiukweli corona inaua wandugu
 
Watanzania bado hawajapata habari za kutosha juu ya korona. Ushahidi mmoja wapo ni jinsi hii issue ya nurse aliyemchoma rais kutova gloves ilivyopokelewa kwa hisia tofauti.
Najua sababu ni kwamba hapo nyuma kidogo huenda ungeweza kuhojiwa kwa kusema tu unaumwa korona. So all informations za ukweli zikapigwa stop naturally na infos za uzushi zikaenea sana. Huwezi shangaa kuona uzushi wa gwajima unaaminika zaidi kuliko ushauri wa kisayansi uliotolewa na wataalam wa afya. Tulikaribisha uzushi tukauelewa na tukaukumbatia. Itachukua muda kidgo tena kuwafeed watanzania na right informations.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Serikali ya Tanzania.

"Inashauri watu wasikusanyike ....ila yenyewe inakusanyika"

"Inasisitiza watu wasivunje Sheria....ila yenyewe ni kinara wa kuvunja Sheria na katiba".


Nchi inanishangaza sana
 
nakumbuka maneno ya gwajima, huenda ni chanjo feki
 
Chanjo ya ukimwi ikija nayo bishaneni hivihivi ndio nitajua nyie ni vidume kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…