Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huoni kama ni dharura kwa ajili ya kumuombea nyerere au daily wanamuombea nyerere?Naona unazungumzia utaratibu wa ibada wa kanisa katoliki pasipo kujua utaratibu halisi ukoje.
Kwa kifupi tu, ni utaratibu wa kanisa kuendesha misa kila asubuhi 6a.m-1.a.m, hii ni kwa kila siku za wiki. Huo ndo utaratibu wa kanisa.
Sio kweli kusema kwamba kwa kuwa ni ijumaa, ibada iliendeshwa kwa dharura tu.
Utueleze hapa, amepambania kwa namna gani kabla ya kipindi hicho kiasi cha kupelekea ukatoliki kuenea kila kona kama ulivoainisha hapo juu.Nyerere amepambania ukatoliki kabla ya hapo elewe hiyo inatambulika na mchango wake ni mkubwa sana huku kuenziwa Haina shida .
Rais haendi kusali wala kuswali. Anapokuwa na dini tayari Huyo ni Samia. Mbali ya lugha yako mbovu lakini umeshindwa kufafanua ulimaakisha nini.Mkuu msingi upo kwenye shughuli inayofanyika, Hayati Magufuli alikwenda ibadani hasa siku za Jumapili hivyo alikwenda yeye na si Rais. Hakukuwa na haja ya kuonesha mamlaka ilhali amekwenda yeye binafsi.
Hili ni swali la kipumbavu sana, hebu fikiria.
Na hili pia,
Lengo si kuonesha Ukuu mkuu, lengo ni kuonesha aliyekwenda si Samia, aliyekwenda ni Rais wa Tanzania na hiyo ndiyo sababu ya uwepo wa kiti cha rais…
Kiti cha rais sio cha Samia, ni cha yeyote anayeshikilia mamlaka ya Rais.
Samia yeye binafsi hana sababu za kwenda kanisani sababu yeye ni muislam, ila kama rais, anaweza kwenda kwa kofia ya Urais.
Umebadili maana yangu, lengo si kuonesha Ukuu, lengo ni kuonesha aliyekwenda si Samia, bali ni RAIS SAMIA.
Umepoteza maana,
Ulipopotea ni pale ulipodhani kiti kuonesha Ukuu juu ya kanisa, hapana.
Kiti ni kuonesha kofia aliyoingia nayo.
kwann aingie na kiti kanisan ndo kebehi ? je siku rais mkristu akiingia na kapeti yake msikitin akaa pekee yake , je waislam mtamuelewaj ?kuna gari maulumu kwa ajili ya kubeba kiti au hufatilii aseeh
rais yoyote akiingia kwenye nyumba ya ibada hapasw kufunja ustaarab wa nyumba hiyo , huyu mama wanamimuangalia tu kwa anavyopenda uchifuMbona Kikwete aliingia makanisani bila hicho kiti ilhali alikua ni Muislamu?
kwahiyo Nyerere , Mwiny , Mkapa , Kikwete na Jpm ni vichaa ? mbona waliheshimu nyumba za ibada kwa kufuata taratib za nyumba za ibada husika wanapoenda kusali pamoja , IPO SIKU UJINGA WA HV UTAFANYWA NA RAIS MKRISTU KWENY MSIKIT , NAJUA NDO MTAKUMBUKA KULALAMIKARais ni mamlaka ni sahihi.
Kiti cha Rais kinaonyeaha mamlaka yake ni sahihi.
Kila anapokwenda Rais lazima mamlaka yake yaomekane. Hapa umetudanganya Kwa makusudi au Kwa kutaka kumbeba Huyo unayemtetea. Kama Magufuli hakwenda na kiti kanisani na sababu unayotoa ni kwamba Magufuli alikuwa Mkristo, Sasa hayo mamlaka yake alikuwa anayaacha wapi? Kama Kila anakokwenda Rais lazima yawepo Mamlaka Choo anachotumia kina nembo ya Rais? Kwenda kuonyesha supremacy kwenye mamlaka nyingine ni uchokozi. Kama kweli Rais ni Mkuu wa Kila mahali Kwa nini alipoingia kanisani Askofu hakumpisha kiti? Imeandikwa ya Kaisari mpe Kaisari na ya Mungu mpe Mungu, Sasa yeye anapoingia kwenye ibada na Mamlaka ya kidunia anataka Mungu ndo amnyenyekee yeye?
Nmaona hakuna haja ya kuendelea na mjadala katika muelekeo huu, nikuache kama ulivyo, nitoe nafasi kwa wengine kutoa maoni yao kwa kulingana na kiini cha uzi. Uwe na wakati mwema.Mkuu huoni kama ni dharura kwa ajili ya kumuombea nyerere au daily wanamuombea nyerere?
kanisan au msikitin hakuna urais na ndio maana akienda msikitin haez swali na wanaume licha ya urais wake , Dini hazitambui tawala za kiduniaHuyu atakuwa ni Gwajima Huyu.
unahisi kanisan ni sehem ya kuhutunia taifa au kupiga kampen ? wazee wa buku 2 za lumumb akil zenu ni kisoda , swala la kuingia kanisan / msikitin hupasw kuleta taratib zako za kidunia lzm uheshimu taratib za nyumba husika ya ibadaAlikwenda kufanya nini?
Itafaa ukitupa simulizi ya siku, mahali na hafla aliyokuwa akihudhuria.
dah kuna watu shule hazijawakomboa kbs , ndan ya kanisa au msiki lzm ufuate taratib za sehem husika maana kanisan ni sehem ya ibada tu , narudia tena ni sehem ya ibada tu , HAKUNA SIASA KULE , kuingiza uraisi ni kuingiza SIASA ndan ya nyumba ya ibada , hao viongoz wa kanisa wanaogopa ila wakipewa fursa wanamchana vzr tu SHS kuwa kazingua , SIASA NI UONGO/UDANGANYI /UNYANG'ANYI etc huez ingiza siasa kweny nyumba za dini , unaeza karibishwa ila ukaingia km mtu wa kawaida na ukipewa fursa ndo unaongeaMkuu kama umesoma vizuri nimejaribu kueleza maana ya kuingia na kiti.
Rais hakwenda yeye binafsi, alikwenda kwa kofia ya Urais. Na hilo limetanabaishwa na uwepo wa kiti cha Rais.
ndan ya kanisa hakuna kiongoz anaitwa rais wala makamu wa rais hasa hasa kipind cha ibada , vyeo unaviacha mlangoniMkuu msingi upo kwenye shughuli inayofanyika, Hayati Magufuli alikwenda ibadani hasa siku za Jumapili hivyo alikwenda yeye na si Rais. Hakukuwa na haja ya kuonesha mamlaka ilhali amekwenda yeye binafsi.
Hili ni swali la kipumbavu sana, hebu fikiria.
Na hili pia,
Lengo si kuonesha Ukuu mkuu, lengo ni kuonesha aliyekwenda si Samia, aliyekwenda ni Rais wa Tanzania na hiyo ndiyo sababu ya uwepo wa kiti cha rais…
Kiti cha rais sio cha Samia, ni cha yeyote anayeshikilia mamlaka ya Rais.
Samia yeye binafsi hana sababu za kwenda kanisani sababu yeye ni muislam, ila kama rais, anaweza kwenda kwa kofia ya Urais.
Umebadili maana yangu, lengo si kuonesha Ukuu, lengo ni kuonesha aliyekwenda si Samia, bali ni RAIS SAMIA.
Umepoteza maana,
Ulipopotea ni pale ulipodhani kiti kuonesha Ukuu juu ya kanisa, hapana.
Kiti ni kuonesha kofia aliyoingia nayo.
kanisa ni nyumba ya ibada wala havifanyik vikao vya bunge kule au ukumbi wa sherehe au makongamano , SHS kaferi sanaKama kumbukumbu ziko karibu unakumbuka waliingia kwenye shughuli zipi?
Ibada? au zipi hasa?
Vizuri sana, basi kiti hakiongezi gharama yoyote maana gari ibebayo kapeti ndiyo hiyohiyo kiti huwekwa.Huwa kuna gari maalum la kubeba viti na carpets
Hilo nalifahamu, ukisema vyeo unaacha mlangoni sasa Samia huyu ni Muislam, kanisani anafata nini?ndan ya kanisa hakuna kiongoz anaitwa rais wala makamu wa rais hasa hasa kipind cha ibada , vyeo unaviacha mlangoni
Juma kaingie na taulo msikitin utandike chini hlf uswali uone km hakufumui ndg , ingawaj hautakuwa umeharib chochot , wavaa kobaz ikiwa kwenu mnalia sana ila kwa wengine ni sw tuKwa vipi Mkuu?
Na alipoingia nacho kumeleta shida gani kwa kanisa? Kuna kilichobaribika? Ibada iliingia dosari?
Nini sababu hasa ya kukataa uwepo wa kiti cha Mkuu wa nchi?